St Agnes Kwiro Girls' Secondary School

St Agnes Kwiro Girls' Secondary School St Agnes Kwiro Sekondari ni shule ya bweni ya wasichana iliyopo wilayani Ulanga na inamilikiwa na Jim

Jumapili tarehe 10 mwezi wa 11 tunawatakia wanafunzi wa kidato cha nne BAHATI NJEMA kwa mitihani yao ya kitaia.  Walifur...
13/11/2024

Jumapili tarehe 10 mwezi wa 11 tunawatakia wanafunzi wa kidato cha nne BAHATI NJEMA kwa mitihani yao ya kitaia. Walifurahia kula keki na kunywa soda na matakwa mema kutoka kwa walimu na wazazi.

28/07/2024
Wote mnakariboshwa
28/07/2024

Wote mnakariboshwa

Ziara yetu katika Kasita Seminari.
19/02/2024

Ziara yetu katika Kasita Seminari.

19/02/2024

Jumamosi kidato cha nne tulifanya mdahalo Kasita Seminari. Hoja ilikuwa 'UMASKINI KATIKA NCHI ZILIZOENDELEA KIDOGO UNASABABISHWA NA UVIVU'. Kasita akiunga mkono na St Agnes akipinga. Tulikuwa ma mjadala mzuri, chakula cha mchana kizuri na TULISHINDA! Alama 15 kwa alama 22. HONGERA!

28/09/2023

Nafasi za masomo 2023/2024

Jumamosi iliyopita Skauti wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Agnes Kwiro walihudhuria mahafali ya Vigoi tarafa kid...
30/08/2023

Jumamosi iliyopita Skauti wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Agnes Kwiro walihudhuria mahafali ya Vigoi tarafa kidato cha nne.

Tarehe 19 Agosti kidato cha kwanza na cha tatu tulikuwa na mdahalo na Seminari ya Kasita. Hoja ilikuwa Ndoa za Mapema kw...
30/08/2023

Tarehe 19 Agosti kidato cha kwanza na cha tatu tulikuwa na mdahalo na Seminari ya Kasita. Hoja ilikuwa Ndoa za Mapema kwa Wasichana Zipigwe Marufuku katika Nchi yetu. Wavulana walikuwa wakiunga mkono hoja na St Agnes walikuwa wakipinga. Hili lilikuwa gumu sana kwa wanafunzi wetu lakini walifanya kazi kwa bidii sana. Kasita alishinda kwa pointi 1 pekee.

30/08/2023

Jana tulimkaribisha Bikira Maria Jimboni Mahenge. Yuko katika safari ya kwenda Dayosisi yote Tanzania

30/08/2023

Jana tulimkaribisha Bikira Maria Jimboni Mahenge. Yuko katika safari ya kwenda Dayosisi yote Tanzania.

Address

Mahenge, Ulanga
Morogoro

Telephone

+255624618375

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St Agnes Kwiro Girls' Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to St Agnes Kwiro Girls' Secondary School:

Shortcuts

Share

Category