Kisaki kituoni primary school

Kisaki kituoni primary school Ministry of education

Ilipendeza sanaaa
25/10/2022

Ilipendeza sanaaa

Baada ya kula keki mahafali kisaki gomeroKisaki kituoni graduation coming soonKaa mkao wawaliko😍😍😍
20/10/2022

Baada ya kula keki mahafali kisaki gomero
Kisaki kituoni graduation coming soon
Kaa mkao wawaliko😍😍😍

Pongezi kwa wazazi wako kwa kukufanyia mahafari,ulipendeza na ilipendeza, inshallah tunakuombea ufaulu mitihani yako,TAR...
14/10/2022

Pongezi kwa wazazi wako kwa kukufanyia mahafari,ulipendeza na ilipendeza, inshallah tunakuombea ufaulu mitihani yako,TAREHE 24/10/2022 Tunamalizia mahafari yetu shule ya msingi kisaki kituoni

Mstaafu was shule hi,MWL SINAHOFU BOMEZA,Maisha mema mzee,unahistoria na shule hii
09/09/2022

Mstaafu was shule hi,MWL SINAHOFU BOMEZA,Maisha mema mzee,unahistoria na shule hii

Kwetu furaha tuu, ila tunamic uwepo wako Neema Maarifa ulikua mtaaluma bora ktk shule yetu, mazuri yako tumeyachukua
14/01/2022

Kwetu furaha tuu, ila tunamic uwepo wako Neema Maarifa ulikua mtaaluma bora ktk shule yetu, mazuri yako tumeyachukua

Tunawakaribisha wazazi kuwaandikisha darasa la kwanza na Awali kuanzia tutaendelea 17.01.2022  saa 2:00 asubuhi,karibuni...
11/01/2022

Tunawakaribisha wazazi kuwaandikisha darasa la kwanza na Awali kuanzia tutaendelea 17.01.2022 saa 2:00 asubuhi,karibuni sana,

Kikosi hatari cha Umitashumita 2021
27/04/2021

Kikosi hatari cha Umitashumita 2021

Utalii wa ndani,
22/01/2021

Utalii wa ndani,

Mahafari darasa la saba yameisha salaama      Mungu ni mwema
18/10/2020

Mahafari darasa la saba yameisha salaama
Mungu ni mwema

Vijana wa kisaki kituoni wakisikiliza jambo         Ukiona picha hii na ww unakumbukaa enzi hizo na ww ukiwa primary
05/10/2020

Vijana wa kisaki kituoni wakisikiliza jambo
Ukiona picha hii na ww unakumbukaa enzi hizo na ww ukiwa primary

Address

Box MOROGORO
Morogoro
610

Telephone

+255693257505

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kisaki kituoni primary school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category