10/01/2024
Ujinga ni kukosa maarifa, ujuzi, ufahamu, na uelewa. Katika maisha haya, unachokijua ndiyo ulinzi wako. Mafanikio yako katika kufanya jambo lolote yanategemea ufahamu wako katika jambo hilo. Pasipo maarifa sahihi mtu anakosa nguvu za kufanikisha mambo. Ujinga ni sawa na uhanithi.
!