IFM Tax Association

IFM Tax Association "IFMTA we aim HIGHER"

Sasa unaweza kupakua Jarida Mtandao la IFM Tax Association Kwa ku-scan QR code iliopo kwenye Poster. Pia, Link ya kupaku...
07/12/2024

Sasa unaweza kupakua Jarida Mtandao la IFM Tax Association Kwa ku-scan QR code iliopo kwenye Poster. Pia, Link ya kupakua na kusoma Jarida Online inapatikana kwenye Bio kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

!
!

TRA Tanzania

15/08/2024
*SABA SABA*Na Idara ya Habari &  Mawasiliano Rais wa IFMTA Ndg.      *IDDY JOHN LUKUBE* siku ya Jana Tarehe 08/07/2024 a...
09/07/2024

*SABA SABA*

Na Idara ya Habari & Mawasiliano

Rais wa IFMTA Ndg. *IDDY JOHN LUKUBE* siku ya Jana Tarehe 08/07/2024 ameshiriki katika Uelimishaji wa wageni walio tembelea Banda la mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Mwl. J.K Nyerere, Manispaa ya Temeke.

Ndg. Iddy ameelezea juu ya uwepo wa Klabu za Kodi, Malengo ya kuanzishwa na namna zinavyochangia kuongeza uelewa Juu ya Masuala ya Kodi katika Taasisi za kielimu na Jamii kwa Ujumla. Pia, ameelezea juu ya dhana ya ulipaji Kodi wa hiari (Tax compliance) pamoja na faida zake. Katika Zoezi Hilo Rais aliambatana na Makamu wake Bi. *ESTHER FESTO THOMAS*

Maonyesho ya 48 ya kimataifa ya Biashara yatahitimishwa Tarehe 13 Julai 2024.


*Heri ya Saba Saba ⚖️*Uongozi na Wanachama wa IFM Tax Association tunawatakia nyote heri ya Maadhimisho ya Saba Saba.Kat...
07/07/2024

*Heri ya Saba Saba ⚖️*

Uongozi na Wanachama wa IFM Tax Association tunawatakia nyote heri ya Maadhimisho ya Saba Saba.

Katika Maadhimisho haya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea Kuwakaribisha kutembelea Banda la Mamlaka lililopo Ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Mwl. J.K Nyerere.

TRA Tanzania

*SABA SABA 2024*Maonyesho ya 48 ya kimataifa ya Biashara yanaendelea Ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Mwl. J.K Nyerere...
04/07/2024

*SABA SABA 2024*

Maonyesho ya 48 ya kimataifa ya Biashara yanaendelea Ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Mwl. J.K Nyerere, Temeke ambapo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inashiriki Maonyesho hayo.

Ikiwakilishwa na Meneja Habari Mstaafu Ndg. THOMAS B. THOMAS, IFMTA imeungana na TRA pamoja na Klabu nyingine katika Utoaji wa Elimu ya Kodi kwa wageni wanao tembelea Banda la ambapo Jana Tarehe 3 Julai 2024 tumeungana na University of Dar es salaam Tax Association (UDTA) pamoja na klabu ya Kodi Shule ya sekondari St. Mary's.

Maonyesho ya 48 ya kimataifa ya Biashara yatahitimishwa Tarehe 13 Julai 2024. Mnakaribishwa kutembelea Banda la TRA 🤝

!

TTRA TanzaniaTTRA TanzaniaUUniversity of Dar es salaam Tax AssociationoUniversity of Dar es salaam Tax AssociationDUniversity of Dar es salaam Tax AssociationeUniversity of Dar es salaam Tax AssociationsUniversity of Dar es salaam Tax AssociationTUniversity of Dar es salaam Tax AssociationAUniversity of Dar es salaam Tax Association@urtmof


Tunawatakia maadhimisho Mema ya Siku ya Wafanyakazi Duniani  .  !  !
01/05/2024

Tunawatakia maadhimisho Mema ya Siku ya Wafanyakazi Duniani .




!

!

 Congratulations for the Last debate winners,, We Always Aim Higher!!
25/03/2024



Congratulations for the Last debate winners,, We Always Aim Higher!!





Uongozi na Wanachama wa klabu ya Kodi Chuo Cha usimamizi wa Fedha unawatakia Mfungo mwema wa Mwezi wa Ramadhani.
10/03/2024

Uongozi na Wanachama wa klabu ya Kodi Chuo Cha usimamizi wa Fedha unawatakia Mfungo mwema wa Mwezi wa Ramadhani.

Happy international women's day to you Super woman!!IFMTA recognizes your efforts to build a better experience, And abil...
08/03/2024

Happy international women's day to you Super woman!!

IFMTA recognizes your efforts to build a better experience, And abilities to enhance country's development. We celebrate You.



,issue a Receipt and Whenever you BuyDemandAreceipt.

IFMTA Inaungana na Watanzania kuomboleza Msiba wa aliyekuwa Rais wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi.TRA Tanzania
01/03/2024

IFMTA Inaungana na Watanzania kuomboleza Msiba wa aliyekuwa Rais wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi.

TRA Tanzania

Address

Kivukoni
Mikocheni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IFM Tax Association posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to IFM Tax Association:

Shortcuts

Share

Category