Counselor Esher Abubakary

Counselor Esher Abubakary

Comments

K**a we ni mke na mme unawezaje tumtambua mwenz wako kam anao upendo wa dhati na ni mwaminifu ktk mausiano yenu

Hii ni Official Page ya Counselor Esher Abubakary,
Kuwa huru kutembelea ili upate:-
Ushauri wa Ndoa na Mahusiano
Malezi ya watoto wadogo
Na mengineyo.

Operating as usual

22/11/2017

Mke /mume wako ndiye mtu pekee anaweza kukufanyia vitu ambavyo utajisikia unapendwa,
Ndoa nyingi zinavunjika kwasbb wanandoa wenyewe hawapo tayari kufanyiana vile vitu ambavyo ni vidogo vidogo lakini ni vikubwa ktk màana ya maisha ya ndoa.
Ktk ndoa yako umekosa kumtia moyo mke/mume wako ktk vitu ambavyo yeye anavifanya either ni kazi zake ktk jamii haujawahi kumpongeza, kumpa msaada wowote hata kimawazo
Kuna wanandoa walikuja ofini mwaka mmoja uliopita mwanamke alilalamika anahisi mume wake hampendi,hitaji lake lilikuwa kuoa na si mke, kwasbb yeye ni muandishi wa vitabu lakini mume wake hajawahi kusoma hata jina la kitabu...baada ya kuzungumza na mume wake leo hii yule mwanamke ametoa nakala zaidi ya 30,hii ni baada ya mumewake kusoma kitabu chake na kugundua uwezo aliyopo ndani ya mke wake ...akaamua kumsapoti , jiulize usipo msapoti mkeo/mumeo nani utamsapoti! !?

Appreciate mke/mume wako ...kumshukuru kuonyesha umethamini mchango wake ktk vitu vidogo vidogo kwa mfano anapoamka asubuhi kukuandaa, kuwaandaa watoto kwenda shule. ..haujawahi hata siku moja kumwambia mkeo I appreciate you kwa hili unalolifanya. ..hii inaongeza kitu kikubwa sana ktk ndoa yenu.....
Ni mambo madogo sana encourage and appreciate
Lakini yanaweka bond kubwa sana katika ndoa yako....
Kwa msaada wa ushauri wa ndoa /mahusiano
0622 857 931
Counsellor esherabubakary

[10/18/17]   Ipo nguvu ktk kumuangalia mke au mume wako..wanandoa wengi wamekosa muda wa kukaa na kuzungumZa pamoja,walio wengi akirudi nyumbani mama yupo bize na watoto baba yupo bize na TV /gazeti. ..wanandoa hawa wamekosa kabisa muda wa kuzungumza kwa utulivu, wakitazamana hata kwa dakika 20 tu,

Kwa kushindwa kuzungumza kwa kutazama kunapunguza upendo kwa wanandoa wengi, kwa mwanamke anaona bora awe bize na watoto baba anaweza kuwa bize na TV au kuchelewa kurudi nyumbani....
Ndugu yangu mume/mke anza leo zungumza na mkeo au mmeo kwa kutazama usoni hata kwa dakika 20 ,Fanya hivyo kwa mwezi mmoja ,note utofauti...

[08/04/17]   Tafiti zinaonyesha watu wengi waliopo katika ndoa hawana furaha na ndoa zao...hasa wanawake wengi hawafurahi ndoa zao,wanaishi kwasababu wanashindwa kufanya maamuzi ya kuachana;

Hii hutokea kwasababu inapotokea mwanamke na mwanaume wanaanzisha mahusiano, wanawake wengi wanazama katika his ia kubwa na wapenzi wao kuliko kujikita kufahamu mwanaume wake kupitia tafiti (research ) mbalimbali. ...

Mwanamke anapobebwa na hisia zaidi hawezi kuchukua nafasi ya kumfahamu zaidi mpenzi wake anatanguliza hisia kiasi kwamba hata k**a akiambia mwanaume uliyenaye ni mume wa mtu hisia zake zitakataa na atamfuata mumewake kumuuliza Arizishe hisia zake...

Hii upelekea watu wengi kufungua ndoa na watu ambao hawawafahamu vizuri wanakuwa ndani ya ndoa huanza kufahamu tabia ambazo mwisho wa siku inakuwa vigumu kuendana nazo...

So kabla ya ndoa ni kipindi kizuri sana kwa wapenzi kujuana kitabia na kurekebishana ilimuweze kuwa na ndoa isiyo na majuto. ...

04/07/2017

Counselor Esher Abubakary

Location

Category

Telephone

Address

M
Mbeya
+255
Other Education in Mbeya (show all)
Tummy's Stationery Tummy's Stationery
RETCO-MBALIZI ROAD
Mbeya, +255

Dealers in stationery supplies, Secretarial services and Logo designing. We print Posters, Business Cards, Receipt Books, Tax Invoices and Bus Tickets,

Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI
P.O. Box 1329
Mbeya, +255

MyLab brings in Business Ideas, incubate and transforms them into startups. We provide comprehensive business training, help develop prototypes and link the same to investors. Come and graduate with your business company at hand.

Airport High School Mbeya Airport High School Mbeya
P.O BOX 1772
Mbeya

Airport secondary school is to be a center for provision of quality education in ordinary and advanced secondary level.

Elishadai Schools Elishadai Schools
TEKU
Mbeya

We provide Cleaning Services in offices and homes, Generally supply in offices and Schools for Pre and Primary

Kilimo Tanzania Kilimo Tanzania
Tukuyu
Mbeya

ukurasa huu utakuunganisha na tovuti yetu ya kilimotanzania.com, tovuti hii ni maalumu ya wakulima wa tanzania. utajifunza kilimo cha kisasa

Aggrey Teachers' College Aggrey Teachers' College
Mbeya, P.O BOX

CHUO CHA UALIMU TEOFILO KISANJI (CHUTEKI) S.L.P 693 MBEYA Barua pepe: [email protected]

Green Hill Institute-Mbeya Green Hill Institute-Mbeya
Forest Mwabulanga Street
Mbeya, 1561-MBEYA, TA

Green Hill Insititute is a legal recognised organization focused on providing in class training, E-learning and out reach programmes to the public.

Galaxyopenmbozi Galaxyopenmbozi
Mahenje, Ichesa Road, Mbozi
Mbeya

Kituo cha kutoa elimu kwa vijana

Itundu Secondary School-Mbeya Itundu Secondary School-Mbeya
P.O. Box 2994
Mbeya, 255

Marco training center Marco training center
Mbeya
Mbeya, 53119 MBEYA

You will get education,life training, technique to attack the business and success in life. TOGETHER WE CAN!!.

Zantel Mbeya Zantel Mbeya
Old Bagamoyo Road
Mbeya, 405

Ujasiliamali wa kufanya kazi nasi ni mzuri maana unalipwa pesa unayoitaka kuitengezeza kwa mwezi kwa mauzo unayoyafanya.

Miyombweni Secondary School Miyombweni Secondary School
145 RUJEWA
Mbeya, +255

DISCIPLINE, ACADEMIC & WORK.. KARIBU SHULE YA SEKONDARI MIYOMBWENI KWA ELIMU BORA.