08/07/2024
🔅Unamtafutia mwanao sehemu atakayokuwa salama
🔅Unamtafutia sehem ambayo itampandikiza mfumo wake wa maamuzi
🔅Unamtafutia sehemu inayomuandaa awe vipi akiwa mtumzima
⏹Sisi tumejikita Kutoa Elimu na Malezi bora kwa watoto kwa vitendo, kuhakikisha tunayapambania maisha ya mwanao katika nyakati hizi ambazo ni za hatazi kwa watoto wetu.
Ndio maana tukaitwa Golden Academy
Ikiwa na maana kwamba Ubora wetu na uthamani wetu hauwezi kuupata mahali popote.
Karibu Golden Academy Ujionee na Utakiri kuwa HII KWELI NI GOLDEN ACADEMY