Lushoto Secondary School

Lushoto Secondary School It is a community secondary school,established on 2006. Located at Yoghoi Village nearby Irente View. Centre No. S. 3721; Reg No. 1967 & Box 344 Lushoto.

LUSHOTO SECONDARY SCHOOL CONTACTS P.O. Box 344, Lushoto, Tanga Tanzania
Tel / Fax: …....................
Mob: +255 754269941
Email: [email protected]
Email: [email protected]
Social networks:
facebook: lushoto secondary school www.facebook.com/lushotosec344
Blog: http://lushoto344.blogspot.com

2025 . . .
22/11/2025

2025 . . .

Wakianza na utekelezaji wa Mradi wa Kijana Jitambue mkoani Tanga,  Femina Hip kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa mkoa ...
17/08/2025

Wakianza na utekelezaji wa Mradi wa Kijana Jitambue mkoani Tanga, Femina Hip kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa mkoa kupitia Idara za Elimu na Maendeleo ya Jamii, wamefanya ziara maalum ya kutathmini maendeleo ya mradi. Kupitia Idara ya Elimu Sekondari na Maendeleo ya Jamii, jumla ya shule kumi na saba zimefikiwa; ikiwemo Shule ya Sekondari Lushoto

Ziara hii imewapa wanufaika wa mradi fursa ya kuwasilisha matokeo chanya yanayotokana na mwendelezo wa utekelezaji wake. Miongoni mwa mafanikio yaliyobainishwa na wanafunzi, wakuu wa shule na walimu ni kupungua kwa hali ya utoro, kuongezeka kwa ufaulu hasa kwa wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne, pamoja na kuimarika kwa uwezo wa vijana kujiamini na kujadili mada mbalimbali zinazohusu afya na uchumi.

  …………  Femina Hip    Federation of Fema Clubs Dar Es Salaam.
23/11/2024

………… Femina Hip Federation of Fema Clubs Dar Es Salaam.

  F4~ 2024
15/11/2024

F4~ 2024

15/11/2024

  ……… “Paza Sauti Yako!”
18/08/2024

……… “Paza Sauti Yako!”

10/08/2024

Lss
08/07/2022

Lss

Address

Lushoto Secondary School
Lushoto
P.O.BOX344

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lushoto Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Lushoto Secondary School:

Shortcuts

Share

Category