SUASO updates

SUASO updates Aridhi ni hazina

26/04/2023

Mr & Miss SUA and SUA awards karibuni kuanza, changamkia fursa, thibitisha ushiriki wako kwa kuchukua fomu ya ushiriki.

& Miss SUA and SUA awards 2023 Sisi ndiyo wenyewe.

Tarehe 24/04/2023, viongozi wa serikali ya wanafunzi SUASO watembelea bunge kwa lengo la kujifunza Shughuli za kibunge.
26/04/2023

Tarehe 24/04/2023, viongozi wa serikali ya wanafunzi SUASO watembelea bunge kwa lengo la kujifunza Shughuli za kibunge.

Muungano wetu udumu daima
26/04/2023

Muungano wetu udumu daima

Serikali ya wanafunzi SUASO, kupitia wizara ya Habari na mawasiliano inapenda kuwataarifu wanaSUASO wote kuwa:-Sikukuu y...
13/04/2023

Serikali ya wanafunzi SUASO, kupitia wizara ya Habari na mawasiliano inapenda kuwataarifu wanaSUASO wote kuwa:-

Sikukuu ya Mei mosi 2023 kitaifa itafanyika mkoani Morogoro, mahali ni viwanja vya Jamhuri, mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN.

Aidha, SUASO inatoa wito kwa wanafunzi wote SUA, kuhudhuria maadhimisho ya sikukuu hiyo, mwanafunzi 500 wa mwanzo watapewa fulana(T-shirt) za maadhimisho bure kabisa.

Pia, Usafiri wa kwenda na kurudi utakukuwepo.

Thibitisha ushiriki wako kwa kujaza taarifa zako kupitia Google fomu iliyoambatana na tangazo hili.
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSd0nHLH02hKvbBhWZCi6ITvAoDYyWCpIYyg2M6gTGQHSYmqzA/viewform?usp=sf_link

Kwa mawasiliano piga namba:-
0676025422
0674100033.


JUSTICE, TRANSPARENCY AND GOOD GOVERNANCE 2022-2023

Msimu mpya wa MR AND MISA SUA AWARDS 2022/2023 umewadia, thibitisha ushiriki wako sasa
13/04/2023

Msimu mpya wa MR AND MISA SUA AWARDS 2022/2023 umewadia, thibitisha ushiriki wako sasa

Masaa mawili ya DCT OMAR KASUW, Daktari bingwa wa moyo kwenye kipindi Cha Mseto Moto, SUA FM 101.1
01/11/2022

Masaa mawili ya DCT OMAR KASUW, Daktari bingwa wa moyo kwenye kipindi Cha Mseto Moto, SUA FM 101.1

30/10/2022

Wanafunzi wa mwaka wa kwanza waeleza jinsi walivyopokelewa kwa upendo mkubwa na kupewa maelekezo muhimu ya kuzingatia wakati wote wawapo chuoni, Sambamba na hilo wameeleza matarajio yao kuwepo SUA kwa muda wote wa masomo yao.

Campus life, at SUA FM 101.1, muda ni kwanzia saa nne kamili asubuhi,   tune
29/10/2022

Campus life, at SUA FM 101.1, muda ni kwanzia saa nne kamili asubuhi,
tune

Ni maelekezo muhimu sana kutoka Wizara ya Afya, Chakula na mazingira SUASO
29/10/2022

Ni maelekezo muhimu sana kutoka Wizara ya Afya, Chakula na mazingira SUASO

Viongozi mbalimbali wa serikali ya wanafunzi SUASO Kwa umoja wao walihudhuria tukio la Orientation Kwa mwaka wa kwanza l...
29/10/2022

Viongozi mbalimbali wa serikali ya wanafunzi SUASO Kwa umoja wao walihudhuria tukio la Orientation Kwa mwaka wa kwanza lililofanyika siku ya Jana tarehe 28/10/2022 katika ukumbi wa freedom square, Solomon mahlangu campus.

Rais wa serikali ya wanafunzi SUASO Mhe, RAJABU SEIF HEKAHEKA akiongea na wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliochaguliwa ku...
29/10/2022

Rais wa serikali ya wanafunzi SUASO Mhe, RAJABU SEIF HEKAHEKA akiongea na wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliochaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha kilimo SUA katika tukio la Orientation lililofanyika jana tarehe 28/10/2022 katika ukumbi wa freedom square, Solomon mahlangu campus.

Wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika tukio la Orientation lililofanyika Jana tarehe 28/10/2022 mahali ni ukumbi wa freedo...
29/10/2022

Wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika tukio la Orientation lililofanyika Jana tarehe 28/10/2022 mahali ni ukumbi wa freedom square, Solomon mahlangu Campus.

Tukio hilo lilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha kilimo SUA wakiongozwa na mgeni rasmi Prof RAPHAEL CHIBUNDA makamu mkuu wa Chuo.

Walikuwepo pia viongozi wa serikali ya wanafunzi SUASO wakiongozwa na Rais wa serikali ya wanafunzi SUASO 2022/2023 mhe RAJABU, SEIF HEKAHEKA, Mawaziri, manaibu waziri, makatibu wa wizara mbalimbali katika serikali ya wanafunzi, Viongozi wa Bunge la wanafunzi wakiongozwa na naibu spika Mhe EZRA MGAYA na katibu wa Bunge mhe, ASHA MAULID, viongozi wa Cr's board wakiongozwa na mwenyekiti Mhe HAMZA MBARUKU pamoja na viongozi wengine wengi

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SUASO updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to SUASO updates:

Shortcuts

Share