Michael Emanuel Sulle

Michael Emanuel Sulle Jesus Christ is alpha and Omega

Ni kweli Mungu alitupenda jinsi tulivyokuwa, ila hapendi tubaki vile vile alivyotukuta mwanzoni.Anafurahia zaidi tunapou...
30/10/2024

Ni kweli Mungu alitupenda jinsi tulivyokuwa, ila hapendi tubaki vile vile alivyotukuta mwanzoni.

Anafurahia zaidi tunapoukulia WOKOVU Kwa KUDUMU KATIKA FUNDISHO LA YESU KRISTO.

1 Petro 2:2 K**a watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu;

As newborn babes, desire the sincere milk of the word, that ye may grow thereby:

Bwana ni mwema!
18/10/2024

Bwana ni mwema!

K**a unataka kuyaishi na kutimiza maono ULIYOPEWA na  MUNGU, YAPAMBANIE, YAPIGANIE KWA NGUVU ZAKO ZOTE.UWE TAYARI KUTUMI...
12/10/2024

K**a unataka kuyaishi na kutimiza maono ULIYOPEWA na MUNGU, YAPAMBANIE, YAPIGANIE KWA NGUVU ZAKO ZOTE.

UWE TAYARI KUTUMIA KILA ULICHONACHO KUHAKIKISHA MAONO ULIYOPEWA NA MUNGU YANAKUWA HALISI NA UNAYAISHI.

K**a hauna mzigo na maono ULIYOPEWA na MUNGU, ujue hayakuwa maono, yalikuwa mawazo ya kibinadamu tu.

NB: USICHEZE NA MWENYE MAONO, WALA USICHEZEE MAONO YA MTU ANAYEJUTAMBUA!

HAUWEZI kuwa usichokiamini na kukifuata kutoka moyoni.
07/10/2024

HAUWEZI kuwa usichokiamini na kukifuata kutoka moyoni.

Asiyekuwa kwenye nafasi ya uongozi hawezi kujua vita ya KIONGOZI.Siku akiwa KIONGOZI ndio ataelewa somo Hilo vizuri."Hak...
04/10/2024

Asiyekuwa kwenye nafasi ya uongozi hawezi kujua vita ya KIONGOZI.

Siku akiwa KIONGOZI ndio ataelewa somo Hilo vizuri.

"Hakuna mtihani mgumu nje ya chumba Cha mtihani"

Mithali 21:6 Kupata AKIBA YA MALI kwa ULIMI WA UONGO Ni moshi upeperushwao; ni kutafuta mauti.The getting of TREASURES b...
30/09/2024

Mithali 21:6 Kupata AKIBA YA MALI kwa ULIMI WA UONGO Ni moshi upeperushwao; ni kutafuta mauti.

The getting of TREASURES by A LYING TONGUE is a vanity tossed to and fro of THEM THAT SEEK DEATH.

Mathayo 19:19 Waheshimu baba yako na mama yako, na, MPENDE JIRANI YAKO K**A NAFSI YAKO. Honour thy father and thy mother...
29/09/2024

Mathayo 19:19 Waheshimu baba yako na mama yako, na, MPENDE JIRANI YAKO K**A NAFSI YAKO.

Honour thy father and thy mother: and, Thou shalt love thy neighbour as thyself.

Mithali 14:21 Amdharauye mwenzake afanya dhambi; He that despiseth his neighbour sinneth!Watu WENGI huwadharau wenzao Kw...
16/09/2024

Mithali 14:21 Amdharauye mwenzake afanya dhambi;

He that despiseth his neighbour sinneth!

Watu WENGI huwadharau wenzao Kwa jinsi wanavyovaa, Kwa jinsi wanavyoongea, Kwa KAZI wanazofanya n.k LAKINI UKWELI NI KWAMBA KUDHARAU WATU NI DHAMBI MBELE ZA MUNGU NA MSHAHARA WAKE NI MAUTI K**A ILIVYO KWA DHAMBI NYINGINE YOYOTE!

Warumi 6:23 Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti;

For the wages of sin is death;

ENDELEA NA DHARAU ZAKO!

NI MIAKA 5 SASA, NIPO NA 🌹 WANGU, NAONA K**A ILIKUWA JANA TU!NI FURAHA ISIYOPIMIKA KIBINADAMU KUWA NA HUYU 🌹YESU KRISTO ...
08/09/2024

NI MIAKA 5 SASA, NIPO NA 🌹 WANGU, NAONA K**A ILIKUWA JANA TU!

NI FURAHA ISIYOPIMIKA KIBINADAMU KUWA NA HUYU 🌹

YESU KRISTO NI MUNGU WA KWELI

NDOA NI TAMU, NIMEKWAMBIA UKWELI

Focus is the key in ministry!Wala usiwe na kelele NYINGI sana!
01/09/2024

Focus is the key in ministry!

Wala usiwe na kelele NYINGI sana!

Tabia yako ndio MTAJI mkubwa wa kwanza na wa MUHIMU utakaokusaidia kutunza na kutumia mitaji mingine itakayokuja kwakoJe...
05/08/2024

Tabia yako ndio MTAJI mkubwa wa kwanza na wa MUHIMU utakaokusaidia kutunza na kutumia mitaji mingine itakayokuja kwako

Jenga tabia isiyokupiga vita, isiyopigana na kukinzana na BIDII yako katika KAZI na Huduma unayotoa!

Tabia ndio MSINGI UTAPOKEA NA KUAMUA VITU VIKAE AU VIFE KATIKA MAISHA YA MTU.

Tabia ndio inayoamua nani akae na wewe na nani akuache!

MABADILIKO YA KWELI YANAONYESHWA KWA TABIA NA SIYO MDOMO.

Kwenye maisha haya nitawasamehe WOTE wanaonikosea ila sitamsamehe SHETANI, IBILISI mpaka ahukumiwe!SIWEZI KUSAHAU YALE A...
04/08/2024

Kwenye maisha haya nitawasamehe WOTE wanaonikosea ila sitamsamehe SHETANI, IBILISI mpaka ahukumiwe!

SIWEZI KUSAHAU YALE ALIYOMTENDEA BABU YANGU ADAM NA YALE ALIYONITENDEA MIMI MWENYEWE! Nipo serous ujue!

Address

Mwanzi
Manyoni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255785090075

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michael Emanuel Sulle posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Michael Emanuel Sulle:

Shortcuts

Share

Category