21/07/2017
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE –VOCATIONAL TRAINING CENTRE
Mobile: 0754-324 030 au 0764-774 929
TANGAZO LA MASOMO
Mkuu wa Chuo cha Mbeya Polytechnic, kilichopo Mbeya mjini, anawatangazia wananchi kuwa chuo kinatoa mafunzo ya NABE STAGE I, STAGE II na STAGE III, maingizo ya mwezi Januari na Julai kila mwaka.
Mafunzo yanatolewa katika fani za Uhazili (Secretarial), Biashara (Commerce) na Uhasibu (Accountancy), yanayofundishwa kwa miezi sita kila stage. Mafunzo ya kozi fupi na ndefu za kompyuta yanatolewa k**a nyongeza. Sifa za kujiunga ni mwanafunzi yeyote aliyemaliza kidato cha nne (IV) na kuendelea.
Wahitimu wa STAGE II, wataweza kujiunga na ;ATEC I chini ya Ncational Board of Accountants and Auditors (NBAA) au NTA level 4 chini ya NACTE katika fani husika k**a vile Uhasibu (Accountancy), Manunuzi na Ugavi(Procurement & Supply) au Uboharia (Store Keeping)
Wahitimu wa STAGE III, wataweza kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE kuendelea na ngazi ya Diploma katika fani za Uhasibu, Manunuzi na Ugavi au Uboharia, ama kujiajiri au kuajiriwa katika sekta mbalimbali .
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754-324 030 / 0764-774 929 /
0714-147353 au 0783-362553
Barua pepe: [email protected]
S.L.P 2433, Mbeya.
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“TO LEARN IS TO CHANGE.”
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE –VOCATIONAL TRAINING CENTRE
Mobile: 0754-324 030 / 0764-774 929
TANGAZO LA MASOMO
Mkuu wa Chuo cha Mbeya Polytechnic, kilichopo Tukuyu, Mbeya; anawatangazia nafasi za masomo kwa kozi za kilimo (Agriculture), Kilimo na Maliasili (Agriculture and Natural Resources Management) na Kilimo cha Bustani (Agriculture in Horticulture Management) Kwa ngazi ya VETA Level I, Level II na Level III.
Wahitimu wa Level II wataweza kujiunga na ngazi ya Cheti (Certificate) chini ya NACTE kwa wahitimu wa VETA-Level III wataweza kujiunga moja kwa moja na ngazi ya Diploma kwa miaka 2.
Sifa za kujiunga ni muhitimu wa kidato cha nne (O-Level) mwenye ufaulu wa angalau alama moja ya D katika somo lolote.
Tunawashauri wanafunzi wanaopenda taaluma ya kilimo na maliasili lakini wamekosa D tatu za Masomo ya sayansi zinazotakiwa na NACTE, nafasi bado ipo. Serikali inaruhusu wanafunzi hao wasome NVA level I na II ndipo waendelee na NTA level IV, Ama NVA level I, II na III ndipo waendelee na Diploma. Utadhani unachelewa, kumbuka Mungu hachelewi wala hawahi. Jipange kwa kozi itakayokidhi haja ya moyo wako. Kozi isiyosumbua Ajira. Ku-resit na kuweza kufaulu masomo ya Sayansi ni kazi ngumu kuliko utaratibu huu wa kupitia VETA. Asante Serikali kwa njia hii mbadala.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754-324 030 / 0764-774 929 /
0714-147353 au 0783-362553
Barua pepe [email protected]
S.L.P 2433, Mbeya au S.L.P 479 Tukuyu
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“TO LEARN IS TO CHANGE.”
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE- OPEN SCHOOL
Mobile: 0754-324 030 / 0764-774 929
TANGAZO LA MASOMO
Chuo cha Mbeya Polytechnic kilichopo kata ya Iganzo, Mbeya mjini,kinatangaza programu maalum ya masomo ya sekondari.
Masomo haya yatatolewa kwa wanafunzi:
(i) ambao hawakupata nafasi ya kujiunga kidato cha I (Kwanza),
(ii) wale wanaotaka kurudia mitihani kwa kutokupata alama za kutosha kujiunga na kidato cha V (Tano)
(iii) na wale wanaotaka kufanya mitihani ya kidato cha VI (Sita).
Programu hii itawawezesha wanafunzi kuhitimu masomo ya kidato cha I na cha II katika mwaka mmoja na kufanya mitihani ya QT;
Na masomo ya kidato cha III na IV katika mwaka mmoja na kufanya mitihani ya kidato cha nne (CSEE).
Aidha wanafunzi watasoma masomo ya kidato cha V na cha VI kwa mwaka mmoja na kufanya mitihani wa kidato cha Sita (ACSEE).
Tuna michepuo ya HKL, HGK, HGL, HGE, EGM, PCB, PCM, CBG na ECA.
Hivi sasa tunaandikisha watahiniwa wanaotaka kufanya mitihani ya kidato cha VI kwa mwaka 2017-2018 kwa namba ya usajili P1248.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754-324 030 / 0764-774 929 /
0714-147353 au 0783-362553
Barua pepe [email protected]
S.L.P 2433, Mbeya.
MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE-VTC
“TO LEARN IS TO CHANGE.”