Mount Ikingo High School

Mount Ikingo  High School

Share

SOCIAL ORGANIZATION

22/03/2023
02/02/2023
26/12/2022

Dr. Hamisi A. Kigwangalla ๐Ÿ“„๐Ÿ“„
Mwambie anipigie ni mimi mama yake!!mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana ..mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie nimeumwa sana ila nikapona bila hata kutumia dawa/mwambie mzee juma bado ananidai pesa zake nilizokopa ili nimlipie ada amechukua kile kishamba nilichokuwa nakitegemea kufidia deni lake/mwambie mimi mama yake nimebaki pekee yangu tangu baba yake afariki sina hata wa kunisogezea kuni motoni/mwambie leo nimetamani sana nyama๐Ÿ˜ญ zile mboga zilizoota zenyewe upenuni zimenichosha mpka mdomo umekuwa mchungu/mwambie wale vijana walitaka wanipige eti mimi mchawi eeh/mwambie mama yake nimekuwa mzee sana nahesabu siku tu aje hata nishike mikono yake nimuoneshe mipaka ya nyumba yetu/!!salio limeisha mwambie mama anampenda sana๐Ÿ˜ญ!ila huku kijijini nimebaki pekee yangu wenzangu wote wameenda mjini kusherekea kwa watoto wao...

LESSON:

LOVE AND PROTECT YOUR PARENTS WHEN THEY ARE STILL ALIVE PLEASE ๐Ÿ™๐Ÿพ

03/06/2022
03/11/2021

Usiache kumpatia mwanao urithi wa elimu

Want your school to be the top-listed School/college in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


P. O BOX 36 CHUNYA
Mbeya
LUPAKATI