Mill Edo classic

Mill Edo classic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mill Edo classic, College & University, Zanzibar, Mbweni.

Bali tunasibitisha      Upendo   By  Mill Edo πŸ₯°πŸ’• Mill Rd
18/01/2023

Bali tunasibitisha
Upendo
By
Mill Edo πŸ₯°πŸ’• Mill Rd

Utakapo sema penzi lako limefifiya        Hapo zamani wazee Walisema     Litakalo kuwa na mwazoHalikosi kuwa na mwisho  ...
16/01/2023

Utakapo sema penzi lako limefifiya
Hapo zamani wazee
Walisema
Litakalo kuwa na mwazo
Halikosi kuwa na mwisho

Maana hata jua lilitoka Kwa Kasi kufika maharibi nalo linapunguwa Giza kuingiya

Pambana na Hali ya hewa ulokuwanayo
By

Mill Edo classic πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•

Huu ndo mwenendo wa maisha unavo kwenda usijione mzuri Ukaringa walikuwepo na watakuwepo kuliko wewe ila ipo siku waliku...
15/01/2023

Huu ndo mwenendo wa maisha unavo kwenda usijione mzuri
Ukaringa walikuwepo na watakuwepo kuliko wewe ila ipo siku walikunjana na watakunjana na utakunjana ishii Kwa umakini na Kwa kwakupendana na kusaminiana

By
Mill Edo πŸ₯°πŸ’• Mill Edo

Address

Zanzibar
Mbweni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mill Edo classic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share