Dayosisi ya morogoro Anglican vtc

Dayosisi ya morogoro Anglican vtc Vocational training centre

Mungu awalinde na kuwasimaamia ktk maoso yenu na ndoto zetu.hakika mmezakiwa upya
23/05/2023

Mungu awalinde na kuwasimaamia ktk maoso yenu na ndoto zetu.hakika mmezakiwa upya

Tunamshukuru mungu kwa kutuwezesha kuwalea vijana kwenye misingi ya dini na kumjua mungu hawa ni wanafunzi ambao wameacha historia kubwa kwetu kwa kuweza kubatizwa na kumpokea yesu kuwa bwana na mwokozi ktk maisha yetu.sisi k**a viongozi tumefurahi na tutaendelea kuwalea watt katka misingi ya kumjua mungu ili waweze kuwa na hofu ya mungu kuacha matendo mabaya na kufanya matendo mema yanayompendeza mungu.tunawashukuru wachungaji na wazazi wa vijana hawa kwa hamasa za mara kwa mara na kutujenga kiroho.

Tunamshukuru mungu kwa kutuwezesha kuwalea vijana kwenye misingi ya dini na kumjua mungu hawa ni wanafunzi ambao wameach...
23/05/2023

Tunamshukuru mungu kwa kutuwezesha kuwalea vijana kwenye misingi ya dini na kumjua mungu hawa ni wanafunzi ambao wameacha historia kubwa kwetu kwa kuweza kubatizwa na kumpokea yesu kuwa bwana na mwokozi ktk maisha yetu.sisi k**a viongozi tumefurahi na tutaendelea kuwalea watt katka misingi ya kumjua mungu ili waweze kuwa na hofu ya mungu kuacha matendo mabaya na kufanya matendo mema yanayompendeza mungu.tunawashukuru wachungaji na wazazi wa vijana hawa kwa hamasa za mara kwa mara na kutujenga kiroho.

Chuo chetu kinajivunia wanafunzi Bora na kuhakikisha mnapata ajira na Sasa mpo kwenye ajira na mnatuwakilisha vyema.tuna...
19/05/2023

Chuo chetu kinajivunia wanafunzi Bora na kuhakikisha mnapata ajira na Sasa mpo kwenye ajira na mnatuwakilisha vyema.tunamshukuru mungu kwa kutuwezesha kufanikisha ahadi yetu inatimia nanyi mnatimiza ndoto zenu.ikawe heri kwenye majukumu yako

Chuo chetu kimekuwa kikitia ajira na hawa ni baadhi ya wanafunzi ambao tayari wapo kwenye ajira.karibuni sana nafasi zip...
19/05/2023

Chuo chetu kimekuwa kikitia ajira na hawa ni baadhi ya wanafunzi ambao tayari wapo kwenye ajira.karibuni sana nafasi zipo kwa intake ya 2 mwezi wa sita masomo yanaanza

19/05/2023
Karibuni watu wote tusome na tupate ujuzi pamoja na ajira kwa ada nafuu sana.chuo kinamazingira mazuri sana kipo ndani y...
07/01/2023

Karibuni watu wote tusome na tupate ujuzi pamoja na ajira kwa ada nafuu sana.chuo kinamazingira mazuri sana kipo ndani ya kanisa nahostel zipo zakutosha.karibuni wote ada mzazi unaanza na ulichonacho.

Chuo Cha ufundi stadi Veta (Anglican VTC) kilichopo Morogoro mjini,kinawakaribisha watu wote bil kujali itikadi za dini ...
29/07/2022

Chuo Cha ufundi stadi Veta (Anglican VTC) kilichopo Morogoro mjini,kinawakaribisha watu wote bil kujali itikadi za dini kwa mafunzo ya kozi mbalimbali.
Kosi hizi ni k**a ifuatavyo
1.Ushonaji
2.Hotel management
3.Computer kwa kozi za awali
4.Upambaji
5.Udalizi

Kozi hizi hutolewa kwa mda wa miezi 6 mpaka miaka miwili.
Chuo chetu kimesajiliwa na VETA kwa kutoa mafunzo hayo,pia chuo chetu kina hostel kwa wanafunzi wanaotoka mbali au nje ya mkoa wa Morogoro kwa mawasiliano tupigie 0719301128 au tuma barua pepe [email protected]
Tunawakaribisha sana

22/07/2022

Wanafunzi wa Anglikan vtc wakijielezea ni jinsi gani wanavyo furahia masomo wanayo fundishwa na wanavyoishi kwenye mazingira ya chuo wakiwa nafuraha tele.

Tunatoa elimu lakini pia tunamwabudu mungu.
26/06/2022

Tunatoa elimu lakini pia tunamwabudu mungu.

Address

Lusegwa
Morogoro

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255719301128

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dayosisi ya morogoro Anglican vtc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Dayosisi ya morogoro Anglican vtc:

Shortcuts

Share