Mulika International College

Mulika International College MIC ni chuo cha mafunzo ya salon, ususi na urembo, ushonaji nguo, mapishi mbalimbali, keki na mapambo, computer.

Mulika International College tunakupatia ujuzi na mafunzo ya upambaji wa kumbi za sherehe na matukio mbalimbaliSaluni, u...
17/05/2026

Mulika International College tunakupatia ujuzi na mafunzo ya upambaji wa kumbi za sherehe na matukio mbalimbali
Saluni, ususi na urembo (nywele aina zote, kupamba maharusi, kupaka rangi za jeli na kubandika kucha, makeup aina zote, n.k)
Ushonaji wa nguo aina zote ikiwemo mashera na suti
Mapishi mbalimbali na vitafunwa
Utengenezaji wa keki aina zote
Computer Application.

Tupo: Uyole_Mbeya mjini
Piga: 0766 877 610 au 0693 850 240
"Ujuzi ni Pesa"

Jiunge na chuo Mulika International College kwa mafunzo na ujuzi wa:Salon, ususi na uremboUpambaji wa kumbi za sherehe n...
17/05/2026

Jiunge na chuo Mulika International College kwa mafunzo na ujuzi wa:
Salon, ususi na urembo
Upambaji wa kumbi za sherehe na matukio mbalimbali
Utengenezaji wa keki aina zote na bites mbalimbali
Ubunifu mavazi na ushonaji wa nguo aina zote
Computer Application
Mapishi ya vyakula mbalimbali na vitafunwa.
Chuo kipo Uyole, Mbeya mjini
Piga: 0766 877 610 au 0693 850 240
"Ujuzi ni Pesa"

Utajifunza pia kutengeneza fondant nzuri sana ya keki. Na kutumia fondant kupamba keki
02/05/2026

Utajifunza pia kutengeneza fondant nzuri sana ya keki. Na kutumia fondant kupamba keki

05/04/2026
Jiunge nasi katika mafunzo ya1. Mapishi na vitafunwa mbalimbali2. Mafunzo ya kompyuta3. Ubunifu na ushonaji wa nguo aina...
27/02/2026

Jiunge nasi katika mafunzo ya
1. Mapishi na vitafunwa mbalimbali
2. Mafunzo ya kompyuta
3. Ubunifu na ushonaji wa nguo aina zote
4. Ususi, Salon na Urembo
5. Utengenezaji keki aina zote
6. Upambaji wa kumbi za sherehe, n.k.
"Ujuzi ni Pesa"

Tuna mazingira wezeshi ya kujifunza na vifaa bora na vya kutosha kujifunza
12/02/2026

Tuna mazingira wezeshi ya kujifunza na vifaa bora na vya kutosha kujifunza

Tuna walimu wabobezi na wenye utaalamu wa hali ya juu, utajifunza na kuelewa kwa muda mfupi tu kwa ada nafuu kabisa. Tup...
12/02/2026

Tuna walimu wabobezi na wenye utaalamu wa hali ya juu, utajifunza na kuelewa kwa muda mfupi tu kwa ada nafuu kabisa. Tupigie 0693 850 240

Kupamba maharusi kuanzia nywele, make up hadi kucha za kubandika na kupaka rangi za jeli
12/02/2026

Kupamba maharusi kuanzia nywele, make up hadi kucha za kubandika na kupaka rangi za jeli

Utajifunza mapishi ya kila aina
12/02/2026

Utajifunza mapishi ya kila aina

Address

Nanenane
Mbeya

Telephone

+255766877610

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mulika International College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mulika International College:

Shortcuts

Share