Agustivo High School

Glory to GOD FTNA 2024   Tunasema Ahsante Wote na Karibu sana AGUSTIVO HIGH SCHOOLC:  Wasiliana nasi kwa:- +255755107707...
04/01/2025

Glory to GOD FTNA 2024 Tunasema Ahsante Wote na Karibu sana AGUSTIVO HIGH SCHOOL

C:

Wasiliana nasi kwa:-
+255755107707,
+255746130836
P.O. BOX 273 Mbinga, Ruvuma Tanzania

Nyote mnakaribishwa sana Agustivo high school,

Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya
25/12/2024

Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya

Mkurugenzi wa Shule ya shule ya  anawatakia kila la kheri watahiniwa wote wa kidato cha nne 2024 katika Mitihani yao ya ...
11/11/2024

Mkurugenzi wa Shule ya shule ya anawatakia kila la kheri watahiniwa wote wa kidato cha nne 2024 katika Mitihani yao ya Taifa

Kila la kheri kidato cha Nne 2024 katika Mtihani wa Kumaliza CSEE2024. Pia  Inawatangazia nafasi za Kujiunga na Kidato c...
10/11/2024

Kila la kheri kidato cha Nne 2024 katika Mtihani wa Kumaliza CSEE2024. Pia Inawatangazia nafasi za Kujiunga na Kidato cha Kwanza mwakani 2025, nafasi za kuhamia kwa kidato cha kwanza, cha tatu na cha tano zipo, pia nafasi za kurudia mitihani

Shule ni ya kutwa na bweni
kwa MICHEPUO ya sayansi na sanaa

Fomu za Kujiunga zinapatikana SHULENI au Kwenye website ya Shule kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi kwa:-
+255755107707,+255746130836
Nyote mnakaribishwa sana Agustivo high school, Mbinga, Ruvuma Tanzania

AGUSTIVO HIGH SCHOOL INAWATANGAZIA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024/2025 MASOMO YATAANZA TAREHE 01/07/2024 PIA...
16/06/2024

AGUSTIVO HIGH SCHOOL INAWATANGAZIA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024/2025 MASOMO YATAANZA TAREHE 01/07/2024

PIA ZIPO NAFASI ZA BWENI NA KUTWA
NAFASI ZA KUHAMIA KIDATO CHA KWANZA, CHA TATU NA CHA TANO

NAFASI ZA KURUDIA MITIHANI KIDATO CHA NNE NA CHA SITA NA WANAOSOMA KIDATO CHA TANO HUKU WAKISAFISHA VYETI VYAO

TAHASUSI/MICHEPUO INAYOFUNDISHWA

PCM
PCB
CBG
PGM
PMCs
ECsM

HGE
HKL
HGL
HGK
EGM
HGFa
HGLi

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA ZIFUATAZO:-+255755107707
+255625863890 /+255746130836

https://whatsapp.com/channel/0029Va9kpBuAYlUNaOS5oE1S

KARIBU SANA AGUSTIVO HIGH SCHOOL
MOTO: “HEKIMA NI CHEMICHEMI YA UZIMA”

Address

Mbinga
P.O.BOX273MBINGA-RUVUMA,+255755-107707,0746130836EMAIL:[email protected]

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agustivo High School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category