07/05/2025
MICHEZO ITAKAYOFANYA DAYCARE YAKO KUVUTIA BILA KUTUMIA MAMILIONI WALA STRESS
Na Mr. Matairi Playmaker
Bingwa wa Michezo ya Watoto kwa Gharama Ndogo
K**a wewe ni mmiliki wa daycare au shule ya awali, najua ndoto yako ni kuona mahali pako panang'aa, panavutia, na watoto wanajifunza kwa furaha. Lakini changamoto kubwa huwa moja: gharama.
Watu wengi huamini kuwa ili kuboresha mazingira ya shule au daycare, lazima uwe na mamilioni ya pesa. Lakini
ukweli ni huu:
Ubunifu + Matairi + Mr. Matairi Playmaker= Daycare yenye mvuto
Mimi mwenyewe nimepitia changamoto hizo. Lakini nilichogundua ni kuwa matairi yanaweza kugeuka kuwa hazina ya ajabu. Michezo ya watoto, vifaa vya mafunzo, mapambo ya shule yote yamepatikana kwa ubunifu tu.
Tazama baadhi ya maajabu ya matairi niliyotengeneza Kwenye daycares na shule zaidi ya 70
Wewe Unaweza kupata kwa Bei ya OFA hadi tarehe 11/5!
Jumping Tyres – Michezo ya kuruka inayojenga akili na misuli kuanzia 30,000-90000
Bembea za Matairi – Rahisi kutengeneza, salama na za kuvutia. 120,000-350,000
Seesaw za Matairi – Furaha ya pamoja kwa watoto wawili au zaidi. 70000-110000
Mountain Climbers – Michezo 3 sehemu moja 500,000/=
Tyre Rockers – Burudani kwa watoto wadogo. Tsh 50,000/=
Playground yakuvutia+MICHEZO : inategemea na eneo Lako pamoja na package
Animal Shapes – Tembo, simba, twiga… watoto hujifunza wakiwa na furaha.(Package ya playground)
Tyre Calculator – Matairi yenye namba kwa mazoezi ya hesabu.(Package ya playground)
Word Maker Tyres – Herufi kwenye matairi kuwafundisha watoto kusoma kwa kucheza(package ya playground).
Ndio maana watu wananitambua k**a Mr. Matairi Playmaker. Si kwa bahati ni kwa kazi, uvumbuzi, na mapenzi kwa watoto.
OFA HII NI KWA WATU 10 TU
Mwisho 11/5
Bonyeza HAPA kuweka ORDER!
(wa.me/255769024172)
au
Jiunge na Mr. Matairi Playmaker Group Maalum la Ubunifu (BURE!)
kujifunza zaidi, kupata maoni au kushirikiana na wamiliki wa shule na daycare wengine!
https://chat.whatsapp.com/JxxunCWJrBJ828u5s0w3Oh
Kwa mawasiliano zaidi:
Simu/WhatsApp: 0769024172
Instagram: .matairiplaymakertz Email: [email protected]