Mapambano Academy

Mapambano  Academy Education is the key of life

Head of Mapambano Academy   πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ™πŸ™
15/09/2024

Head of Mapambano Academy

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ™πŸ™

Primary school✍️✍️
27/05/2024

Primary school✍️✍️

Antonym words. Darasa la Tano, sita na Saba zifaham hiziπŸ‘‡πŸ‘‡   page yetu
26/05/2024

Antonym words. Darasa la Tano, sita na Saba zifaham hiziπŸ‘‡πŸ‘‡ page yetu

  πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
15/05/2024

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

15/05/2024

Kuelekea msimu wa likizo. Tutatoa mashwal kwa watoto wa shule za msingi. Chukua maswali mpe mtoto afanye. Usisahau ku follow page yetu Ili upate Kila kitu.

Tunawatakia mtihani mwema darasa la saba woteπŸ™πŸ™ TanzaniaElimu Ni mwanga kufikia Maendeleo
13/09/2023

Tunawatakia mtihani mwema darasa la saba woteπŸ™πŸ™ Tanzania

Elimu Ni mwanga kufikia Maendeleo

Nifuraha ya mwanafunzi kuelekea kuhitimu darasa la Saba. Hatimae kujiunga na    kwajili ya pre form oneπŸ™πŸ™ 2023 hii kyela...
09/09/2023

Nifuraha ya mwanafunzi kuelekea kuhitimu darasa la Saba. Hatimae kujiunga na kwajili ya pre form oneπŸ™πŸ™ 2023 hii kyela haijawahi kutokea. Timu nzima ya waalimu tumejipanga vyema πŸ™πŸ™πŸ™

Tupo mwaya Ndola kwenye kanisa la T.A.G (Mkuyuni)

Pre form one 2023Sasa tupo kyela kata ya mwaya (Ndola) kwenye kanisa la T.A.GTunaanza rasmi tarehe 18/09/2023 Masomo yat...
29/08/2023

Pre form one 2023

Sasa tupo kyela kata ya mwaya (Ndola) kwenye kanisa la T.A.G

Tunaanza rasmi tarehe 18/09/2023

Masomo yatakayo fundishwa ni;
> Physics, Chemistry, Biology, B.mathematics, Geography, History na English.

>Lakin pia tutakua na program maalumu ya English course & Computer course ili kumjenga mtoto kulingana na karne ya Sasa.

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

2023 tumejipanga kuwaandaa vyema zaidi wanafuzi wa  Pre form one. Tupo  Dar es  salaaam. Nasasa tunaingia kyela (mbeya)E...
15/07/2023

2023 tumejipanga kuwaandaa vyema zaidi wanafuzi wa Pre form one.

Tupo Dar es salaaam.

Nasasa tunaingia kyela (mbeya)

Elimu ni hadhina kubwa kwa mtoto.

Hatimae leo Tarehe 16/12/2022 Tumefunga rasmi program ya Pre-form one 2022.> Uongozi Unawatakia Kila rakheri wanafunzi w...
16/12/2022

Hatimae leo Tarehe 16/12/2022 Tumefunga rasmi program ya Pre-form one 2022.

> Uongozi Unawatakia Kila rakheri wanafunzi wote kwenye Shule mnazo elekea mkawe wanafu Bora kimasomo na kimaadili pia✍🏿 Tunaamini mtaenda kufanya vizuri zaidi kikubwa mkaongeze jitihada ili muwe bora zaidi.

Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ inawategemeaπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

NBπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

Tunaendelea kupokea wanafunzi wa elimu ya kujitegemea

> QT
> Form 4 wanao rudia mtihani
> Pre form Five
> English Course
> Tution kwa Wanafunzi wa msingi na Sekondari.

Tupo MWANANYAMALA karibu Na Hospital (Dar Es Salaam)

Simu: 0762171912 au 0710171918 πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

Tukiwa maeneo ya   kwa maandalizi ya kuwaleta Wanafunzi wa Pre form one 2022.Tupo Mwananyamala Ghorofa ya Ukumbi mpya ka...
17/11/2022

Tukiwa maeneo ya kwa maandalizi ya kuwaleta Wanafunzi wa Pre form one 2022.

Tupo Mwananyamala Ghorofa ya Ukumbi mpya karibu na Hospital (Dar es Salaam)πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

0762171912

Tumeanza rasmi kupokea wanafunzi kwa ajili ya mwaka 2023> QT>Wanao rudia mtihani wa kidato cha NNE> Wasio jua kusoma na ...
29/10/2022

Tumeanza rasmi kupokea wanafunzi kwa ajili ya mwaka 2023

> QT
>Wanao rudia mtihani wa kidato cha NNE
> Wasio jua kusoma na kuandika
> Eglish Course
> Pre form one (inaendelea)
> Tution (Msingi na sekondari)

Tupo Mwananyanala kwenye Ghorofa la ukumbi mpya karibu na soko la mapinduzi. (Dar es Salaam)

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa

Simu : 0762171912 au
0710171918
Nb: Elimu ni nuru ya mafanikio.

Address

Mwaya-kyela
Mbeya

Telephone

+255744584341

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mapambano Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mapambano Academy:

Shortcuts

Share

Category