Africa academic Centre

Africa academic Centre Africa Academic Centre ni kituo kinachotoa huduma ya Awali,Tuition Msingi,Sekondari,QT na PC(FI-FVI).

Welcome to our school
15/10/2023

Welcome to our school

Hi Friends
30/04/2023

Hi Friends

Habari ndugu jamaa na marafiki,wakazi wa mbalizi na nje ya mbalizi.Tumewaletea kituo KIPYA AFRICA ACADEMIC CENTRE kinach...
30/04/2023

Habari ndugu jamaa na marafiki,wakazi wa mbalizi na nje ya mbalizi.Tumewaletea kituo KIPYA AFRICA ACADEMIC CENTRE kinachopatikana Mbalizi jirani na Stendi ya Mabus mbalizi pia jirani na Hotel ya Tughimbe mbalizi.AFRICA ACADEMIC CENTRE ina waalimu wazuri waliobobea Katika ufundishaji wa masomo ya SAYANSI NA SANAA watakao wasaidia wanafunzi kufanya vizuri Katika masomo Yao yote.

Tunatoa huduma kwa wanafunzi wa awali na day care.

Tuition kwa wanafunzi wa primary (Msingi),Sekondari (kidato cha 1 mpaka Cha sita),wanaolist mitihani PC na QT pamoja na mfunzo ya Computer na Kiingereza.

Pia tuna huduma ya mitihani kwa madarasa yote msingi na sekondari.
Kwa huduma Bora na za kisasa AFRICA ACADEMIC CENTRE ndio jibu lako.Anza Leo unufaike na huduma zetu.Wote mnakaribishwa.

"Elimu ni Msingi wa Maisha"

Mawasiliano
0757140594/0621118836

Address

Mbalizi
Mbeya

Telephone

+255757140594

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Africa academic Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category