26/04/2015
CWT TANDAHIMBA. Ndugu walimu wagombea wa nafasi ya mwakilishi vijana waligongana kwa kura katika uchaguzi mkuu wa tarehe 28/3/2015. nahivyo kwakuwa kanununi zipo kimya juu suala la mgongano wa kura kwa wagombea, mkutano mkuu uliamua kwa busara zake wagombea wawili waliogongana upigaji kura urudiwe kwa wawili hao waliogongana na ndipo mshindi alipopatikana ambaye ni christabela chiwembi mwakilishi vijana. uchaguzi haukuwa na matatizo kwamaana ya mjumbe yeyote aliyeamua kukata rufaa au kutoa malalamiko yoyote juu ya mchakato mzima wa uchaguzi na hivyo zoezi lilikwenda vizuri na uchaguzi ulimalizika salama. tuwajibike sasa kwa walimu wetu maana uchaguzi sasa umemalizika na safu mpya ya viongozi wamekwishapatikana. mshik**ano daima