MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE –VOCATIONAL TRAINING CENTRE
Mobile: 0754-324 030 au 0764-774 929
TANGAZO LA MASOMO
Mkuu wa Chuo cha Mbeya Polytechnic, kilichopo Mbeya mjini, anawatangazia wananchi kuwa chuo kinatoa mafunzo ya NABE STAGE I, STAGE II na STAGE III, maingizo ya mwezi Januari na Julai kila mwaka.
Mafunzo yanatolewa katika fani za Uhazili (Secretarial), Biashara (Commerce) na Uhasibu (Accountancy), yanayofundishwa kwa miezi sita kila stage. Mafunzo ya kozi fupi na ndefu za kompyuta yanatolewa k**a nyongeza. Sifa za kujiunga ni mwanafunzi yeyote aliyemaliza kidato cha nne (IV) na kuendelea.
Wahitimu wa STAGE II, wataweza kujiunga na ;ATEC I chini ya Ncational Board of Accountants and Auditors (NBAA) au NTA level 4 chini ya NACTE katika fani husika k**a vile Uhasibu (Accountancy), Manunuzi na Ugavi(Procurement & Supply) au Uboharia (Store Keeping)
Wahitimu wa STAGE III, wataweza kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE kuendelea na ngazi ya Diploma katika fani za Uhasibu, Manunuzi na Ugavi au Uboharia, ama kujiajiri au kuajiriwa katika sekta mbalimbali .
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754-324 030 / 0764-774 929 /
0714-147353 au 0783-362553
Barua pepe: [email protected]
S.L.P 2433, Mbeya.
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“TO LEARN IS TO CHANGE.”
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE –VOCATIONAL TRAINING CENTRE
Mobile: 0754-324 030 / 0764-774 929
TANGAZO LA MASOMO
Mkuu wa Chuo cha Mbeya Polytechnic, kilichopo Tukuyu, Mbeya; anawatangazia nafasi za masomo kwa kozi za kilimo (Agriculture), Kilimo na Maliasili (Agriculture and Natural Resources Management) na Kilimo cha Bustani (Agriculture in Horticulture Management) Kwa ngazi ya VETA Level I, Level II na Level III.
Wahitimu wa Level II wataweza kujiunga na ngazi ya Cheti (Certificate) chini ya NACTE kwa wahitimu wa VETA-Level III wataweza kujiunga moja kwa moja na ngazi ya Diploma kwa miaka 2.
Sifa za kujiunga ni muhitimu wa kidato cha nne (O-Level) mwenye ufaulu wa angalau alama moja ya D katika somo lolote.
Tunawashauri wanafunzi wanaopenda taaluma ya kilimo na maliasili lakini wamekosa D tatu za Masomo ya sayansi zinazotakiwa na NACTE, nafasi bado ipo. Serikali inaruhusu wanafunzi hao wasome NVA level I na II ndipo waendelee na NTA level IV, Ama NVA level I, II na III ndipo waendelee na Diploma. Utadhani unachelewa, kumbuka Mungu hachelewi wala hawahi. Jipange kwa kozi itakayokidhi haja ya moyo wako. Kozi isiyosumbua Ajira. Ku-resit na kuweza kufaulu masomo ya Sayansi ni kazi ngumu kuliko utaratibu huu wa kupitia VETA. Asante Serikali kwa njia hii mbadala.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754-324 030 / 0764-774 929 /
0714-147353 au 0783-362553
Barua pepe [email protected]
S.L.P 2433, Mbeya au S.L.P 479 Tukuyu
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“TO LEARN IS TO CHANGE.”
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE- OPEN SCHOOL
Mobile: 0754-324 030 / 0764-774 929
TANGAZO LA MASOMO
Chuo cha Mbeya Polytechnic kilichopo kata ya Iganzo, Mbeya mjini,kinatangaza programu maalum ya masomo ya sekondari.
Masomo haya yatatolewa kwa wanafunzi:
(i) ambao hawakupata nafasi ya kujiunga kidato cha I (Kwanza),
(ii) wale wanaotaka kurudia mitihani kwa kutokupata alama za kutosha kujiunga na kidato cha V (Tano)
(iii) na wale wanaotaka kufanya mitihani ya kidato cha VI (Sita).
Programu hii itawawezesha wanafunzi kuhitimu masomo ya kidato cha I na cha II katika mwaka mmoja na kufanya mitihani ya QT;
Na masomo ya kidato cha III na IV katika mwaka mmoja na kufanya mitihani ya kidato cha nne (CSEE).
Aidha wanafunzi watasoma masomo ya kidato cha V na cha VI kwa mwaka mmoja na kufanya mitihani wa kidato cha Sita (ACSEE).
Tuna michepuo ya HKL, HGK, HGL, HGE, EGM, PCB, PCM, CBG na ECA.
Hivi sasa tunaandikisha watahiniwa wanaotaka kufanya mitihani ya kidato cha VI kwa mwaka 2017-2018 kwa namba ya usajili P1248.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754-324 030 / 0764-774 929 /
0714-147353 au 0783-362553
Barua pepe [email protected]
S.L.P 2433, Mbeya.
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“TO LEARN IS TO CHANGE.”
Mbeya Polytechnic College
We offer certificate and diploma courses in General Agriculture,ICT, Business Administration and General agriculture & Natural Resources Management
14/02/2017
TANGAZO LA MASOMO YA BIASHARA NA UHASIBU
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VOCATIONAL
TRAINING CENTRE (MPC-VTC)
Mkuu wa Chuo cha Mbeya Polytechnic, kwa niaba ya Bodi ya Ushauri; anawatangazia WANAFUNZI waliomaliza Kidato cha Nne nafasi ya kujiunga na masomo ya NABE katika Ngazi ya NABE STAGE I, STAGE II na STAGE III; kwa muhula mpya wa masomo utakaoanza tarehe 1 Machi, 2017.
Chuo cha Mbeya Polytechnic kimepewa Usajili na VETA kuendesha kozi hii kwa barua yenye Kumb. Na. VETA/SWRS/VTC/PTC/MBY/2.35/11 ya tarehe 8 Februari, 2017, kutoa mafunzo katika fani za Biashara na Uhasibu (NABE) yatakayofundishwa kwa kipindi cha Miezi Sita (6) kila ngazi. Wahitimu wa STAGE III, watajiunga na vyuo vya Biashara vilivyo chini ya NACTE, kuendelea na Ngazi ya Cheti, Diploma na Digrii.
Sifa za kujiunga ni: Mwanafunzi yeyote aliyemaliza Kidato cha Nne na kuendelea.
Chuo kipo katika jiji la Mbeya, Kata ya Iganzo.
Kwa mawasiliano na msaada zaidi tembelea tovuti yetu www.mbeyacollege.ac.tz au simu namba 0754-324 030 / 0764-774 929 / 0783-362 553 au 0714-147 353.
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“ TO LEARN IS TO CHANGE.”
Mbeya Polytechnic College Having the right skills is very important in today’s competitive job market. With Mbeya Polytechnic College, you’re assured of learning career skills that will prepare you for the jobs of today and tomorrow.
NAMNA YA KULIPIA NACTE KOZI ZIFUATAZO WAKATI WA KUOMBA
Agriculture, Livestock, Engineering, ICT or other related Sciences and Technologies and other program areas such as Teacher Education he/she will be required to add 10,000/= Payment of application fee through M-Pesa can be done by following the steps below: -
Payment Instructions Maelekezo ya Jinsi ya kulipia
1. Dial *150*00 # 1. Piga *150*00 #
2. Select 4. (Payments) 2. Chagua 4. LIPA kwa M-Pesa
3. Select 4. Enter business number 3. Chagua 4. Weka namba ya kampuni
4. Enter the business number now, (Please enter 607070) 4. Tafadhali weka namba ya kampuni No. (607070)
5. Enter reference no. (Please enter 1234) 5. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo No. (1234)
6. Enter Amount (20,000/=) 6. Weka kiasi (e.g.20,000/=)
7. Enter PIN 7. Weka namba ya siri.
8. Press 1 to Confirm 8. Bonyeza 1 kuthibitisha:
2.4 Minimum Entry the co
22/01/2017
Moja ya Somo linalofundishwa Chuoni kwetu kwenye kozi ya Kilimo na Mali asili kwenye Kampasi ya Tukuyu ni
UFUGAJI WA SAMAKI (Aquaculture au aquafarming),
UFUGAJI WA SAMAKI ni kilimo cha viumbe vinavyoishi majini, kwa mfano samaki, konokono na mimea ya majini. Aquaculture inahusisha kilimo cha viumbe vinavyoishi kwenye maji baridi na vile vinavyoishi kwenye maji ya chumvi katika mazingira ya kuhudumiwa,
Katika kozi ya Aquaculture Chuo kinafundisha elimu ya ufugaji wa samaki, ikiwa ni pamoja na utengenezaji wa mabwawa, utotoleshaji wa vifaranga vya samaki, namna salama ya kusafirisha vifaranga vya samaki, namna ya kuwapanda na kuwahifadhi samaki katika mabwawa na pia usimamizi wa mabwawa (ikiwa ni pamoja na kujifunza magonjwa mbalimbali ya samaki na tiba zake).
USIMAMIZI WA UVUVI (Fisheries management):
Usimamizi huu hujikita zaidi katika sayansi ya uvuvi wa samaki ili kutambua njia sahihi za kulinda maliasili samaki na uvunaji wake uwe wenye mafanikio na endelevu.
Sayansi ya Uvuvi wa Samaki ni taaluma inayohusu uelewa na usimamizi wa uvuvi. Ni sayansi yenye upana katika nyanja za elimu ya maji baridi (mito, mabwawa, visima, n.k.; na maji chumvi ya bahari (limnology, oceanography, freshwater biology, marine biology, conservation, ecology, population dynamics, economics na management),
Chuo kinamtayarisha mwanachuo katika usimamizi na utunzaji wa maliasili samaki kwa kufanya shughuli za uvuvi katika mito, maziwa na bahaari. Halikadhalika Chuo kinamfundisha mwanachuo matumizi ya vifaa vya uvuvi, utengenezaji wa vyombo vya kuvulia, :.nyavu za kuvulia n.k. Pia Chuo kinamfundisha mwanachuo mbinu bora za uvuvi na usimamizi wa uhifadhi wa maliasili samaki kulingana na sheria na kanuni za kitaifa na kimataifa.
Mbeya Polytechnic College -Tukuyu, tunawataarifu wanafunzi wanaopenda kujiunga na chuo chetu kwamba NACTE watafungua dirisha la UDAHILI tarehe 23.1.2017 kwa ingizo la Machi/April, 2017. MPC Tukuyu ni chuo pekee nchini kinachotoa kozi ya Kilimo na Maliasili katika Mtaala mmoja. Tembelea: http://www.nacte.go.tz/en/updates.php. Kwa ushauri wa namna ya kujisajili tupigie simu 0764774929, 0783362553. Tafadhali sambaza taarifa hii kwa wengine.
01/06/2016
Convince yourself you want to do it. ...
Take control. ...
Surround yourself with other people who are working hard. ...
Break up your tasks into smaller tasks. ...
Stay focused. ...
Remember your "why." ...
Stay positive.
25/05/2016
Chilling and having happy hour at Mbeya Polytechnic College!
14/05/2016
Karibu ujisajili kwenye Chuo chetu kupitia hawa Business partners wetu bila gharama za ziada!
08/05/2016
TANGAZO TANGAZO; Chuo cha Mbeya Polytechnic kinawatangazia wahitimu wa Kidato cha nne na Kidato cha sita wanaotaka kujiunga na vyuo vilivyosajiliwa chini ya NACTE kwamba kinatoa msaada wa kuomba kujiunga na chuo chochote nchini kupitia mfumo wa Central Admission System.
Huduma hii ni ya bure na inatolewa hapa chuoni na pia katika ofisi ya chuo iliyopo eneo la Mama John, karibu na soko la Mwakibete.
Chuo cha Mbeya Polytechnic kina kampasi Mbeya mjini na Tukuyu mjini.
Kampasi ya Mbeya inatoa
kozi zifuatazo: ICT, Business Administration
na General Agriculture. Kampasi ya Tukuyu inatoa Agriculture and
Natural Resources Management, ni Chuo pekee nchini kinachotoa kozi hii ya Kilimo na Maliasili.
Sifa za kujiunga: Kidato cha nne au VETA-NVA3. Waombaji wapeleke maombi kupitia tovuti ya NACTE, www.nacte.go.tz.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya Chuo www.mbeyacollege.ac.tz au piga simu namba zifuatazo: 0752311100, 0752793015 na 0783362553.
Chuo cha Mbeya Polytechnic kina kampasi Mbeya mjini na Tukuyu mjini.
Kampasi ya Mbeya inatoa kozi zifuatazo: ICT, Business Administration
na General Agriculture. Kampasi ya Tukuyu inatoa Agriculture and
Natural Resources Management, ni Chuo pekee nchini kinachotoa kozi hii ya Kilimo na Maliasili. Sifa za kujiunga: Kidato cha nne wenye D nne au VETA-NVA3. Waombaji wapeleke maombi kupitia tovuti ya NACTE, www.nacte.go.tz.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya Chuo www.mbeyacollege.ac.tz au piga simu namba zifuatazo: 0752311100, 0752793015 na 0783362553.
Kwa waombaji waliopo Mkoa wa Mbeya wanaweza kufika Chuoni ili
kusaidiwa namna ya kujaza maombi kupitia mfumo wa NACTE wa Central Admission System bila malipo
04/03/2016
04/03/2016
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Website
Address
IGANZO
Mbeya
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 21:30 |
| Tuesday | 08:00 - 21:30 |
| Wednesday | 08:00 - 21:30 |
| Thursday | 08:00 - 21:30 |
| Friday | 08:00 - 21:30 |