Aweken on busines

Aweken on busines onlines business is every thing to our dairly life lets do together

Maziko ya mwanafunzi Mhoja Maduhu aliyekuwa akisoma kwenye shule ya sekondari Mwasamba ambaye anadaiwa kufariki kutokana...
08/03/2025

Maziko ya mwanafunzi Mhoja Maduhu aliyekuwa akisoma kwenye shule ya sekondari Mwasamba ambaye anadaiwa kufariki kutokana na kupigwa viboko na mwalimu wake yanatarajiwa kufanyika leo Machi 8, 2025.

Tayari mwili wa mwanafunzi huyo umewasili nyumbani kwao kwenye kijiji cha Lutubiga wilayani Busega mkoani Simiyu kwa ajili ya shughuli za maziko.

Wakiwa kwenye msafara wa kuusindikiza mwili huo nyumbani hapo waombolezaji wameonekana wakiwa na ujumbe ulioandikwa kwenye mabango ‘Kupiga Sio Kufundisha’.

Imeandaliwa na Rehema Evance

Mhariri

08/03/2025



08/03/2025
I have reached 100 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉
07/03/2024

I have reached 100 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉

Address

Kigurunyembe
Morogoro

Telephone

+255683202262

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aweken on busines posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Aweken on busines:

Share

Category