Tucasa CTF

Tucasa CTF Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tucasa CTF, Education Website, Mikumi.

This is the official page of Tucasa CTF (Tanzania University and College Adventist Students Association) that are in Central Tanzania Field of Seventh Day Adventist Church.

Federation Mafinga 2026 💙TUCASA CTF inakualika kwenye tukio maalum lenye lengo la CTF Leadership Handover pamoja na CTF ...
16/04/2026

Federation Mafinga 2026 💙
TUCASA CTF inakualika kwenye tukio maalum lenye lengo la CTF Leadership Handover pamoja na CTF Office Construction Project.
📅 Tarehe: 25 April 2026
📍 Mahali: Mafinga, Iringa
⏰ Mwisho wa usajili: 23 April 2026
🚍 Usafiri: Go & Return – 35,000/=
Kwa maelezo zaidi na malipo, wasiliana na viongozi wako wa mawasiliano.
✨ All Members are Invited

🔥 LET YOUR LIGHT SHINE ✍️For your light to shine, your mind must be healthy. 🧠📢At this SUMMIT, we proudly introduce *DR ...
05/03/2026

🔥 LET YOUR LIGHT SHINE
✍️For your light to shine, your mind must be healthy. 🧠

📢At this SUMMIT, we proudly introduce *DR LIVINGSTONE KINGU –* Mental & Health Facilitator

⭐Mental health is the source of your light. Don’t let the darkness of pressure dim your glow.

🙏Members, don’t miss it. It’s your time to shine. ✨


Tanzania Universities and Colleges Adventist Student Associations (TUCASA) – Central Tanzania Field (CTF) tunakuletea tu...
25/02/2026

Tanzania Universities and Colleges Adventist Student Associations (TUCASA) – Central Tanzania Field (CTF) tunakuletea tukio maalum litakalowakutanisha wanachama wote wa CTF kwa siku ya kipekee ya umoja, maono na misheni.

📍 Location: UDOM Chimwaga Hall
👥 Participants: Wanachama wote wa CTF
📅 Date: 28 Februari 2026
⏰ Time: 8:00AM – 5:00PM

WACHUNGAJI WATAKAO HUDHURIA
Pr. Filbert Mwanga
Pr. Yona Mabu
Pr. Paul Semba
Pr. Sabato Maseke
Pr. Steven Kato
Pr. Enock Mbogo

Karibu tushirikiane katika roho ya umoja na huduma.
✨ You are warmly welcome
>

🎶✨ MUSIC CONCERT – NOTE IN MISSION SEASON 4 ✨🎶Tanzania Universities and Colleges Adventist Student Associations (TUCASA)...
17/02/2026

🎶✨ MUSIC CONCERT – NOTE IN MISSION SEASON 4 ✨🎶
Tanzania Universities and Colleges Adventist Student Associations (TUCASA) – Central Tanzania Field (CTF) wanakuletea tamasha la kipekee la muziki wa injili lenye kugusa mioyo na kuimarisha utume.
🗓 Tarehe: 20 Februari 2026
🕓 Muda: Saa 10:00 Jioni (4:00 PM)
📍 Mahali: Dodoma Kati SDA
🎤 Washiriki: Kwaya zote kutoka CTF
🎯 Theme: Note in Mission – Season 4
📖 “Living the Mission, Reaching the Nations”
Njoo tushirikiane katika sifa na kuabudu, tukiiishi dhamira ya utume kupitia muziki.
Karibu sana! 🤍

INTERZONAL FEDERATIONNyote mnakaribishwa sana katika siku hii tamu na Nzuri Zingatia mambo yote yaliyotajwa hapo na BWAN...
16/02/2026

INTERZONAL FEDERATION
Nyote mnakaribishwa sana katika siku hii tamu na Nzuri

Zingatia mambo yote yaliyotajwa hapo na BWANA akubariki sana unapojiandaa kushiriki kwa ukamilifu mkuu

>

KARIBUNI SANA KWENYEMIN FEDERATION & MUSIC CONCERT SEASON 4" NOTE IN MISSION "ENEO: MPWAPWA ZONETAREHE 14 Februari 2026N...
10/02/2026

KARIBUNI SANA KWENYE
MIN FEDERATION & MUSIC CONCERT SEASON 4
" NOTE IN MISSION "
ENEO: MPWAPWA ZONE
TAREHE 14 Februari 2026
NYOTE MNAKARIBISHWA.

🎤 NOTE IN MISSION – Music Concert (Session 03)Presented by Tanzania Universities and Colleges Adventist Students Associa...
03/02/2026

🎤 NOTE IN MISSION – Music Concert (Session 03)
Presented by Tanzania Universities and Colleges Adventist Students Association (TUCASA) – Central Field (CTF)
📝 Motto: Worship with Passion
📍 Venue: Gangilonga SDA, Iringa
📅 Date: 06 February 2026
⏰ Time: 16:00 – 19:00 EAT
✨ You all are invited!
📖 “Make a joyful noise unto the LORD, all the earth: make a loud noise, and rejoice, and sing praise.”
— Psalms 98:4
📸 Follow us on Instagram:

GOD THROUGH CREATION TUCASA CTF TOUR WAS DONE LIKE THATTHANK YOU ALMIGHTY FATHER. Special thanks .photographer27
30/12/2025

GOD THROUGH CREATION
TUCASA CTF TOUR WAS DONE LIKE THAT
THANK YOU ALMIGHTY FATHER.

Special thanks .photographer27

THANK YOU Pr. Sabato Maseke WELCOME Pr. Yona Mabu TUCASA CTF
21/12/2025

THANK YOU Pr. Sabato Maseke
WELCOME Pr. Yona Mabu TUCASA CTF

Sweet hours of Prayer    .photographer27
21/12/2025

Sweet hours of Prayer
.photographer27

PICHANI NI VIONGOZI MBALIMBALI WA TUCASA CTF PAMOJA NA WACHUNGAJI
21/12/2025

PICHANI NI VIONGOZI MBALIMBALI WA TUCASA CTF PAMOJA NA WACHUNGAJI

Address

Mikumi
+255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tucasa CTF posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share