Mbalizi HIGH School

Mbalizi HIGH School

Comments

As well as Mbalizi secondary qualified to be a corridor for University all parents this is a RIGHT PLACE FOR SURE
New beginning to you all.
Naomba kuuliza ikiwa kuna yeyote anajua habari za Vera Olomi au mawasiliano yake.
Please help. Alimaliza form iv 2004 k**a sijakosesa na kina Pendo magashi
young.boy
Ma school which I was staded at 2015
hoooooo 👁👁 celestin
Mungu nibaliki kwa mafanikio yangu
Wana fb nawatakieni jion
Njema
Mungu mwema kila jambo anajibu kwa wakati aliejifanya amenikomoa Ndio apikuwa amenifungulia Malango mm sipangwi na binadamu na pangwa na mungu wana fb jioni Njema
samahan et form za kujiunga na shule ya mbalizi zinapatikana wapi
Mungu ibariki should yeti

school motto: Zeal and Efficiency

Operating as usual

26/08/2021
10/07/2021

Matokeo ya kidato cha sita 2021, Shule imeongoza kwa mkoa wa Mbeya kwa kushika nafasi ya kwanza kimkoa na nafasi ya 34 kitaifa katika shule 610. Karibuni nyote nafasi za kidato cha tano Bado zipo.

Matokeo ya kidato cha sita 2021, Shule imeongoza kwa mkoa wa Mbeya kwa kushika nafasi ya kwanza kimkoa na nafasi ya 34 kitaifa katika shule 610. Karibuni nyote nafasi za kidato cha tano Bado zipo.

Photos from Mbalizi HIGH School's post 10/07/2021

Photos from Mbalizi HIGH School's post

Photos from Mbalizi HIGH School's post 10/07/2021

"MBALIZI HIGH SCHOOL IS A CORRIDOR TO UNIVERSITY"
this is what we mean.
Regional position 1/40
National position 34/610

[06/03/21]   Ndugu mzazi/mlezi,Mkuu wa shule ya Mbalizi Sekondari anakukumbusha kuwa usiendelee kuwaza juu ya mwanao aende wapi baada ya uchaguzi wa kwenda kidato cha tano kutolewa,mlete mtoto MBALIZI SEKONDARI ili aje apate elimu bora ambayo itamfaa mtoto kwa mustakabari wa maisha yake na ili aweze kutimiza ndoto zake za kufika chuo kikuu.
Shule yetu imejikita katika tahasusi zifuatazo PCM,PCB,CBG,HKL,HGL,HGK,HGE na EGM.
Shule ina mazingira mazuri ya kujifunzia na ina walimu wazoefu,ada yetu pia ni nafuu na inalipwa kwa awamu nne.
"MBALIZI HIGH SCHOOL IS A CORRIDOR TO UNIVERSITY"

[01/02/21]   Mbalizi High School inawatakia wote heri ya mwaka mpya,pia mkuu wa shule anaendelea kuwakumbusha kuwa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2021 bado zinapatikana.Hivyo mzazi/mlezi mlete mwanao aje apate elimu bora kabisa pia nafasi za kuhamia kwa kidato cha pili,cha tatu na cha tano zipo chache.Ada zetu ni nafuu sana. NYOOTE MNAKARIBISHWA.
"MBALIZI HIGH SCHOOL IS A CORRIDOR TO UNIVERSITY "

04/09/2020

Hata baada ya changamoto ya ugonjwa wa "COVID 19" bado Shule yetu imeweza kuziondoa "DIVISION IV" na "DIVISION O".Hivyo mzazi/mlezi tunaendelea kukuomba na pia kukusisitiza umlete mwanao MBALIZI HIGH SCHOOL ili aje apate elimu bora na si bora elimu.Nafasi kwa kidato cha tano bado zinapatikana na pia za kuhamia kwa kidato cha I na cha III zinapatikana.
Shule ni ya kutwa na bweni na ada zetu ni nafuu sana.Nyoote mnakaribishwa.
"MBALIZI HIGH SCHOOL IS A CORRIDOR TO UNIVERSITY"

[07/04/20]   Ndugu mzazi/mlezi,mkuu wa shule ya Mbalizi Sekondari anaendelea kuwakumbusha kuwa nafasi za kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2020/2021 bado zipo kwa tahasusi za;
PCM, PCB, CBG, HKL,HGL,HGK,HGE na EGM,
Shule ina mazingira mazuri ya kujifunzia na walimu waliobobea katika ufundishaji,wenye uwezo wa kumpatia mwanafunzi elimu iliyo bora kwa mustakabari wa maisha yake.

Masomo kwa kidato cha tano yataanza tar 8/7/2020.

Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne(4).Nyotee mnakaribishwa.

"MBALIZI SECONDARY IS A CORRIDOR TO UNIVERSITY"

29/06/2020

Mkuu wa shule ya sec Mbalizi anawatakia kidato cha sita mtihani mwema.

[12/10/19]   Ndugu mzazi/mlezi,mkuu wa shule ya sekondari Mbalizi anapenda kuwakumbusha kuwa wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2020 watafungua shule tarehe 16/12/2019,pia k**a ulikua bado hujachukua fomu ya mwanao kujiunga na kidato cha kwanza fomu zinapatikana shuleni kwa sh 10,000/= tu.Wahi sasa nafasi ni chache.
Pia nafasi za kuhamia zipo kwa kidato cha pili,cha tatu na cha tano.Shule ni ya KUTWA na BWENI.
ADA YETU NI NAFUU SANA NA UNALIPA KWA AWAMU NNE(4)
Kwa mawasiliano;
Mkuu wa shule - 0754644735
Makamu mkuu wa shule - 0758487928
Mtaaluma mkuu - 0754207095
NYOTE MNAKARIBISHWA.

[10/31/19]   Ndugu MZAZI /MLEZI ,Mkuu wa shule anaendelea kuwakumbusha kuwa usaihili(interview)kwa awamu ya pili kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na kidato cha kwanza 2020 utafanyika tarehe 9/11/2019 hapa shuleni saa 2:00 asubuhi.Fomu zinapatikana shuleni kwa shs 10,000 tu,pia k**a upo mbali tunakutumia.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Shule ina mazingira bora ya kujifunzia na walimu wenye sifa nzuri na uzoefu wa kumwezesha mwanao kufanya vizuri katika masomo yake.
"MBALIZI IS A CORRIDOR TO UNIVERSITY "

11/07/2019

Tunaposema "MBALIZI IS A CORRIDOR TO UNIVERSITY"hichi ndicho tunachomaanisha.
MZAZI/MLEZI KARIBU MLETE MWANAO ILI APATE ELIMU BORA KWA MUSTAKABALI WA MAISHA YAKE.

24/04/2019

Ndugu muhitimu wa kidato cha nne,Karibu ujiunge kidato cha tano na shule yetu ya "Mbalizi High School" kwa mwaka wa masomo 2019/2020,shule ina mazingira mazuri ya kujifunzia na walimu wenye sifa stahiki watakao kuwezesha kufikia malengo yako ya kielimu.Tahasusi(combinations)zifundishwazo ni PCB,PCM,CBG,HKL,HGL,HGK,HGE na EGM. Nyote mnakaribishwa.
"MBALIZI IS A CORRIDOR TO UNIVERSITY"

14/04/2019
10/01/2018

Mkuu wa shule Mr Weston Njeje akitoa zawadi kwa wanafunzi waliopata division one point 7 katika matokeo ya kidato cha pili 2017. Asante sana mkuu wa shule

06/10/2017

Picha ya pamoja ya serikali ya wanafunzi Mbalizi secondary school

01/07/2017

For better and quality education

01/05/2017

ALL THE BEST IN YOUR FORM SIX NATIONAL EXAMINATIONS.

29/03/2017

Baadhi ya watumishi wa Chuo kikuu Dodoma wakitoa semina kuhusiana na chuo kikuu Dodoma kwa wanafunzi wetu.
#Mbalizi #high #school
#for #better #education
#the #coridor #to #university

06/03/2017

Photos from Mbalizi HIGH School's post

09/01/2017

SHULE IMEFUNGULIWA LEO TAREHE 09/01/2017 NA MASOMO YANAENDELEA K**A KAWAIDA. WAZAZI NA WALEZI MNAENDELEA KUKUMBUSHWA KUWA KUNA NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA NA CHACHE KWA KIDATO CHA PILI.
mawasiliano ni k**a ifuatavyo:-
0754 885 121 Mkuu wa Shule
0762 519594 Makam Mkuu wa Shule
0716 861 606 Mtaaluma Msaidizi

26/10/2016

Matukio mbalimbali katika mahafali ya ishirini na sita ya kidato cha nne shule ya sekondari Mbalizi. 2016

26/10/2016

Picha za pamoja za wahitimu katika mahafali ya 26 ya kidato cha  nne  shule ya sekondari Mbalizi

11/10/2016

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI MBALIZI ANAENDELEA KUWAKUMBUSHA WAZAZI NA WALEZI KUWA FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2017 ZINAENDELEA KUTOLEWA SHULENI KWA TSH 15,000/=. MTIHANI WA USAHILI UTAFANYIKA TAREHE 12 NOVEMBA 2016. WAHI MAPEMA.
MAWASILIANO.
0754 885 121 Mkuu wa Shule
0762 515 594 Makamu Mkuu wa Shule
0754 207 095 Mwandamizi Taaluma
0716 861 606 Mtaaluma Msaidizi

01/10/2016

matukio: k**ati ya uongozi (CC) wa shule ikitoa mikono ya pongezi kwa viongozi wapya wa serikali ya wanafunzi waliochaguliwa kidemokrasia

01/10/2016

Tukio la kuwasimika viongozi serikali ya wanafunzi lilishuhudiwa pia na mwalimu mwandamizi taaluma mr.Sengo mwenye shati ya kijani

01/10/2016

mkuu wa shule mr. Weston Njeje akitambulisha rasmi uongozi wa serikali ya wanafunzi.
kushoto ni katibu, katikati na kaka mkuu na kulia ni dada mkuu

18/09/2016

TUNAENDELEA KUWAKUMBUSHA WAZAZI NA WALEZI KUWA FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA ZINAENDELEA KUTOLEWA SHULENI KWA Tsh 15,000/= .KWA WALE WALIO MBALI NA MBEYA TUNA UTARATIBU WA KUTUMA.
MAWASILIANO.
0754 885 121 Mkuu wa Shule
0762 515 594 Makamu Mkuu wa Shule
0754 207 095 Mwandamizi Taaluma
0716 861 606 Mtaaluma Msaidizi

28/08/2016

ni moja ya matukio muhimu ambayo wafanya kazi wa Mbalizi HIGH School huyafanya. ilikuwa ni siku ya kufanya tathmini ya mwenendo wa shule kwa ujumla pia kuwaaga watumishi mbalimbali waliostaafu kazi na kuwakaribisha wafanyakazi wapya

26/08/2016

kwa fomu za kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2017 unakaribishwa shuleni au wasiliana nasi kwa namba
0762 519 594 makamu mkuu wa shule
0754 207 095 mtaaluma

09/08/2016

Mr Weston Njeje the head master of Mbalizi HIGH School in black suit, early today he conducted the hand shaking exercise as well as provision of prizes to various winners of academic shows and indoor games
##zeal and efficiency is our school moto##

Videos (show all)

For better and quality education

Location

Telephone

Address


1003 Mbeya
Mbalizi
+255
Other Mbalizi schools & colleges (show all)
WAVES of GLORY Services - WGS WAVES of GLORY Services - WGS
Mbalizi

KUFANIKIWA au KUTOFANIKIWA ni MATOKEO ya uwezo wako wa kufikiri. Kwahiyo ukitaka kubadili maisha yako badili kwanza mawazo yako.

Wenda high school Wenda high school
Mbalizi, P.O.BOX 1488 MBEYA-TANZANIA

Welcome to the official Wenda High School page. "OUR UTMOST FOR THE HIGHEST"

Mbalizi Polytechnic College Mbalizi Polytechnic College
P.BOX 4614, Mbeya
Mbalizi, 25