GFP ministry Mt 28:9

GFP ministry Mt 28:9 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GFP ministry Mt 28:9, Education, nzovwe, Mbeya.

06/04/2026
Nikutakie tafakari Njema.
26/02/2026

Nikutakie tafakari Njema.

TAFAKARI YA LEO. 🧠Maisha yetu nik**a shilingi yenye pande mbili ambayo upande mmoja ina sura na tabia mbaya za mnyama zi...
24/02/2026

TAFAKARI YA LEO.
🧠Maisha yetu nik**a shilingi yenye pande mbili ambayo upande mmoja ina sura na tabia mbaya za mnyama zinazo kuumiza na kuumiza wengine.
🛐.Upande mmoja wa maisha unayo watambulisha watu unapicha ya mtu anaye kubarika na kila mtu mstarabu.
🚨.Lakini kuficha upande wako wa mnyama haukufanyi uwe mwema bali mbaya zaidi anaye jiumiza.
🔍.Kuficha upande wako wa mnyama unaweza kukufanya ujidanganye kuwa wewe ni bora zaidi na kujivika haki ya kuwakosoa wengine badala ya kujikosoa na kujilekebisha(hii nisawa na kufuga nyoka atake kumeza)
🕎. Tafakari chukua hatua nakukumbusha usijisahau adui wa mtu ni mtu mwenyewe.
⛪.Mathayo 7:3 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
4 Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?
5 Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.

By Mwal Baraka Sanga
Mbeya/Tanzania.

UNAYE PITIA KIPINDI KIGUMU SIJUI NI WAPI AU NI KWENYE NINI? NACHO AMINI MUNGU HAJAKUSAHAU ATAKUJILIA NA KUKUOKOA HAPO NA...
08/02/2026

UNAYE PITIA KIPINDI KIGUMU SIJUI NI WAPI AU NI KWENYE NINI? NACHO AMINI MUNGU HAJAKUSAHAU ATAKUJILIA NA KUKUOKOA HAPO NA WEWE UTAMTUKUZA MUNGU WAKO🛐

ACHA KUKATA TAMAA AMINI ITAKUWA MUNGU ANAWAZO ZURI BOLA KWA AJILI YAKO.

(K**a una AMINI ITAKUWA) 👇Andika Yesu nakuhitaji na kukutegemea bado☦️🕎

🙏By Mwal; Baraka Sanga.
Tanzania.

Mungu hata kusahau kwenye teso lako na jaribu lako hata jama linaumiza na umesubili sana bado Mumgu anataka kukutoa hapo...
02/02/2026

Mungu hata kusahau kwenye teso lako na jaribu lako hata jama linaumiza na umesubili sana bado Mumgu anataka kukutoa hapo ndio mpango wake.

1) usijikatie tamaa Mungu hapendi wanaokata tamaa (Waebrania 10:38 Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisita-sita, roho yangu haina furaha naye.
39 Lakini sisi hatumo miongoni mwao wasitao na kupotea, bali tumo miongoni mwa hao walio na imani ya kutuokoa roho zetu.)

2) usitegemee wanadamu wanao kukatisha tamaa na kuchoka wewe amini Mungu akuokoe(Yohana 11:39 Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne.
40 Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu?)

{Mungu ankuoenda anakuwazia mema amini omba mtegemee utauona mkono wa Mungu.}
By Mwal; Baraka Sanga.

Nakupa tahadhari usije ukaumia au ukaendelea kuhumia. Usimchukulie Mungu k**a mwandamu. Au usije ukamchukulua mwanadamu ...
26/01/2026

Nakupa tahadhari usije ukaumia au ukaendelea kuhumia.

Usimchukulie Mungu k**a mwandamu.
Au usije ukamchukulua mwanadamu k**a Mungu.
By Mwal Baraka Sanga

USIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWA WEMA UNAOJUA AMEKUTENDEA KWENYE MAISHA YAKO. Kuna mahari unajua kabisa asingelikuwa Mungu n...
27/12/2025

USIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWA WEMA UNAOJUA AMEKUTENDEA KWENYE MAISHA YAKO.
Kuna mahari unajua kabisa asingelikuwa Mungu nisinge vuka.
Hosea 11:9 Sitatumia ukali wa hasira yangu, sitarudi kumwangamiza Efraimu; kwa maana mimi ni Mungu, si mwanadamu mimi; mimi ndiye aliye Mtakatifu katikati yenu; wala sitaingia ndani ya mji.

By. Mwal; Baraka Sanga.
Mbeya/Tanzania.
0755222519.

Address

Nzovwe
Mbeya

Telephone

+255755222519

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GFP ministry Mt 28:9 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to GFP ministry Mt 28:9:

Shortcuts

Share

Category