02/11/2024
FOUNTAIN MOROGORO GRADUATION CEREMONY
Mkurugenzi wa Fountain Gate Academy Ndg Japheth Makau akizungumza wakati wa sherehe ya Mahafali ya Darasa la saba na Pre unit hapa Fountain Morogoro Leo. Ametumiai fursa hiyo kumkaribisha Mgeni rasmi Bi. Esther Mwigune Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Kihonda Morogoro.
Wahi sasa YouTube channel ya FGA TV kushuhudia sherehe mbashara.