15/09/2024
Head of Mapambano Academy
πΉπΏπππ
Education is the key of life
15/09/2024
Head of Mapambano Academy
πΉπΏπππ
27/05/2024
Primary schoolβοΈβοΈ
26/05/2024
Antonym words. Darasa la Tano, sita na Saba zifaham hiziππ page yetu
15/05/2024
πππ
Kuelekea msimu wa likizo. Tutatoa mashwal kwa watoto wa shule za msingi. Chukua maswali mpe mtoto afanye. Usisahau ku follow page yetu Ili upate Kila kitu.
13/09/2023
Tunawatakia mtihani mwema darasa la saba woteππ Tanzania
Elimu Ni mwanga kufikia Maendeleo
09/09/2023
Nifuraha ya mwanafunzi kuelekea kuhitimu darasa la Saba. Hatimae kujiunga na kwajili ya pre form oneππ 2023 hii kyela haijawahi kutokea. Timu nzima ya waalimu tumejipanga vyema πππ
Tupo mwaya Ndola kwenye kanisa la T.A.G (Mkuyuni)
29/08/2023
Pre form one 2023
Sasa tupo kyela kata ya mwaya (Ndola) kwenye kanisa la T.A.G
Tunaanza rasmi tarehe 18/09/2023
Masomo yatakayo fundishwa ni;
> Physics, Chemistry, Biology, B.mathematics, Geography, History na English.
>Lakin pia tutakua na program maalumu ya English course & Computer course ili kumjenga mtoto kulingana na karne ya Sasa.
ππππππππππππ
15/07/2023
2023 tumejipanga kuwaandaa vyema zaidi wanafuzi wa Pre form one.
Tupo Dar es salaaam.
Nasasa tunaingia kyela (mbeya)
Elimu ni hadhina kubwa kwa mtoto.
16/12/2022
Hatimae leo Tarehe 16/12/2022 Tumefunga rasmi program ya Pre-form one 2022.
> Uongozi Unawatakia Kila rakheri wanafunzi wote kwenye Shule mnazo elekea mkawe wanafu Bora kimasomo na kimaadili piaβπΏ Tunaamini mtaenda kufanya vizuri zaidi kikubwa mkaongeze jitihada ili muwe bora zaidi.
Tanzania πΉπΏ inawategemeaππΏππΏππΏ
NBππΎππΎππΎ
Tunaendelea kupokea wanafunzi wa elimu ya kujitegemea
> QT
> Form 4 wanao rudia mtihani
> Pre form Five
> English Course
> Tution kwa Wanafunzi wa msingi na Sekondari.
Tupo MWANANYAMALA karibu Na Hospital (Dar Es Salaam)
Simu: 0762171912 au 0710171918 ππΏππΏ
17/11/2022
Tukiwa maeneo ya kwa maandalizi ya kuwaleta Wanafunzi wa Pre form one 2022.
Tupo Mwananyamala Ghorofa ya Ukumbi mpya karibu na Hospital (Dar es Salaam)πΉπΏ
0762171912
29/10/2022
Tumeanza rasmi kupokea wanafunzi kwa ajili ya mwaka 2023
> QT
>Wanao rudia mtihani wa kidato cha NNE
> Wasio jua kusoma na kuandika
> Eglish Course
> Pre form one (inaendelea)
> Tution (Msingi na sekondari)
Tupo Mwananyanala kwenye Ghorofa la ukumbi mpya karibu na soko la mapinduzi. (Dar es Salaam)
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa
Simu : 0762171912 au
0710171918
Nb: Elimu ni nuru ya mafanikio.