St. Boniface English Medium Nursery School

St. Boniface English Medium Nursery School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from St. Boniface English Medium Nursery School, Education, Mabibo.

10/01/2023

Wahi Fomu za chekechea ya kimataifa ya St. Boniface.

0717451234

02/01/2023

TANGAZO:
TUNAFUNGUA RASMI JUMANNE 3/1/2023. WAHI MAPEMA
FOMU ZINATOLEWA.
Chekechea ya St. Boniface

FOMU ZINATOLEWA Chekechea nzuri kwa mwanao. Ipo Mabibo Luhanga Dar es salaam. Nyingine ipo Yombo Kuu Karibu na KKKT Yomb...
02/01/2023

FOMU ZINATOLEWA Chekechea nzuri kwa mwanao. Ipo Mabibo Luhanga Dar es salaam. Nyingine ipo Yombo Kuu Karibu na KKKT Yombo

0717 451 234

28/12/2022

KUMEKUCHA!
TUNATOA FOMU ZA KUJIUNGA NASI 2023. MPENDE MTOTO WAKO. MLETE ST. BONIFACE

Head Teacher wetu wa Yombo Mr. Msigwa akiwa na baadhi watoto wanaosoma hapo kwenye chekechea yetu. Mzazi unakaribishwa u...
18/09/2022

Head Teacher wetu wa Yombo Mr. Msigwa akiwa na baadhi watoto wanaosoma hapo kwenye chekechea yetu. Mzazi unakaribishwa umlete mwanao:

1. Mtaala English unafundishwa.
2. Malezi na Taaluma Bora.
3. Walimu wetu ni wasomi wamepitia vyuoni.
4. Usafiri upo kutoka maeneo mbalimbali K**a Tabata, Vingunguti, Jet Lumo, Airport, Tazara, Buguruni, Temeke, Mwembeyanga, Yombo, Buza na Tandika.
5. Chekechea ya Yombo inafikika - fika kanisa la KKKT Yombo kuu, pita nyuma ya kanisa Hilo, utakutana na barabara ya Vatican iliyopo eneo la Yombo station. Hapo ndio ilipo shule. Au fuata vibao vya matangazo.

Kwa mawasiliano zaidi: 0629 397 475

16/09/2022

Chekeckea yetu ya Luhanga. Nafasi zipo.
1. Malezi na Elimu Bora.
2. Chakula na ratiba ya mapumziko mchana.
3. Usafiri upo.
4. Ratiba nzuri ya masomo
5. English medium
6. Mazingira Safi kwa Afya Bora ya watoto
7. Tunapatikana Luhanga, kata ya mabibo Karibu na shule ya msingi ya Kawawa.

Mawasiliano yetu: 0717 451 234

Mazingira ya Luhanga campus @ St. Boniface Daycare. Chekechea yetu ipo kata ya Mabibo, eneo la Luhanga karibu na Kawawa ...
16/09/2022

Mazingira ya Luhanga campus @ St. Boniface Daycare. Chekechea yetu ipo kata ya Mabibo, eneo la Luhanga karibu na Kawawa Primary School na kituo cha daladala cha Luhanga. Nafasi bado zipo.

Wasiliana nasi: 0717 451 234

Hawa ni staff wetu wa Luhanga wenye weledi wa kulea na kuelimisha watoto wakiwa pamoja kwenye picha. Tunajali profession...
16/09/2022

Hawa ni staff wetu wa Luhanga wenye weledi wa kulea na kuelimisha watoto wakiwa pamoja kwenye picha. Tunajali professionalism ya childhood education skills. Mlete mwanao kuanzia miaka 2 aandaliwe na wasomi. Tupo Luhanga, Karibu na shule ya msingi ya Kawawa, Kata ya mabibo. Tumesajiriwa.

Mawasiliano yetu: 0629 397 475

Staff wetu wa Yombo wenye weledi wa kulea na kuelimisha watoto wakiwa pamoja kwenye picha. Tunajali professionalism ya c...
16/09/2022

Staff wetu wa Yombo wenye weledi wa kulea na kuelimisha watoto wakiwa pamoja kwenye picha. Tunajali professionalism ya childhood education skills. Mlete mwanao kuanzia miaka 2 aandaliwe na wasomi. Tupo Kiwalani, Karibu na KKKT Yombo kuu, barabara ya Vatican, eneo la Yombo station.

Mawasiliano yetu: 0629 397 475

Mazingira ya chekechea yetu ya Yombo. Hii ipo Karibu kabisa na kanisa la KKKT Yombo kuu na kiwanja cha mpira  cha Vatica...
16/09/2022

Mazingira ya chekechea yetu ya Yombo. Hii ipo Karibu kabisa na kanisa la KKKT Yombo kuu na kiwanja cha mpira cha Vatican. Eneo hilo wengine huliita Yombo station. Kata ni Kiwalani. Nafasi bado zipo. Watoto kuanzia miaka 2 tunawapokea!

Wasiliana nasi 0629397475

15/09/2022

Karibuni St. Boniface Daycare. Leta mtoto wako apate elimu ya chekechea. Tupo sehemu mbili ndani ya jiji la Dar es salaam.
1. Tupo Kata ya Mabibo, eneo la Luhanga.
2. Tupo Kata ya Kiwalani, Karibu na Yombo kuu KKKT

Wasiliana nasi: 0717 451 234

Address

Mabibo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Boniface English Medium Nursery School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category