29/11/2025
ZIARA YA MASOMO HIFADHI YA TAIFA MIKUMI
Siku ya jana tarehe 28.11.2025 wanafunzi wetu walifanikiwa kutembelea hifadhi ya taifa Mikumi. Ziara hii ya kimasomo iliyolenga kuwajengea uwezo watoto kujifunza kwa vitendo yale wanayojifunza darasani
Wanafunzi wetu waliweza kujifunza sifa na tabia mbali mbali za wanyama na kuonyesha kufurahishwa sana na ziara hii.
Pia; tunawashukuru Wazazi/Walezi kwa kuwezesha ufanikishwaji wa ziara hii
WE LEARN FROM EACH OTHER
πΈ