Mlabani Secondary School

Mlabani Secondary School shule

Kazi ya 2025 imeisha Kwa Division Zero 1 tunajipanga Upya Kuludi imara 2026 We're Mlabani Secondary School πŸ«πŸŽ’
12/03/2026

Kazi ya 2025 imeisha Kwa Division Zero 1 tunajipanga Upya Kuludi imara 2026

We're Mlabani Secondary School πŸ«πŸŽ’

Magoa akipokea kitita Cha 10000 kutoka idara ya History baada ya matokeo mazuri ya kidato Cha Pili kutoka Kwa Madame Ndi...
11/02/2026

Magoa akipokea kitita Cha 10000 kutoka idara ya History baada ya matokeo mazuri ya kidato Cha Pili kutoka Kwa Madame Ndimo

Zawadi mbali mbali zikikabidhiwa Kwa Walimu wa Mlabani Secondary school Kwa Matokeo mazuri ya kidato Cha Pili na Cha nne...
11/02/2026

Zawadi mbali mbali zikikabidhiwa Kwa Walimu wa Mlabani Secondary school Kwa Matokeo mazuri ya kidato Cha Pili na Cha nne mbele ya Mkuu wa shule,Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Mlabani Bodi ya shule,viongozi wa shule,Walimu na watumishi wote wa Taasisi ya Mlabani Secondary mwaka ujao tunafuta zero na Division Four

Form four RESULTS 2025 Hongera Sana Kwa Wahitimu,Na Mungu Awatangulie kwenye Safari Yao ya mbele, Ikawe Juhudi Zaidi Kwa...
31/01/2026

Form four RESULTS 2025 Hongera Sana Kwa Wahitimu,Na Mungu Awatangulie kwenye Safari Yao ya mbele, Ikawe Juhudi Zaidi Kwa Wanaofata 2026

Wanafunzi Waliofanya Mtiani 177 waliofaulu 176 Aliefeli 1

We're Mlabani Secondary School πŸ«πŸŽ’

KILA LA KHERI WAHITIMU WA MWAKA 2025 FORM FOUR πŸ€πŸ•“ Mungu awatangulie kwenye Mitihani Yao Form four  wote Tanzania Hasa Ml...
16/11/2025

KILA LA KHERI WAHITIMU WA MWAKA 2025 FORM FOUR πŸ€πŸ•“

Mungu awatangulie kwenye Mitihani Yao Form four wote Tanzania Hasa Mlabani Secondary inayoanza Leo tarehe 17/11/2025, muende mkafanye Vizuri,mkajibu kile mlichofindishwa na walimu wenu

Inshallah Mungu Mwema atawajalia Wakati wote

KARIBU MLABANI SECONDARY SCHOOL πŸ«πŸŽ’
25/10/2025

KARIBU MLABANI SECONDARY SCHOOL πŸ«πŸŽ’

πŸ“ΈπŸ“ΈπŸ“Έ
16/10/2025

πŸ“ΈπŸ“ΈπŸ“Έ

Graduation πŸŽ“ 2025 Mlabani SecondaryπŸ“ΈπŸ“·πŸ“Έ
16/10/2025

Graduation πŸŽ“ 2025 Mlabani SecondaryπŸ“ΈπŸ“·πŸ“Έ

16/10/2025

KARIBUNI KWENYE MAHAFARI LEO MLABANI SECONDARY 16/10/ 2025

27/09/2025

GRADUATION 2025 COMING SOON πŸ”œ
MSSπŸ”₯

R. I. P ABDULLπŸ’”πŸ’”πŸ˜­πŸ˜­πŸ’”πŸ’”Wana Mlabani na Familia kwa Ujumla Tumepokea kwa masikitiko Kufatia Kifo Cha Alikuwa Mwanafunzi wa M...
09/12/2024

R. I. P ABDULLπŸ’”πŸ’”πŸ˜­πŸ˜­πŸ’”πŸ’”

Wana Mlabani na Familia kwa Ujumla Tumepokea kwa masikitiko Kufatia Kifo Cha Alikuwa Mwanafunzi wa Mlabani Secondary Abdull aliehitimu Kidato Cha Nne Mwaka 2020

MUNGU Ailaze Roho ya Marehem pema peponi

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mlabani Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category