Global Tourer& updates

Global Tourer& updates Shearing views,ideas&intertanment globally.

23/05/2026

More prayers to our people in Africa.
EBOLA must go, Civil War must stop in DRC. Let's stand together "one love "

18/05/2026

Engage in sports for your health

07/05/2026

Ephesus ancient city, west Anatolia 🇹🇷

Efeso (kwa Kigiriki Έφεσος) uliwahi kuwa moja kati ya majiji ya dunia, lakini kwa sasa ni magofu tu.-Magofu ya Maktaba y...
02/05/2026

Efeso (kwa Kigiriki Έφεσος) uliwahi kuwa moja kati ya majiji ya dunia, lakini kwa sasa ni magofu tu.

-Magofu ya Maktaba ya Chelso.
-Magofu ya mahali pa maigizo pa Efeso.

JIJI LA EFESO "THE ARTEMIS OF EPHESUS"
Jiji la Efeso Lilianzishwa na Wayunani huko Lidia kwenye mto Kaistro unaoishia katika Bahari ya Kati, kwenye pwani ya Uturuki ya leo katika mji wa Izmir eneo la Seljuc.

Lilikuwa kituo kikubwa cha biashara na magofu yake ni kati ya mahali muhimu pa akiolojia.

Mtume Paulo aliishi huko miaka mitatu akawaandikia Wakristo barua muhimu.

Baadaye alihamia huko Mtume Yohana ambaye pia katika Kitabu cha Ufunuo aliandika barua kwa malaika wa Kanisa hilo pamoja na nyingine sita kwa malaika wa Makanisa ya jirani.

19/04/2026

Kurşunlu Thermal Springs Salihli,Turkey 🇹🇷

16/04/2026

K**a kuna ukweli vile�

15/04/2026

Swala la mavazi sahihi yanayoleta utukufu ibadan ni swala la msingi sana.

watu wanakuja ibadan kukutana na Mungu sio kuingia tena kwenye mtego wa tamaa za kimwili walizopambana nazo juma zima.

Hili linawalenga sana kina dada na wanawake licha ya uwepo wa vijana wa kiume wanaovaa kata K ila athari za matamanio ya kimwili kutokana na mvuto wa asili hutokea zaidi kwa wanawake.
Vaa mavazi ya adabu *"Mheshimu Mungu*" mahali pa ibada paheshimiwe japo kiuhalisia na kimaadili ni vyema kuvaa mavazi ya heshima popote uendapo.

Address

Lushoto

Telephone

255714124226

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Global Tourer& updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share