Naja Vocational Training Centre

Naja Vocational Training Centre KOZI ZINAZOTOLEWA NA CHUO CHA NAJA VOCATIONAL TRAINING CENTRE: 1.Kompyuta 2.Udereva 3.Ushonaji 4.Saloon Na Urembo 5.Customer Care (Mafunzo ya Wahudumu).

The beautiful thing about knowledge is that no body can take away from you. Karibu NAJA VTC upate elimu bora kwa manufaa...
09/02/2022

The beautiful thing about knowledge is that no body can take away from you.

Karibu NAJA VTC upate elimu bora kwa manufaa ya sasa na ya baadae.

17/04/2021

SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO CHA NAJA VTC .

01.KIGEZO CHA UMRI
kujiunga na Naja Vocational Training Centre awe na Umri kuanzia Miaka 14 na kuendelea

02.KIGEZO CHA ELIMU.

Elimu kuanzia Darasa la Saba na Kuendelea.

03.KIGEZO CHA UFAULU
wowote unapokelewa,Uwe Umefeli Sana au Umefaulu sana,Umefaulu ufaulu wa wastani WOTE Mnapokelewa Naja Vocational Training Centre

NB:Hosteli Zipo Kwa Jinsia Zote,Wanaotaka Kutwa (DAY) Nao Wanapokelewa.

"Elimu hukufanya kuridhika,Ujuzi hukufanya kuwa bora"    CHA LET ME KNOW QUOTES (quote no:106)Na ni kweli utaridhika kuw...
16/04/2021

"Elimu hukufanya kuridhika,Ujuzi hukufanya kuwa bora"
CHA LET ME KNOW QUOTES (quote no:106)

Na ni kweli utaridhika kuwa na Elimu(Yaani Taaluma-Academic Certifications Fulani ya hadhi duniani/Mtaani ) Lakini bila Elimu Yako kuchanganywa na Ujuzi ,Utaishia kuwa na Upepo hewa wa Matumaini.

Yaani kuwa na Elimu bila Ujuzi ni sawa na Mtu Maskini kulala na kuamka amejaa mafuraha, akidhani atakuwa TAJIRI kwa kuwa na wingi wa Matumaini.

na Dhana potofu ambayo hata shetani anashangaa ya kujijaza Elimu bila Ujuzi.

1:32 "Ninyi Wapumbavu mtaendelea kuchukia Ujuzi mpaka lini?"

Karibu Naja Vocational Training Centre Tukupatie Elimu na Ujuzi kwa wakati mmoja.

Kuna Nafasi Nyingi Kwa Ajili yako,Wapendao Ufundi na maarifa (Nguzo za Maisha)
08/04/2021

Kuna Nafasi Nyingi Kwa Ajili yako,Wapendao Ufundi na maarifa (Nguzo za Maisha)

08/04/2021

We have a need for Vocational Training inorder to build a future work force

-DOUG HOCK

  Rais Awamu Ya Tano Tanzania JPM Alisema "Unaweza kuwa na shule bila jengo,Bila daftari,Lakini Huwezi kuwa na Shule Bil...
07/04/2021

Rais Awamu Ya Tano Tanzania JPM Alisema "Unaweza kuwa na shule bila jengo,Bila daftari,Lakini Huwezi kuwa na Shule Bila Walimu"ALIYASEMA HAYO Katika Mkutano Mkuu Wa CWT 2017

Naja Vocational Training Centre,Tunakujulisha Tunao walimu Mahiri Wa Kuhakikisha Umepata Kilicho bora kwa Maisha yako ya sasa na Ya Baadae.

Ujiunge na kozi tuzitoazo za mda mrefu na mfupi (Kuanzia Kozi za Wiki Tano,Miezi Mitatu,Miezi sita Mpaka Mwaka Mmoja) Kwa Gharama Nafuu .

06/04/2021

Education is not preparation for life,Education is life itself

DEWEY

"Elimu na Ujuzi Vinategemeana,Lakini Havifanani,Elimu ni Academic (Taaluma),Ujuzi ni Ufundi wa Kufanya Shughuli Fulani,U...
06/04/2021

"Elimu na Ujuzi Vinategemeana,Lakini Havifanani,Elimu ni Academic (Taaluma),Ujuzi ni Ufundi wa Kufanya Shughuli Fulani,Ujuzi Unahitaji Elimu,Wakati Mwingine Elimu ili iwe ya maana lazima iwe na Ujuzi ili lifanyike lililokusudiwa katika Elimu Kufanyika "

-EBONY FM (MORNING TALK)
#01/04/2021

Tunaamini katika kukupatia Ujuzi na Elimu Kwa Wakati Na Kwa Kukufanya Uwe bora Zaidi katika kozi zifuatazo

  Wa Naja Vocational Training Centre ,Toka Sakafuni kwa Mioyo Yao,Kwa Akili zao Timamu,Kwa Utambuzi Yakinifu Waliojaliwa...
04/04/2021

Wa Naja Vocational Training Centre ,Toka Sakafuni kwa Mioyo Yao,Kwa Akili zao Timamu,Kwa Utambuzi Yakinifu Waliojaliwa Na Asiye Na Mwisho wa Hekima,Tunawatakia Njema,Yenye Fanaka na Furaha Tele.

Wajidhaniano Wako Na Akili Sana Kupita Wenye Hekima,Hudhani Kusherehekea Ni Ujinga,SISI CHUO CHENYE KUJARIWA Makuu ,Tunatambua Umuhimu wa Mwanadamu Kuzifurahia Kazi zake k**a Mwana wa Mfalme Daudi (Suleimani-Aliyejawa Hekima Maradufu alivyosema katika kitabu cha Mhubiri)

3:22 "Hivyo nikaona ya kwamba hakuna jema kupita Mwanadamu kuzifurahia Kazi zake...."

 Naja Vocational Training Centre Tunaamini katika elimu inayoitwa elimu ya kujitegemea,Sisi Tunatoa Msamiati Mzuri Wa ki...
01/04/2021


Naja Vocational Training Centre Tunaamini katika elimu inayoitwa elimu ya kujitegemea,Sisi Tunatoa Msamiati Mzuri Wa kile wanachokiita Elimu Ya kujitegemea,Ambao ni Elimu Ya Kujiajiri.

Tunatoa Elimu Murua ya Kujitegemea kwa Fani murua

tunachoandika ndicho Leo ktk Morning talk ya Ebony FM wanakisema,Sisi hatukisemi tu,Tunakiishi Kivitendo ,Karibu NVTC MAFINGA ,HUTAJUTA

29/03/2021

Hillary Clinton said "We need to bring back vocational education in high school, We need to make sure that people have a job waiting for them and skills to do job"

Naja Vocational Training Centre Tunatoa Elimu Murua ambayo Hillary Clinton alishauri Marekani Wawe Nayo.


29/03/2021

"A university is not a place for vocational instructions, A university has nothing to do with training for working life and for working career, Thank Heavens"

-STEPHEN FRY

Address

Changarawe
Mafinga

Opening Hours

Monday 04:00 - 04:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255754055436

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naja Vocational Training Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Naja Vocational Training Centre:

Shortcuts

Share

Category