Mulika International College

Mulika International College

Share

MIC ni chuo cha mafunzo ya salon, ususi na urembo, ushonaji nguo, mapishi mbalimbali, keki na mapambo, computer.

Photos from Mulika International College's post 17/05/2026

Mulika International College tunakupatia ujuzi na mafunzo ya upambaji wa kumbi za sherehe na matukio mbalimbali
Saluni, ususi na urembo (nywele aina zote, kupamba maharusi, kupaka rangi za jeli na kubandika kucha, makeup aina zote, n.k)
Ushonaji wa nguo aina zote ikiwemo mashera na suti
Mapishi mbalimbali na vitafunwa
Utengenezaji wa keki aina zote
Computer Application.

Tupo: Uyole_Mbeya mjini
Piga: 0766 877 610 au 0693 850 240
"Ujuzi ni Pesa"

17/05/2026

Jiunge na chuo Mulika International College kwa mafunzo na ujuzi wa:
Salon, ususi na urembo
Upambaji wa kumbi za sherehe na matukio mbalimbali
Utengenezaji wa keki aina zote na bites mbalimbali
Ubunifu mavazi na ushonaji wa nguo aina zote
Computer Application
Mapishi ya vyakula mbalimbali na vitafunwa.
Chuo kipo Uyole, Mbeya mjini
Piga: 0766 877 610 au 0693 850 240
"Ujuzi ni Pesa"

02/05/2026

Utajifunza pia kutengeneza fondant nzuri sana ya keki. Na kutumia fondant kupamba keki

05/04/2026
Photos from Mulika International College's post 27/02/2026

Jiunge nasi katika mafunzo ya
1. Mapishi na vitafunwa mbalimbali
2. Mafunzo ya kompyuta
3. Ubunifu na ushonaji wa nguo aina zote
4. Ususi, Salon na Urembo
5. Utengenezaji keki aina zote
6. Upambaji wa kumbi za sherehe, n.k.
"Ujuzi ni Pesa"

12/02/2026

Tuna mazingira wezeshi ya kujifunza na vifaa bora na vya kutosha kujifunza

12/02/2026

Tuna walimu wabobezi na wenye utaalamu wa hali ya juu, utajifunza na kuelewa kwa muda mfupi tu kwa ada nafuu kabisa. Tupigie 0693 850 240

12/02/2026

Kupamba maharusi kuanzia nywele, make up hadi kucha za kubandika na kupaka rangi za jeli

12/02/2026

Utajifunza mapishi ya kila aina

Want your school to be the top-listed School/college in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Nanenane
Mbeya