KASI MONEY

KASI MONEY Kasi money ni programu
inayotoa mafunzo juu ya kujipatia kipato bila kutegemea mahali popote .

29/03/2023

Njoo tuzungumze Sasa hivi

28/03/2023

Hamasa za maisha na mafanikio

28/03/2023

Kijana fikiria namna ya kufanikiwa na kujongeza ujuzi katika uzalishaji,tamani kuinuka na kuangaza ,amua kujikita katika misingi yako ,mafanikio Bora yanajengwa na uwezo wa fikra zako ,'

15/12/2022

Jofunze kujiajiri kwa njia mbalimbali

15/12/2022

Kila wakati tunatakiwa kufanya kazi kwa bidiii

16/09/2022

Hebu nikupe Siri nzito iliyobeba mafanikio yako ,kwanza mafanikio ya kwanza ni mwenendo wa tabia yako ,hapa ntaeleza tabia za watu wawili aliyefanikiwa na asiyefanikiwa,,kwa kawaida tabia njema ndio silaha yako ya kwanza hivo Ili ufikie mafanikio kwanza unapaswa uwe mstaarabu kwa maana ya .tunaamini uaminifu ni silaha kubwa sana katika maisha yetu ,nwanadamu huzungukwa na vitu ambayo vimemzidi uwezo hivo kuwa mwaminifu ,acha kuwaka tamaa lakini thamini ulicho nacho usiamini ndio kitakufikisha mbali ,usiwe mtu wa kutazama udhaifu wako angalia mbele ni kitu gani unaitaji ukifanye,Anza na hatua Moja Hadi nyingine kushirikisha mawazo kwa waliofanikiwa pia jitaidi kuepuka anasa na marafiki wa ovyo,tukizingatia hayo mafanikio hayatachelewa lakini zaidi ni kuweka jitiada kwa kile unachokiitaji ,hayo n mambo ya kuzingatia lakini Kuna mambo yanayomfanya mtu asifanikiwe@kukata tamaa,kujizalau kujiona awezi,kulizika na hali kutokaba na changamoto za kimaisha ,kukosa maarifa namna gani ya kupata mtaji hayo na mengi zaidi yanapatikana katika programu ya Kasi money ,kwa mawasiliano zaidi na mafunzo follow page yetu facebook money na whasapu pia hakika utanufaika na mafunzo yetu.

16/09/2022

Habari Kasi money ni huduma pendwa kabisa kwani watu wengi hunufaika na huduma zetu Leo tunaelezea ni namna gani unaweza kuanza kufanya biashara ndogo yenye mtaji ndogo,hususani katika maisha ya Leo kwanza k**a kijana mtafutaji unapaswa kutambua ni fursa zipi ambazo zinaweza kukuto kimaisha ni baadhi ya fursa ambazo unaweza kuchangamkia na kuinuka kiuchumi
1*ufugaji wa kuku
2*utengenezaji wa juice za matunda
3*uuzaji wa mishikaki 4*uuzaji wa Karanga4*nyama choma5*supu6*uuzaji wa matunda hivo ni baadhi ya vitu ambayo unafanya kwa mtaji mdogo na wakati mwingine ntakuja nifafanue zaidi kuhusu hizo biashara unatajiwa uwe na nini au ufanyaje endelea kubaki kwenye page hii Asante

15/09/2022

Mambo ambayo kijana unapaswa kuyazingatia wakati wa utafutaji@jali muda
Acha kupoteza muda kwa kucheza k**alo
Kila wakati ibja wazo jipya
Jifunze kutoka kwa waliofanikiwa
Usiamini kuwa pesa pekee itakusaidia amini kuwa maarifa ndio Kila kitu.
Panga mipa go kabla ujapata fedha
Uwe. Mtu wa kujishugulisha
Fanya maamuzi sahihi

Katika ulimwengu wa leo pesa ndio imechukua nafasi kubwa sana lakini uwezi kuwa na pesa pasipo maarifa hi ivyo Basi ,Leo...
15/09/2022

Katika ulimwengu wa leo pesa ndio imechukua nafasi kubwa sana lakini uwezi kuwa na pesa pasipo maarifa hi ivyo Basi ,Leo nitazungumzia mambo kadha wa kadha ni jinsi gani unaweza kujikwamua kiuchumi ,mambo yafuatayo yatakusaidia kuanza kujiingizia kipato,
unaweza
mtu wa kukata tamaa
Panga malengo maalumu
Jali wakati
Acha kuamini were ni mdhaifu
Timiza Jambo hata kwa kukwama
Fanya kile kilicho ndani ya moyo wako
Usiwe mtu wa mawazo hasi
Badili mwenendo wa maisha
Acha starehe
Jikite kwenye malengo mahususi
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo yatakufikisha katika mafanikio ,kwa mawasiliano zaidi join group la wasapu share na fatilia mafunzo haya Kila siku kupitia whasapu online na unawesa kusaidiwa ,

15/09/2022

Kasi money ni programu ambayo ipo kwa ajili ya kutoa mafunzo mbali mbali
Kwa ajili ya kutoa elimu jinsi ya kujipatia kipato halali na kuweka malengo maalumu.lakni huduma hii itatolewa kwa watu wote ambao wako tayari kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na kufikia malengo ,hakika Kasi money ni huduma iliyo tofauti ni kwa sababu mafunzo na elimu itolewayo ni nzuri na usipange kukosa ,,huduma inapatikana masaa 24 . money.

Address

Ruvuma
Mbinga
350MBINGA

Telephone

+255622396790

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KASI MONEY posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to KASI MONEY:

Shortcuts

Share