Kassim Mgwami KD

Kassim Mgwami KD wasiliana nami KD kupitia WhatsApp 0755733099 au [email protected]

20/08/2026

Wananchi kileleni k**a kawaida

12/08/2026

Wananchi washindi tena wa ngao ya jamii, makolo mtasubiri sana, hapo wananchi hawakupata mechi za ushindani za kutosha kabla ya leo,mngefungwa kono la nyani bahati yenu [email protected] daima mbele nyuma mwiko.

09/08/2026

"Pesa iko benki" ni mkakati wa kizamani sana, sasa hv kinachoangaliwa ni mtiririko wa pesa kwenye mzunguko, makolo kuweni makini na kauli hiyo ya kisanii.

08/08/2026

Makolo chali kwa Polisi wa Kenya, sasa mziki wa wananchi tarehe 12/08/2026 mtauweza malalamiko@nnya FC?.

07/08/2026

Wenye nchi ni wananchi kwa mujibu wa ibara ya 8(3) ya katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.Kama hutaki nenda kalale mochwari.

04/08/2026

Mangungu vs Magori nani zaidi?.

03/08/2026

Makolo mnashindwa kufuata katiba yenu inavyotaka kwa sasa, ndio maana mlidondosha "kitope@nnya" Jangwani.Tatizo la afya ya akili.Mnatengeneza mazingira ya mgogoro wa mchongo ili mkipasuliwa na wananchi tarehe 12/08/2026 mpate kisingizio k**a kawaida yenu, malalamiko FC .Yanga daima mbele nyuma mwiko.

02/08/2026

Yanga,daima mbele nyuma mwiko.

31/07/2026

Nnya FC hatimaye imeng'olewa Kagame Cup 2026.

Address

Kidatu, Kilombero
Morogoro

Telephone

+255755733099

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kassim Mgwami KD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Kassim Mgwami KD:

Shortcuts

Share