26/04/2022
HISTORIA YA BEN CARSO ,ni kati ya historia ambazo zitaendelea kukumbukwa
Akiwa shule ya msingi darasani alikuwa katika kundi LA wanafunzi vilaza yaani wasijua kusoma., hii ilipelekea kutengwa na kuwa mfano kwa waalimu ..Mara kadhaa walimu walisikika wakisema "ONGEZA BIDII ,USIWE K**A BEN CARSO"
Ben CARSO aliishi na Mama ,asiyejua kusoma wala kuandika ,pamoja na madhaifu hayo lkn aliendelea kumsaidia na kumtia moyo . Mara kadhaa alikiwa akimwambia
"Ben wewe ni MTU mkubwa ,wewe ni mwanafunzi bora. hii ilipelekea kutoka kuwa mtoto wa mwisho na kushika nafasi ya kwanza. Leo dunia inamtambua Ben CARSO k**a daktari bingwa nchini marekani
inawezekana mtoto wako anadhraulika kwa kutokujua kusoma ,Inawezekana mtoto wako anazomewa kila siku darasani jambo LA kufanya endelea kumtia moyo badala ya kumchapa au kumkaripia .takwimu zinaonyesha wazazi wanowapongeza watoto wao hata k**a maendeleo yao si mazuri ,imesaidia kuongeza ufanisi ,ufaulu na maendeleo darasani .
JE wewe una tabia ya kumpongeza mtoto wako? haijalishi ni mburura kiasi gani endekea kumwambia maneno mazuri ..... john WEWE NI MWANAFUNZI BORA KITAIFA , mwambie maneno haya kila Siku asubuhi na jioni.
kuwa mzazi na mwalimu bora ,mtoto wako amezaliwa na kipawa cha kipekee usimkatishe tamaa ndoto yake ni kubwa endelea kuipalilia
ST.BOSCO EDUCATION ACADEMY
tunakukatibisha katika huduma zifuatazo
st.bosco Day care, kuanzia miaka 2-5
tuition- kuanzia chekechea hadi sekondari
tunapatika kata ya Mkomaindo -Masasi
MAWASILIANO:0673285305/0656941987
By teacher Bosco