Ray mwashambwa

Ray mwashambwa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ray mwashambwa, College & University, Morogoro, Mikocheni.

27/03/2026
17/01/2026

😆😆

20/08/2025

😂😂💪

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Raymund Mbunda, Debora Mzumbwe, Renatus Raulent, Veronica...
28/05/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Raymund Mbunda, Debora Mzumbwe, Renatus Raulent, Veronica Mwampashi, Selina Mbembela

Full time   3 - 2   What a match 🔥🔥✍️mechi ya kwanza kutoa hat trick 🔥 NBCPL ✍️nadhani katika siku iliyokuwa nyepesi kwa...
19/12/2024

Full time 3 - 2

What a match 🔥🔥
✍️mechi ya kwanza kutoa hat trick 🔥 NBCPL

✍️nadhani katika siku iliyokuwa nyepesi kwa mwanamfalme kupachika mipira wavuni basi ni leo wapishi wa mabao walikuwa ni wengi na walikuwa na siku nzuri kazini🔥

✍️ Maliki na Ame walikosa mawasiliano katika kufanya marking kwa dube ikawa ni nafasi na kazi nyepesi kwa mwana mfalme kuanza kutengeneza confidence .
✍️ Komeny anajambo la kujifunza kotoka kwa mshery japo neno langu sio sheria
✍️ Kibwana apewe heshima yake bado anakitu cha ziada hajaifikia uko kwa
kumuweka nkane kweñye nafasi yake hiii mechi ya leo iwe funzo kwa viongozi na benchi la ufundi🤏

✍️ Paccome ni mtu na nusu ball dancer , dribbling skills, intensity , workrate yaani mapafu ya mbwa 🔥🔥 alitakiwa kumaliza dk 90

✍️ Kuna mda unakaa unafikiria ivi huyu mzize ndiye yule walikuwa wanasema ni bodaboda afu unajijibu mwenyewe kwamba emu mdomo tulia macho yaendelee kuhifadhi ushahidi mbele ya hakimu kweñye kesi ya udhalilishaji wa football 🤔

✍️ No diara, no max , no problem

Magoli ya mashujaa hasa goli la pili ni uzembe wa Komeny poor clearance goli la kwanza la kwanza la mashujaa ni uwezo binafsi wa david oromi kukunjua mguu nje ya 18 kimo cha paka mpaka kule chini anakotagia kuku what a goal🔥🔥🔥

Next match
Young Africans Sports Club vs
KMC complex december 22 ,10:00 jioni
Ni jeshi baada ya jeshi

Ukitakita kujua maana harisi ya toptop🔥🔥 intensity ya football ni kuanzia dk 1' mpk ya 7' game ilianza kwa speed nguvu m...
19/12/2024

Ukitakita kujua maana harisi ya toptop🔥🔥 intensity ya football ni kuanzia dk 1' mpk ya 7' game ilianza kwa speed nguvu maarifa na usahihi wa pasi kwa upande wa young Africans, nyuma kukiwa na watu watatu wakitengeneza shape ya ulinzi job bacca na aucho , huku Kibwana Shomari na yao wakitumika kuswichi game kulia na kushoto walikuwa very fast 🔥 pacome azizi na mzize katika mwendokasi wa hali ya juu kwenye upishi wa mabao kumtafta mwana wa mfalme prince dube mpemelelo katika siku bora kazini mabeki wa mashujaa walikuwa na siku ngumu kumdhibiti dube
Kunakitu kimerudi kwa upande wa young Africans ni ile shauki ya umiliki wa mpira wakipoteza mpira wanakuvamia mithiri ya mbwa mwitu mwituni

Mashujaa FC wakiwa na watu wa 4 nyuma walikuwa bora sana kilichowafanya wafungwe ni mda wanaoshambulia yanga walitumia mianya au mashimo waliyoyaacha kuwaadhibu wanamapigo na mwendo kutoka mpkani uko lake tanganyika
Yule oromi ni mchezaji wa daraja la juu sana ukiachana na goli lake la dk ya 45' hususani katika kupiga pasi zenye macho kuwatafta mawinga wake na central striker ismail mgunda bull striker 🔥🔥kweli yule mwamba ukiachana na elvis rupia basi ismail mgunda naye yupo kweñye wale mabull striker 5 NBC PL
HT 2 - 1 tuangalie kipindi cha pili kitakuwaje





Maana harisi ya mwalimu
19/12/2024

Maana harisi ya mwalimu

Address

Morogoro
Mikocheni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ray mwashambwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ray mwashambwa:

Shortcuts

Share