Mbalizi Polytechnic College

Mbalizi Polytechnic College

Comments

Hakika Mungu ni muweza wa wote
Uwe na siku njema
Jjo
ajmjgmwj
P1 Ndugu
Ni store inayotumika kuhifadhia nafaka
mwaka wakuzaliwa

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mbalizi Polytechnic College, Education, P.BOX 4614, Mbeya, Mbalizi.

Operating as usual

08/07/2018

Tupo pamoja

04/07/2018

KARIBU MBALIZI POLYTECHNIC COLLEGE MWAKA WA MASOMO 2018/2019

18/06/2018

Download Qualification For Applicants 2018/2019 to join Mbalizi Polytechnic College More Details Visit our Website http://mbalizipolytechniccollege.ac.tz

13/06/2018

TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO
KARIBU MBALIZI POLYTECHNIC COLLEGE MWAKA WA MASOMO 208/2019

29/04/2018

Karibu Mbalizi Polytechnic College, Chuo cha Kilimo na Mifugo

25/04/2018

Katibu MBALIZI POLYTECHNIC COLLEGE, CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO

26/03/2018

KARIBU MBALIZI POLYTECHNIC COLLEGE. CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO
TUNATOA KOZI ZIFUATAZO:

1. Diploma in General Agriculture

2. kwa ngazi ya NACTE
General Agriculture (Kilimo na Mifugo) ngazi ya Cheti (Certifícate)

Waombaji wote wawe na ufaulu wa kuanzia Pasi NNE(4) za kidato cha nne, kati ya hizo tatu ziwe za masomo ya sayansi Biology, Geography, Chemistry, Mathematics, Physics na Agriculture.

3. kwa ngazi ya VETA
Kozi zinazotolewa ni:

i.Animal Husbandry
ii.Horticulture and field crops

www.mbalizipolytechniccollege.ac.tz

14/03/2018

TANGAZO LA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO KWA MWAKA WA MASOMO 2018/2019. KOZI YA DIPLOMA IN GENERAL AGRICULTURE NAYO IPO

14/03/2018

KARIBU MBALIZI POLYTECHNIC COLLEGE KWA MWAKA WA MASOMO 2018/2019 tembelea tovuti yetu www.mbalizipolytechniccollege.ac.tz

07/03/2018

KILOMO CHA MIGOMBA CHA KISASA

06/03/2018

TANGAZO LA KUANZA KWA MWAKA WA MASOMO. KARIBU MBALIZI POLYTECHNIC COLLEGE

02/01/2018

Karibu Mbalizi Polytechnic college

07/12/2017

Jinsi ugonjwa wa kutu unavyosambaa kwenye mmea

20/11/2017

Karibu Mbalizi polytechnic college

12/10/2017

Karibu Mbalizi Polytechnic College

12/10/2017

Karibu Mbalizi Polytechnic College kwa ajili ya kujifunza kilimo na mifugo

17/08/2017

www.mbalizipolytechniccollege.ac.tz
Karibu chuo cha Kilimo na Mifugo MBALIZI POLYTECHNIC COLLEGE

12/08/2017

Tembelea tovuti yetu ya Mbalizi Polytechnic College

www.mbalizipolytechniccollege.ac.tz

21/07/2017

Photos from Mbalizi Polytechnic College's post

27/06/2017

Mbalizi Polytechnic College

26/06/2017

Mbalizi Polytechnic College

20/06/2017

Timeline Photos

29/05/2017

www.mbalizipolytechniccollege.ac.tz

TANGAZO LA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Mkuu wa chuo cha kilimo na mifugo Mbalizi Polytechnic College kilichopo MJI MDOGO WA MBALIZI, eneo la Iwindi, nje kidogo ya JIJI LA MBEYA, chenye usajili wa NACTE REG/BTP/017p na VETA Anatangaza nafasi za masomo katika fani zifuatazo:

1. kwa ngazi ya NACTE
General Agriculture (Kilimo na Mifugo) ngazi ya Cheti (Certifícate)

Waombaji wote wawe na ufaulu wa kuanzia Pasi NNE(4) za kidato cha nne, kati ya hizo tatu ziwe za masomo ya sayansi Biology, Geography, Chemistry, Mathematics, Physics na Agriculture.

2. kwa ngazi ya VETA
Kozi zinazotolewa ni:

i.Animal Husbandry
ii.Horticulture and field crops

waombaji wanatakiwa wawe na ufaulu wa kuanzia pasi mbili za form four moja ikiwa ya sayansi.

*Pia chuo huwapeleka wanafunzi nje ya nchi ili kujifunza fursa mbalimbali za kuuza au kuagiza bidhaa mbalimbali zitokanazo na kilimo na mifugo
*Pia chuo kina wataalam mbalimbali waliosomea ndani na nje ya nchi pia chuo kitakukutanisha na wajasiriamali mbalimbali walio fanikiwa katika sekta ya kilimo na mifugo

Chuo kina waalimu wazoefu, Vifaa vya uhakika, Mazao ya kudumu na Mifugo, na Mazingira mazuri kwa mwanafunzi kuweza kujifunza vizuri.

Fomu zina patikana
1. kwenye tovuti ya chuo WWW.MBALIZIPOLYTECHNICCOLLEGE.AC.TZ
2. kwenye maduka ya pembejeo za kilimo ya kalinga company

mwisho wa kutuma maombi ni tarehe20/08/2017

kwa maelezo zaidi piga simu
(1)0757 305 559 (2)0712 456 570
Au
Email:
[email protected]

WWW.MBALIZIPOLYTECHNICCOLLEGE.AC.TZ

29/05/2017

www.mbalizipolytechniccollege.ac.tz

TANGAZO LA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Mkuu wa chuo cha kilimo na mifugo Mbalizi Polytechnic College kilichopo MJI MDOGO WA MBALIZI, eneo la Iwindi, nje kidogo ya JIJI LA MBEYA, chenye usajili wa NACTE REG/BTP/017p na VETA Anatangaza nafasi za masomo katika fani zifuatazo:

1. kwa ngazi ya NACTE
General Agriculture (Kilimo na Mifugo) ngazi ya Cheti (Certifícate)

Waombaji wote wawe na ufaulu wa kuanzia Pasi NNE(4) za kidato cha nne, kati ya hizo tatu ziwe za masomo ya sayansi Biology, Geography, Chemistry, Mathematics, Physics na Agriculture.

2. kwa ngazi ya VETA
Kozi zinazotolewa ni:

i.Animal Husbandry
ii.Horticulture and field crops

waombaji wanatakiwa wawe na ufaulu wa kuanzia pasi mbili za form four moja ikiwa ya sayansi.

*Pia chuo huwapeleka wanafunzi nje ya nchi ili kujifunza fursa mbalimbali za kuuza au kuagiza bidhaa mbalimbali zitokanazo na kilimo na mifugo
*Pia chuo kina wataalam mbalimbali waliosomea ndani na nje ya nchi pia chuo kitakukutanisha na wajasiriamali mbalimbali walio fanikiwa katika sekta ya kilimo na mifugo

Chuo kina waalimu wazoefu, Vifaa vya uhakika, Mazao ya kudumu na Mifugo, na Mazingira mazuri kwa mwanafunzi kuweza kujifunza vizuri.

Fomu zina patikana
1. kwenye tovuti ya chuo WWW.MBALIZIPOLYTECHNICCOLLEGE.AC.TZ
2. kwenye maduka ya pembejeo za kilimo ya kalinga company

mwisho wa kutuma maombi ni tarehe20/08/2017

kwa maelezo zaidi piga simu
(1)0757 305 559 (2)0712 456 570
Au
Email:
[email protected]

WWW.MBALIZIPOLYTECHNICCOLLEGE.AC.TZ

15/05/2017

Daniel "Churchill" Ndambuki aka Mwalimu King'ang'i

Ufugaji huu

How does he do it?
Hii ni talent ama ndio vile employees huogopa boss

15/09/2016

Ngomeagribusiness

Production in greenhouse is technology and technique of providing favorable environment to grow the plants. It is rather used to protect the plants from the adverse climatic conditions such as wind, cold, precipitation, excessive radiation, extreme temperature, insects and diseases.

It is also of vital importance to create an ideal micro climate around the plants. This is possible by erecting a greenhouse where the environmental conditions are so modified that one can grow any plant in anyplace at any time by providing suitable environmental conditions with less water, less human labour and less expenses.

Greenhouse cultivation as well as other modes of controlled environment cultivation has been evolved to create favorable atmosphere, which favours the crop production could be possible round the year production (even off season) of vegetables, flowers and fruits.

Greenhouses are framed by inflated structure of Galvanized Iron, covered with a transparent U.V. stabilized plastic film material in which crops are grown under controlled environment conditions. The design of our Greenhouse is based upon sound scientific principal facilitates for plants growth.

Greenhouses and other technologies for controlled environment plant production are associated with the off-season production of ornamentals and foods of high value in cold climate areas where outdoor production is not possible. The primary environmental parameter traditionally controlled is temperature, usually provides heat to overcome extreme cold conditions. However, environmental control can also include cooling to mitigate excessive temperatures, light control either shading or adding supplemental light, carbon dioxide levels, relative humidity, water, plant nutrients and pest control.

Greenhouses are used for growing flowers, vegetables and fruits. And often use for nurseries of Seedlings / saplings of fruits, vegetables and flowers are grown in greenhouses in late winter and early spring, and then transplanted outside as the temperature becomes favorable. Start-up plants are usually available for farmers at transplanting time

Greenhouse technology is highly relevant under Tanzania condition due to variant agro-climatic condition of the country.

The list of advantages includes providing favorable micro climatic conditions for the plant, cultivation in all seasons is possible, higher yield with better quality production, less irrigation, suitability for cultivation high value croup and even off –season crops also, good control of pest and diseases, helping in raising early nurseries, round the year propagation of planting material production of the crops from wind, rain, snow, bind, hail etc.

15/09/2016

Ngomeagribusiness

Good soil gives a good crop. Do a soil test to find out which fertilisers to add, and how much, to make your soil better. Using the right fertilisers can double your harvest!
If your soil is too acidic (low pH), potatoes, beans, grains and vegetables will not grow well. Add lime every season until your soil pH is 6.

Dig lime into the soil 2 weeks before planting. This will make your pH higher so your crops will grow better. Add lime every season until your soil pH is 6.

Get your soil tested by SoilCares Africa . Contact them by calling these numbers 0786 363 468/0728 970 136 or via email: [email protected]

15/09/2016

Ngomeagribusiness

Kilimo cha muhogo
Aina za muhogo
Kuna makundi mawili ya muhogo ambazo ni muhogo mtamu na mchungu. Katika makundi hayo kuna aina zaidi ya 21 za mihogo zilizothibitishwa na wataalamu wa kilimo nchini. Aina hizo za mihogo hulimwa kwa kuzingatia hali ya hewa na udongo katika kanda husika.

Kwa mujibu wa rekodi za kilimo cha muhogo nchini, kuna kanda nne zinazojihusisha na kilimo hicho.

Kuna Kanda ya Pwani inayojumuisha Naliendele, Kiroba, Mkumba, Kibaha na Pwani.

Kanda ya Kati inajumuisha Hombolo, Dodoma, Makutupora na Mumba

Kanda ya Ziwa na Magharibi inajumuisha Mkombozi, Kyaka, Meremeta, Nyakafulo na Fuma

Kanda ya Zanzibar na Pemba inajumuisha Kizimbani, Mahanda na Machui na Kama.

Kutayarisha shamba
Muhogo hustawi zaidi kwenye udongo wa kichanga au ardhi tifutifu yenye rutuba ya wastani. Shamba litifuliwe vyema baada ya kufyeka na kung’oa visiki kabla ya msimu ni vyema matuta yaandaliwe ili kuwezesha ukuaji wa mizizi, kurahisisha uvunaji.

Kutayarisha mbegu
Mbegu zichaguliwe kutoka kwenye miche ya muhogo isiyoshambuliwa na wadudu na magonjwa kama batobato na michirizi ya kahawia. Mbegu hukatwa vipandepande kutoka kwenye muhogo uliostawi vizuri na vitumba vizuri vilivyo karibu na kuondoa sehemu ngumu ya shina na sehemu ya juu kuepuka sehemu laini.

(Sehemu ya katikati ya shina ndiyo inafaa kukata pingili) Pingili/vipande hukatwa kwa urefu wa sentimeta 25 hadi 30 wastani wa vitumba vinane.

Kupanda muhogo
Muhogo hupandwa mwanzoni wa msimu. Pamoja na muhogo kuvumilia ukame, mvua chache hupunguza mazao. Upandaji unaostahili ni kufukia sehemu kubwa ya ya pingili ardhini kwa kuilaza mshazari kidogo (nyuzi 45) ili macho yatakapotoa machipukizi yaelekee juu. Shindilia udongo kando ya pingili.

Nafasi za upandaji nazo zimegawanyika kutokana na aina ya udongo, aina ya muhogo wenyewe na kama muhogo unachanganya na mazao mengine.
Nafasi za upandaji zilizopendekezwa ni mita moja kwa mita moja ikiwa unapanda mbegu ya muhogo unazaa sana na muhogo wake ni mirefu.
Unapaswa kuacha nafasi ya mita moja kwa sentimeta 90 ikiwa unatumia mbegu ya muhogo unaozaa sana na muhogo wake ni mfupi mnene. Unapaswa kuacha nafasi ya mita 1 kwa sentimeta 75 ikiwa unatumia mbegu ya muhogo unaozaa kwa wastani.

Mbolea
Kwa kuwa muhogo unastawi vizuri katika udongo usio na rutuba Tanzania haina rekodi rasmi kuhusu ushauri wa mbolea inayopaswa kutumiwa katika kilimo cha muhogo
Hata hivyo unaweza kutumia kutumia samadi au mboji ili kuuongezea udongo wa shamba uwezo wa kutunza unyevu hasa kwenye udongo wa kichanga.

Palizi
Ni muhimu kufanya palizi katika kilimo cha muhogo na ni vyema palizi ifanyike mara tatu kwa msimu ili kuzuia magugu ambayo husababisha kunyang’anyana lishe muhogo.
Pia palizi inasaidia kuondoa majani yanayotengeneza maficho kwa visumbufu vya mimea (wadudu na magonjwa).

Kurudisha udongo kwenye mashina wakati wa palizi huongeza mazao.Visumbufu vya muhogo Ingawa muhogo unahimili ukame unaweza kuathiriwa na visumbufu yaani wadudu mbalimbali ikiwa ni Cassava whitefly wadudu weupe wanaoshambulia muhogo, cassava green mites (CGM), wadudu ambao hushambulia majani mapya ya muhogo hasa sehemu za chini na Scales yaani wadudu wanaojishika kwenye shina na kufyonza maji kutoka kwenye mti wa muhogo.

Visumbufu vingine ni cassava mealbugs yaani wadudu wanaoshambulia kwenye ncha za mashina/matawi kwenye majani machanga.
Athari zake ni kwamba majani yanadumaa na kujikusanya pamoja, hivyo basi kupunguza ukuaji wa mmea kwa ujumla. Vile vile urefu kati ya pingili na pingili huwa fupi sana.

Pia visumbufu kama mburumundu, nzige na vidugamba huathiri mihogo.
karibu vyote vilivyotajwa hapo juu vinashambulia muhogo kwa kufyonza majani na kuleta madhara kwa namna tofauti na kusababisha uzalishaji duni wa muhogo Ili kuvidhibiti visumbufu hivyo unapaswa kuwasiliana na mtaalamu wa kilimo aliyepo karibu nawe kwa ushauri wa kina.

Magonjwa
Yapo magonjwa mengi ya muhogo lakini ugonjwa wa Batobato ndiyo unaosumbua sana wakulima hapa Tanzania.
Ugonjwa wa batobato husababisha majani yakunjamane na kuwa ya njano na mwisho hupuputika na kufanya mmea kudumaa na kushindwa au kutowa mazao hafifu na yasikuwa na ubora, ugonjwa huu huenezwa na inzi mweupe (cassava whitefly).
Kuzuia

Unashauriwa kutumia mbegu za muhogo zinazokinzana na ugonjwa wa batobato (waone wataalamu kwa ushauri).
Kuvuna Muhogo huanza kukomaa kuanzia mwezi wa nane hadi 12 tangu kupandwa shambani hii kulingana na aina ya mbegu. Uvunaji hufanyika kwa kuchimba na kung’oa shina lote au kutoa baadhi ya muhogo na kuacha shina liendelee pale shambani.

16/08/2016

KukuProject

Mafanikio hayahitaji haraka. Weka malengo yako vizuri, anza kuyatekeleza taratibu #UTAFANIKIWA TU. @Kukuproject tuko nyuma yako kukushika mkono.

16/08/2016

KukuProject

Kuku wanalipa.
Tazama video hii Kwa makini na utoe maoni yako je, ni changamoto gani inakufanya usifikie hapa. Usisahau @kukuproject ndio jibu lako.

29/07/2016

KukuProject

JISIKIE FURAHA PALE UNAPOONA KUKU WAKO AMETAGA YAI. LAKINI @KUKUPROJECT TUMEKURAHISISHIA...TUNAKUPATIA MASHINE YA KTOTOLESHEA MAYAI YAKO KWA BEI NAFUU,RAHISI NA YA PUNGUZO HADI 20%. UNASUBIRI NINI...
WASILIANA NASI LEO...
+255 743 510 033
+255 678 226 498
+255 715 908 307

22/07/2016

JamiiForums

KILIMO: Matikiti maji aina ya Sugar baby yanachukua siku 60 toka kupandwa hadi kuvuna na kwa mwaka unaweza kulima mara 4 .

- Je, unajua kilimo cha matikiti maji (watermelon) katika eneo la ekari 5 ukilima mara nne kwa mwaka, unaweza kupata faida ya mpaka shilingi 25,000,000 kwa mwaka?

Washirikishe wenzako kwa ku Like, Share na Comment

Zaidi, soma => http://bit.ly/29XyyPC

kaksigaby.blogspot.com 21/07/2016

LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI | MUNGU NI NIA NJEMA

kaksigaby.blogspot.com LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI GABRIEL ALOYCE 2:25 PM ELIMU , UCHUMI NA AJIRA Edit Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku…

kaksigaby.blogspot.com 21/07/2016

UFUGAJI WA KUKU | MUNGU NI NIA NJEMA

kaksigaby.blogspot.com UFUGAJI WA KUKU GABRIEL ALOYCE 7:08 AM ELIMU , UCHUMI NA AJIRA Edit Tiba na chanjo dhidi ya magonjwa ya kuku. Afya ya kuku huweza kuathiriwa na magonjwa ya aina nyingi, wadudu tofauti na lishe duni ambavyo husababisha hasara kwa mfugaji yasipodhibitiwa au kutibiwa mapema. Hasara hizo ni pamoja na gh...

15/07/2016

KukuProject

FAHAMU TOFAUTI KUBWA KATI YA KUKU WA KIENYEJI NA KUKU KUROILER .
Kuloiler ni kuku wenye asili ya india na zifuatazo ni sifa zao...
1.Wanafugwa kienyeji(hutawaachia kama kuku wa kienyeji au utawafuga kisasa kwa kiwaweka ndani ya banda ila wawe free)
2..Hawapati magonjwa kirahisi
3.Wanaanza kutaga wakiwa na miezi 5
4..Wanataga miaka miwili..
5..Majogoo yanafika hadi kilo 5 na mitetea 3.5kg hadi 4kg
6..Wanataga mayai 250 na zaidi kwa mwaka.
7..Mayaiyakei ni fertile ila hawalalii.mayai hutotoreshwa kwa incubators.
Tunauza vifaranga vya kuroilers kwa orders. Tupo magomeni , Tupigie:0715-908307/0678-226498/[email protected] 2,500/=, Tunaanza kuuza kuanzia 100 na kuendelea.

Videos (show all)

KARIBU MBALIZI POLYTECHNIC COLLEGE KWA MWAKA WA MASOMO 2018/2019 tembelea tovuti yetu www.mbalizipolytechniccollege.ac.t...
KILOMO CHA MIGOMBA CHA KISASA
Jinsi ugonjwa wa kutu unavyosambaa kwenye mmea
Tembelea tovuti yetu ya Mbalizi Polytechnic Collegewww.mbalizipolytechniccollege.ac.tz

Location

Category

Telephone

Address


P.BOX 4614, Mbeya
Mbalizi
25
Other Mbalizi schools & colleges (show all)
Mbalizi HIGH School Mbalizi HIGH School
1003 Mbeya
Mbalizi, +255

school motto: Zeal and Efficiency

Wenda high school Wenda high school
Mbalizi, P.O.BOX 1488 MBEYA-TANZANIA

Welcome to the official Wenda High School page. "OUR UTMOST FOR THE HIGHEST"

WAVES of GLORY Services - WGS WAVES of GLORY Services - WGS
Mbalizi

KUFANIKIWA au KUTOFANIKIWA ni MATOKEO ya uwezo wako wa kufikiri. Kwahiyo ukitaka kubadili maisha yako badili kwanza mawazo yako.