19/11/2023
Maarifa ya ki-Mungu
Maisha bora hujengwa na misingi imara ya imani.
19/11/2023
Mungu huwapenda sana wale wamtafutao katika roho na kweli....huwaepusha na mabaya yote na huwapigania katika mambo yao yote.....Tumtafute Mungu maadamu anapatikana na tumuite maadamu yupo karibu....Tufanye mema siku zote kwa sifa na utukufu wa Mungu...
Biblia inasema neno la Kristo likae kwa wingi
ndani yetu (Wakolosai 3:16).
Kwa nini basi neno la Kristo likae kwa wingi
ndani yetu? Ni kwa sababu lina mambo
yafuatayo ambayo ni muhimu katika maisha
yetu ya Ukristo. Mambo hayo ni…
A) Neno la Mungu li Hai
B) Neno la Mungu lina nguvu (Mwanzo 1:6).
C) Neno la Mungu lina ukali kuliko upanga
D) Neno la Mungu linachoma hata
kuzigawanya nafsi, roho viungo na mafuta
yaliyomo ndani yake
E) Neno la Mungu li jepesi kuyatambua
mawazo na makusudi ya moyo
Tafakari ya Leo
Mathayo 7:12
12 Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.
Mungu anatupenda sana...
anatulinda na mabaya yote usiku na mchana...
tumtegemee yeye ili tuzidi kupata baraka zake kila wakati.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Mbeya