The Grace Mission Ministry

The Grace Mission Ministry GOD is REAL

Happy new year family
03/01/2020

Happy new year family

Pia tupo telegram kwa mafundisho zaidi install telegram Alafu search The Grace Mission Ministry join humo tuzidi kujifun...
20/08/2018

Pia tupo telegram kwa mafundisho zaidi install telegram Alafu search The Grace Mission Ministry join humo tuzidi kujifunza

Kumdhihaki, kumdharau, kumkejeli, kumbeza au kumtania maskini ni jambo baya sana.Wafanyao mambo hayo wanamsuta Muumba wa...
04/07/2018

Kumdhihaki, kumdharau, kumkejeli, kumbeza au kumtania maskini ni jambo baya sana.

Wafanyao mambo hayo wanamsuta Muumba wao ambaye ni Mungu Aliye Hai.

Naomba katika hili niseme na watumishi wa Mungu wenzangu.

Huwa tunaifanyaga sana hii dhambi wakati wa kupokea sadaka bila sisi kujijua.

Agano Jipya imeweka kanuni ya utoaji kuwa apandaye haba atavuna haba na apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.

Tena maandiko yanasema kila mmoja atende k**a alivyokusudia moyoni mwake, sio kwa huzuni wala kwa lazima maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

Haba na ukarimu sio kiasi anachotoa mtu bali kiwango anachotoa kutegemeana na kiwango cha baraka ambacho Mungu amemwamini nacho.

Mbele za Mungu k**a watu wakizingatia hii kanuni atoaye mamia, maelfu, makumi elfu, malaki, mamilioni, makumi ya mamilioni nk wote wapo sawa kabisa mbele za Mungu maana wametoa kwa kadiri ya baraka za Mungu maishani mwao.

Watumishi wa Mungu humu makanisani watu watatoa sarafu, mamia, maelfu, makumi elfu, malaki nk kutegemeana na kiwango cha baraka za Mungu maishani mwao.

Kumbeza, kumdhihaki, kumkejeli, kumdharau, kumsuta, kumsema mtu kwa kuwa anatoa mamia au maelfu na ukadhani hiyo sadaka aitoaye sio sadaka nzito ni kumdhihaki Mungu aliyewaamini na kiwango hicho cha baraka.

Yesu aliposimama kwenye hazina kuangalia utoaji wa watu kuna wengi walileta mapesa yao ila kuna mama mjane mmoja alileta nusu pesa ambayo ilikuwa ndo pesa yote aliyokuwa nayo na Yesu akasema wazi huyu ametoa kuliko wengine wote maana ametoa kila alichokuwa nacho wakati wengine wametoa kilichowazidi.

Mtumishi wa Mungu huna namna ya kujua watu wanatoa kwa viwango gani maana wewe hujui kiwango cha baraka ambacho Mungu amewaamini nacho.

Kwanza watu hawakutolei wewe wanamtolea Mungu.

Wewe ni nani hasa kuanza kuingilia ibada za watu na Mungu wao.

Watumishi kuna wakati tunavuka mipaka ya utumishi wetu na kuanza kujihusisha na mambo ambayo yanamhusu Mungu na Mungu pekee na watu wake.

Acha kusema maneno k**a msilete vimia vyenu au vibuku vyenu.

Haya maneno sio kumtusi tu mtoaji unamtusi mpaka Muumba wao.

Watumishi wa Mungu, maswala ya utoaji tuyaache yawe kati ya mtu na Mungu.

.

This is true
28/06/2018

This is true

18/04/2018
Shalom shalom
28/02/2018

Shalom shalom

Address

Mbezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Grace Mission Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category