UYOLE health sciences institute

UYOLE health sciences institute Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UYOLE health sciences institute, College & University, uyole, Mbeya.

Karibu sana.
30/05/2025

Karibu sana.

07/05/2025

Karibu Chuo Cha afya Uyole, Chuo hiki kinapatikana Uyole karibu na Hospitali Ya Sijabaje. Kozi zitolewazo ni Clinical Medicine pamoja na Nursing and Midwifery, Mwanafunzi anatakiwa kuwa na D kwenye masomo ya Physics, Chemistry, Biology pamoja Na D kutoka kwenye Somo lolote lisilo la Dini. Karibu piga Simu 0746113931 kwa maulizo zaidi.

24/12/2024
HONGERENI SANA WAHITIMUKARIBU ,CHUO CHA AFYA UYOLE:CHUO HIKI KINATOA KOZI ZA AFYA, KIPO MBEYA MJINI, UYOLE (KARIBU NA HO...
17/07/2023

HONGERENI SANA WAHITIMU

KARIBU ,CHUO CHA AFYA UYOLE:

CHUO HIKI KINATOA KOZI ZA AFYA, KIPO MBEYA MJINI, UYOLE (KARIBU NA HOSPITALI YA SIJABAJE)

COURSE ZINAZOTOLEWA:
*CLINICAL MEDICINE NA NURSING AND MIDWIFERY*

SIFA ZA MUOMBAJI:
1. CLINICAL MEDICINE, MUOMBAJI AWE NA UFAULU WA *D NNE IKIWEMO YA CHEMISTRY, PHYSICS , BIOLOGY NA MATHEMATICS/ENGLISH*

2. NURSING AND MIDWIFERY
MUOMBAJI AWE NA *D NNE MATOKEO YA FORM FOUR IKIWEMO YA PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY NA MATHEMATICS/ENGLISH*

ADA : TSH 1,500,000/= KWA WANAFUNZI WA KUTWA, 2,800,000 KWA WANAFUNZI WA BWENI (HII INAJUMUISHA CHAKULA NA MALAZI)

ADA INALIPWA KWA AWAMU NNE

MAWASILIANO: PIGA SIMU/TUMA MESEJI YA KAWAIDA AU WHATSAPP
0746 113 931

KARIBU SANA.

Chuo cha afya uyole
08/06/2023

Chuo cha afya uyole

Karibu chuo cha afya uyole
21/07/2022

Karibu chuo cha afya uyole

Address

Uyole
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UYOLE health sciences institute posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to UYOLE health sciences institute:

Shortcuts

Share