01/01/2026
Airport High School Mbeya
Airport High School Mbeya ni shule inayo toa masomo ya kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Pia tuna kituo cha watahiniwa wa kujitegemea (PC).
Tunapatika Airport Ya zamani Mbeya Mjini.
0755 052 640
0763 673 214 It is a Private school.
01/01/2026
23/10/2025
Tunawapatia Elimu Bora....
Elimu kwa vitendo karibu sana Airport High School Mbeya
Kwa masomo ya KIDATO CHA KWANZA HADI CHA SITA mwaka 2026
21/10/2025
Karibu upate elimu Bora Airport High School Mbeya
30/12/2024
Karibu sana kwa masomo ya kuanzia darasa la awali, darasa la kwanza hadi darasa la tano. Kidato cha kwanza na nafasi za kuhamia kidato cha pili, cha tatu na cha tano. Pia tuna kituo cha watahiniwa wa kujitegemea kidato cha nne na sita.
Mawasiliano zaidi 0763 673 214 au 0755 052 640
TUNAPATIKA MBEYA MJINI - AIRPORT YA ZAMANI
25/12/2024
Uongozi wa Airport High School Mbeya unakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI!
Karibu shule ya sekondari Airport Mbeya kwa Elimu bora.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
P. O BOX 1772
Mbeya