Mount Ikingo High School
SOCIAL ORGANIZATION
26/12/2022
Dr. Hamisi A. Kigwangalla ๐๐
Mwambie anipigie ni mimi mama yake!!mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana ..mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie nimeumwa sana ila nikapona bila hata kutumia dawa/mwambie mzee juma bado ananidai pesa zake nilizokopa ili nimlipie ada amechukua kile kishamba nilichokuwa nakitegemea kufidia deni lake/mwambie mimi mama yake nimebaki pekee yangu tangu baba yake afariki sina hata wa kunisogezea kuni motoni/mwambie leo nimetamani sana nyama๐ญ zile mboga zilizoota zenyewe upenuni zimenichosha mpka mdomo umekuwa mchungu/mwambie wale vijana walitaka wanipige eti mimi mchawi eeh/mwambie mama yake nimekuwa mzee sana nahesabu siku tu aje hata nishike mikono yake nimuoneshe mipaka ya nyumba yetu/!!salio limeisha mwambie mama anampenda sana๐ญ!ila huku kijijini nimebaki pekee yangu wenzangu wote wameenda mjini kusherekea kwa watoto wao...
LESSON:
LOVE AND PROTECT YOUR PARENTS WHEN THEY ARE STILL ALIVE PLEASE ๐๐พ
Usiache kumpatia mwanao urithi wa elimu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Telephone
Website
Address
P. O BOX 36 CHUNYA
Mbeya
LUPAKATI