21/01/2026
WBG Pioneers is the World Bank Group’s premier internship program, offering undergraduate and postgraduate students structured learning and practical experience. As a participant, you will engage in impactful projects, contribute to meaningful work, and gain direct exposure to the mission and operations of the World Bank Group.
Applications will be accepted online from January 19th 2026 through February 17th 2026.
WBG-Pioneers
About WBG Internship Program | Why Apply | Eligibility | Application | Selection Results | Testimonials | FAQsAbout The ProgramWBG Pioneers is the World Bank Group’s premier internship program, offering undergraduate and postgraduate students structured learning and practical experience....
31/01/2022
Je, umejisajili kwa ajili ya kushiriki Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) kwa mwaka 2022?
K**a bado, tafadhali tembelea: Tovuti www.makisatu.costech.or.tz, ili kupata Mwongozo na fomu za usajili.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kwa barua pepe [email protected]
COSTECH
26/10/2021
Free eBook for college and university students
By Bill Gates | Book called 'How to Avoid a Climate Disaster.'
Free eBook for college and university students
To avoid a climate disaster, we need young people’s ideas and energy.
15/05/2020
Tukipambana na janga la # COVID19, tunakaribisha juhudi zote za kupata matibabu na tiba. Sisi ni
25/04/2020
Katika mlipuko huu wa virusi vya Corona (COVID-19) tuzingatie tahadhari zote zinazotolewa na wataalam.
Tunawakumbusha wanajumuiya yote ya MUST kutokutoka toka nje k**a huna muhimu cha kufanya, kujiepusha na mikusanyiko, kunawa mikono na kuvaa barakoa.
🙂
23/10/2019
PostGrad Fully funded scholarship in Sweden
Swedish Institute Scholarships for Global Professionals | Swedish Institute
The Swedish Institute Scholarships for Global Professionals (SISGP) is awarded to ambitious global professionals for full-time master's studies in Sweden.
02/08/2019
Throwback Thursday: A page of Einstein's handwritten math calculations from his last writing pad, shortly before his death in 1955. This document is part of a new exhibition of Einstein memorabilia opening this weekend at the World Expo Museum in Shanghai. (Photo by Ardon Bar-Hama)
03/05/2019
BAADHI YA NUKUU ZA LEO ZA Mh. Rais Dr. J.P Magufuli alipokuwa MUST.
Vipi sentensi ipi imekugusa zaidi.
"Mfikishieni salamu zangu Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Joseph Mtabaji, nampa siku 10 awe ameshakuja Chuo Kikuu cha MUST na Watendaji wake kujadili kuhusu suala la ithibati ya chuo hiki, majibu yatolewe haraka," -JPM
"Naupongeza uongozi wa Chuo hiki kwa kuendelea kuenzi mazuri ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa kukiendeleza chuo hiki kutoka Chuo cha Ufundi mwaka 1986, Taasisi ya Ufundi mwaka 2005 na kufikia Chuo Kikuu mwaka 2012"
"Percent kubwa ya wanaopendana wakiwa Chuoni huwa hawaoani"
"Serikali imetenga Bilioni 10.4 ambazo zitahusisha baadhi ya barabara za Mkoa wa Mbeya ikiwemo barabara hii ya kuja chuoni yenye urefu wa Km zaidi ya 2"
"Ninakipongeza Chuo Kikuu cha MUST kwa lengo lake la kuongeza wanafunzi kutoka 4600 waliopo sasa hadi takriban wanafunzi 15,000 ifikapo mwaka 2025"
"Nitaongeza Bilioni 5 ili yajengwe mabweni ya VChuo hiki cha MUST, Wataalamu kutoka hapa chuoni ndio wajenge ili waanze mapema, sio lazima kuanza kutafuta Mkandarasi wa ujenzi huu"
"K**a kuna fedha zozote zimebaki Wizara ya Elimu, hata k**a ni Bilioni 20, tuzitumie kuletea Chuo hiki cha MUST vifaa vya kisasa, vilivyopo ni vya zamani sana, hivi ndivyo tutamuenzi Mwalimu Nyerere ambaye ndiye muasisi wake"
"Kwa niaba ya Serikali tunaomba radhi kwa kuchelewa kujenga barabara ya kiwango cha lami kuelekea Chuo Kikuu cha MUST, ilihali ni chuo kikongwe na chenye heshima kubwa"
"K**a Wanasayansi wako hapa, ma-Architect wako hapa, wachoraji wako hapa, hata wa kupima namna ya kuchanganya udogo na cement kwa vyovyote wasingeshindwa, Kwa nini mlihangaika kutafuta Mkandarasi ambaye pia ameshindwa kumaliza kazi?"
"K**a Chuo kina uwezo wa kutekeleza miradi hii yote, ilikuaje mtafute mkandarasi mwingine kuwajengea maktaba ambayo imechelewa hata kukamilika?, hili nawaachia ninyi wataalam'
"Chuo Kikuu cha Mzumbe kimeniomba nikazindue majengo yake ambayo yatahudumia wanafunzi takriban 1000, nafurahi sana kwa heshima hiyo"
"Wanafunzi wanaosoma Vyuo Vikuu kozi za Uhandisi ndio watumike kutekeleza miradi ya ujenzi k**a wa majengo, maana ndio wanaanza kufanya kazi kwa vitendo"