Afun To You 4

Afun To You 4 A preschool, also known as nursery school, is an educational establishment or learning space offerin

Throw back 2021. A visit to Mikumi
30/01/2022

Throw back 2021. A visit to Mikumi

01/01/2022

May The Year 2022 Bring for You…. Happiness,Success and filled with Peace, Hope and Togetherness of your Family and Friends…. Wishing You a…*HAPPY NEW YEAR 2022*

28/08/2021

Holiday is on its way

01/07/2021

WAKAZI WA MOROGORO NA VIUNGA VYAKE..KARIBUNI SANA KWA MDAU, LETENI WATOTO WENU WADOGO WAPATE ELIMU NA MALEZI BORA KWA GHARAMA NAFUU SANA..

TAREHE 05/07/2021 ILEEEE... KARIBUNI SANA WADAU...

PRAISE NURSERY AND DAYCARE CENTER.
Tunapokea watoto wa kuanzia umri wa miaka 2 mpaka miaka 5.
Wazazi waepusheni watoto na unyanyasaji wanaopata wanapobaki na watu wasio na upendo nao.
Unamwacha mtoto wako unapoenda kazini na kumpitia jioni.
Tuna walezi wenye uzoefu na upendo kwa watoto.

Mazingira ni salama kwa watoto.

Watoto watapatiwa chakula cha asubuhi na mchana.

Tunapatikana Kihonda Mkundi (majeshi)

Ada zetu ni nafuu sana.
Wasiliana nasi kwa 0716400018/0629569877

01/07/2021
π—œπ— π—˜π—”π—‘π——π—œπ—žπ—ͺ𝗔: ....... β€œMkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.” β€” π— π—œπ—§π—›π—”π—Ÿπ—œ 𝟰:𝟭𝟯 (Biblia...
26/03/2021

π—œπ— π—˜π—”π—‘π——π—œπ—žπ—ͺ𝗔: ....... β€œMkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.” β€” π— π—œπ—§π—›π—”π—Ÿπ—œ 𝟰:𝟭𝟯 (Biblia Takatifu)

π—˜π—Ÿπ—œπ— π—¨ 𝗬𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔: Ijapokuwa uvaaji wa viatu virefu (high heel shoes), yumkini huenda ikawa ni jambo linalochukuliwa la kawaida kutokana na mtazamo wa kifasheni; hata hivyo kiafya sio salama kabisa, kwani husababisha athari hasi (negative effects) kwa hao wanaozitumia. Na zaidi huzaa ugonjwa uitwaoΒ» , yaani ugonjwa wa kusagika kwa utepe laini unao kaa kati ya viungo vya mifupa mikubwa na midogo; hasa penye maungio; iliyo maalum kwa ajili ya kuwezesha hali ya kuchukuliana na kushirikiana kwa mienendo ya mifupa ya mwili pamoja na kuipa mwili msimamo wake husika. (I mean body flexibility and it's structure).

Viungo lengwa ni maungio kati ya vidole na mfupa wezeshi, kisigino, goti, kiuno na uti wa mgongo; hivi ni viungo vinavyo athirika moja kwa moja, ila iliyo hatari zaidi ni kiuno na uti wa mgongo (the spinal cord) hasa kwenye vipingili

⚠️ 𝗩𝗔𝗔 π—©π—œπ—”π—§π—¨ π—›π—œπ—©π—œ π—žπ—ͺ𝗔 𝗛𝗔𝗦𝗔π—₯𝗔 π—¬π—”π—žπ—’ !!

10/03/2021

New man in town

Address

Mkundi
Morogoro

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:30 - 13:00

Telephone

+255716400018

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afun To You 4 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category