Mpuguso Secondary School

Mpuguso Secondary School It is a school started on 12th April 2004 with only 3 teachers, the late Madam Gilbert (headmistress), Mwangosi and Timothy. It is located at Ushirika TKY

Celebrating my 12th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰
18/12/2024

Celebrating my 12th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

Tag them
05/12/2016

Tag them

22/05/2016

Habarini followers wa shule ya Mpuguso.....

03/01/2016

Mr. Kiberitu Fortune Teller....
Anayekumbuka hiyo title ipo kitabu cha kidato gani.... Mulifundishwa na mwalimu gani.....

  amewapa Shout out mufuatao kutoka mpuguso...... Na wengine aliowasahau.Nakubari sana mchango wenu katika maisha yangu ...
21/11/2015

amewapa Shout out mufuatao kutoka mpuguso...... Na wengine aliowasahau.
Nakubari sana mchango wenu katika maisha yangu kwa kila hatua Mungu aliyo nisaidia kuipita
1. O level -Tupasyege Absalom,Sifa Mbuluma,Sikujua Nelson,Jane Isa,veronica Staford,Agness Lusekelo,Erasto Joseph,Baraka Ntubwa,Joshwa Isaya,Moyo Osiah,Huruma Amos,Atufigwege keneth,Esil Abel,Maclean mwakasangula bila kumsahau mdogo wangu kipenzi Subilaga Wilfred wakishirikiana na Mlwafu,kaboneka,kelvin,Mgeni,ulime,Mhanga,Mwema,Mgidange na mtu muhimu sanaa katika hesabu Deus Ngerangera Mungu awabariki na awape mafanikio zaid ya hayo mliyonayo sasa kwa upendo wa dhati mlionyesha kwangu.

14/10/2015

Mpugusoo.... Eleza uko wapi now
Ulipotoka Mpuguso ulienda wapi?

16/08/2015

Wangapi wamechimba wanja wa michezo na graduation kule chini na Mwl. Kaboneka?

Mpuguso yetu enzi hizo....Credits to: Noel Sibonike
02/08/2015

Mpuguso yetu enzi hizo....
Credits to: Noel Sibonike

12/06/2015

Ulimaliza mwaka gani Mpuguso... Watu gani huto wasahau?

Wanja wa basket, na mazingira yote in general
09/11/2014

Wanja wa basket, na mazingira yote in general

Nakumbuka hii parking ilianzishwa na mshikaji mmoja alikua anaitwa John a.k.a Stick, Mwasyalingi na wengineo,,,, mmoja a...
09/11/2014

Nakumbuka hii parking ilianzishwa na mshikaji mmoja alikua anaitwa John a.k.a Stick, Mwasyalingi na wengineo,,,, mmoja akajifanya mmoja kajikata na alijikata kweli ili wapunguziwe adhabu... Bila Shaka wlifanikiwa ku mtrick Mwl .....

Address

Mpuguso
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpuguso Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category