Orkeeswa Primary School Monduli

Orkeeswa Primary School Monduli Education is the most powerful weapon which you can use to change the world. Nelson Mandela

Orkeeswa is a primary school located in Orkeeswa village in Monduli District. The school has three buildings whose first building consists of three classrooms and the second has two classrooms as well as a teachers' office. The third building consists of two classrooms and a food stoore as well as the school head teacher's office.

Hallo Dominica, thank you very much for visiting us. Last year, November, you visited us and our students were very very...
21/03/2026

Hallo Dominica, thank you very much for visiting us. Last year, November, you visited us and our students were very very happy for youre visiting.
It was plesure to have you in orkeeswa primary school. Thank you for sharing your experience with them.
we are looking forward to see you next time.

Thank you.
Orkeeswa primary school

Preparations for our students' small garden
17/01/2026

Preparations for our students' small garden

Hayo hapo matokeo na ufaulu wa watoto wetu.Pongezi kubwa sana iwafikie walimu wote waliojitahidi kuakikisha kuwa watoto ...
25/11/2025

Hayo hapo matokeo na ufaulu wa watoto wetu.
Pongezi kubwa sana iwafikie walimu wote waliojitahidi kuakikisha kuwa watoto wetu wanapata alama nzuri kwenye mtihani yao.
Tunashukuru sana.

25/11/2025

Matokeo ya Darasa la saba yametoka.
wazazi waliopo kwenye mitandao za kijamii muwajulishe wazazi wenzenu kuwa watoto wamefaulu waweze kujiaanda.

Elimu kwa kila mtoto.

18/04/2025

Shoutout an meine neuesten Follower! Ich freue mich, dass ihr jetzt mit dabei seid. Kilusu Teitoy, Happy Laizer

Habari za mda huu wadau wa shule ya msingi Orkeeswa.Shule yetu inahitaji kupata mashine ya kuchapishia mtihani kwa wanaf...
18/04/2025

Habari za mda huu wadau wa shule ya msingi Orkeeswa.
Shule yetu inahitaji kupata mashine ya kuchapishia mtihani kwa wanafunzi watu wa shule ya msingi. Chombo hichi itasaidia na kurahizisha pia utenegenezaji wa mtihani kwa wanafunzi wetu. Sisi k**a wadau wa Shule yetu ya Orkeeswa tumekuja kwenye page yetu ambyo tunajua kwamba tutawafikia watu wengi sana mfano wanafunzi waliowahi kusoma hapa na wadau mbali mbali wenye nia ya kuisaidia Shule kupata chombo hichi. Copy printer inazwa pesa nyingi ndoo maana tumekuja kuwaomba mchango wenu ili kuweza kupata chombo hichi.
Tunaomba kile chochote mlichonacho au k**a kuna atakeyejitokea na kutufadhili itakuwa msaada mkubwa sana kwa wanafunzi wetu. Toa leo zaidia watoto wetu kuwa Taifa tegemezi la kesho.
Kwa maswali aina yeyote tupo kwa ajili yenu na tutawajibu kwa kadri ya uwezo wetu.
Kwenye picha hapo chini ndoo vitu tunasozihitaji.

Copy printer
Colour printer (Rangi ya mashine)
White peper[Makaratasi meupe ya Rimu]

Matokeo mazuri ya 2023 Orkeeswa primary school.
18/11/2024

Matokeo mazuri ya 2023 Orkeeswa primary school.

Haya ndoo matokeo ya shule yetu ya Orkeeswa.Wapendwa wazazi hakikisheni kuwa wahitimu wa darasa la saba wanaripoti mwezi...
17/11/2024

Haya ndoo matokeo ya shule yetu ya Orkeeswa.
Wapendwa wazazi hakikisheni kuwa wahitimu wa darasa la saba wanaripoti mwezi January kwenye shule walizopangiwa.
Hatua za kisheria zitachukuliwa kwa mzazi yeyote atayemteketeza mtoto wake kwa njia aina yeyote.
Darasa la saba sio mwisho wa elimu kwa wanafunzi wetu. Elimu ndoo ufunguo wa maisha ya kila mtoto. Kila mtoto ana haki ya kupata elimu. Endapo mzazi anashindwa kumpeleka mtoto wake shuleni kwa sababu ya kipato cha maisha, tunaomba muweze kuwasiliana na mwalimu mkuu wa shule yetu ya Orkeeswa ili uweze kupata masaada wa matumizi ya mwanafunzi ili mpaka mwezi wa January mtoto aweze kuripoti shuleni.
Asanteni.
K

17/11/2024

Matokeo ya Darasa lasaba yalishatoka japo hairishi vizuri lakini hili Walimu na k**ati ya shule itajitahidi kutengenezea watoto mazingira mazuri ya kusomea.
Kwa wale watoto waliofaulu tunawaaomba wazazi mhakikishe kuwa watoto wanaripoti kwenye shule walizopangiwa bila kukosa.

Karibu tujenge Orkeeswa yetu. Umoja ni nguvu.
13/01/2023

Karibu tujenge Orkeeswa yetu. Umoja ni nguvu.

03/01/2023

Happy new year.
Sasa tumeingia mwaka 2023 na ni mwaka wa mafanikio na ni mwaka pia wa kuwapeleka watoto waliohitimu umri mashuleni. Hakikisha unampeleka mwana shule akapate Elimu na maarifa katika maisha yake.
Shukrani ziwafikie walimu wote wa Orkeeswa primary school kwa malezi bora kwa wanafunzi wetu.

Tunawatakia salamu nyingi sana za mwaka mpya.

Address

Arusha
Monduli
23403

Opening Hours

Monday 07:00 - 16:30
Tuesday 07:00 - 16:30
Wednesday 07:00 - 16:30
Thursday 07:00 - 16:30
Friday 07:00 - 16:30

Telephone

+255758692504

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Orkeeswa Primary School Monduli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Orkeeswa Primary School Monduli:

Shortcuts

Share