10/11/2023
Embrace the power of community in environmental care! CUCoM Environment Club invites everyone to the Environmental Workshop focused on 'CUCoM Community Engagement for Environmental Care. Let's grow, learn, and create a greener future together.
04/11/2023
CUCoM Staff at the Pedagogical/Andragogical and Research Skills Training Workshop held at CUCoM from 02nd -04th November, 2023.
03/11/2023
Tunakupongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (NEC) Mhashamu Gervas Nyaisonga unaposherehekea siku yako ya kuzaliwa leo 03/11/2023. Hongera sana Baba Askofu na M/Mungu akupe Afya njema na Umri mrefu katika Utumishi wako kwa Mungu ili uendelee kulihubiri neno lake.
29/10/2023
New faces, fresh dreams – Welcome first-year warriors to our vibrant university family! 📚👋 " 🎉
29/10/2023
Hongera Sana Dr. Tulia Ackson
CUCoM
21/10/2023
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES OCTOBER 2023
🇹🇿 .tz
20/10/2023
BSS UNIVERSITY TOUR na team nzima ya majaji kutoka wakiwa ukumbini kwa ajili ya vibe na elimu.
19/10/2023
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Astashahada na Stashahada wakiwa katika mafunzo ya awali (Orientation Course) yanayoendelea kutolewa hapa Chuoni. Mafunzo haya yana lengo la kuwawezesha wanafunzi kufahamu vyema mazingira ya chuo, Kuwapa wanafunzi uelewa na maarifa ya maisha ya chuo, Kufahamiana na Kushirikiana kijamii & Kitaaluma.
18/10/2023
Let's meet at CUCoM Grounds.
18/10/2023
Team nzima ya msimu wa 14 pamoja na Judges, itakuepo katika viunga vya CUCoM (Ukumbi wa BS II) katika BSS UNIVERSITY TOUR bila kusahau team nzima ya watakuepo kuongea na Vijana wote wa CUCoM na Mbeya kwa ujumla. Wote mnakaribishwa. HAKUNA KIINGILIO.
16/10/2023
Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika programu mbalimbali wakipatiwa maelekezo kabla ya kufanya usajili.