Montessori Teachers Training Centre - Lushoto

Montessori Teachers Training Centre - Lushoto Chuo cha Ualimu Montessori (Montessori Teachers Training Centre-Lushoto) kipo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga
Chuo kinatoa kozi za Ualimu.

30/12/2020

Karibuni mjiunge na Kozi ya Montessori Certificate in Early Childhood Education 2021
Piga simu 0782 731 586/ 0765 246 700 / 0629 657 672 Kwa mawasiliano

Ahsanteni kwa Ushiriki wenu na kufanikisha Semina hii....Hongereni sana
23/12/2020

Ahsanteni kwa Ushiriki wenu na kufanikisha Semina hii....Hongereni sana

Wanamontessori Wakiwa katika Semina Chuoni Montessori, Inayoendelea na ilianza tarehe 9/12/2020 hadi 22/12/2020
11/12/2020

Wanamontessori Wakiwa katika Semina Chuoni Montessori, Inayoendelea na ilianza tarehe 9/12/2020 hadi 22/12/2020

09/11/2020

Habari Wanamontessori Hongereni kwa kutimiza wajibu wenu katika kuwahudumia watoto.

Napenda kuwatangazia kuwa, Kutakuwa na REFRESHER COURSE itakayofanyika mwezi DESEMBA, itakayoanza tarehe 09/12/2020 hadi 22/12/2020...Mambo muhimu ya Kuzingatia

Utajigharamikia Nauli ya kuja na Kurudi

Gharama za Malazi na Chakula vitapatikana Chuoni, bila malipo

Kumbuka kuja na mahitaji yako muhimu k**a, Sabuni, Miswaki, Dawa za Meno, Taulo, Mashuka na Nguo chache za kubadilisha

Hiyo Refresher course ni kukumbushana Mambo ya Kimontessori na kutakuwa na utengenezaji wa zana za Kimontessori{Material Making}, na zana hizo mtaondoka nazo, na haitahusisha gharama yeyote toka kwa mshiriki

Naomba k**a waweza uliza chochote kuhusiana na Refresher course hii waweza uliza

NB:
MNAKARIBISHWA SANA ILI MUWEZE KUSHIRIKI NAFASI NI CHACHE, KWA HIYO TUNAOMBA UTAYARI WENU HASA KWA WANAMONTESSORI MLIOPO JIRANI/KARIBU NA LUSHOTO, WAWEZA THIBITISHA USHIRIKI WAKO KWA KUTUMA MAJINA YAKO INBOX NA KUTAJA ENEO UNALOTOKA

_AHSANTENI SANA NA KARIBU SANA_

_”Help me to do it by Myself”_

TANGAZO LA KUJIUNGA NA KOZI YA UALIMU WA CHEKECHEA
03/07/2020

TANGAZO LA KUJIUNGA NA KOZI YA UALIMU WA CHEKECHEA

TANGAZO LA KUJIUNGA NA KOZI YA UALIMU DARAJA LA IIIA (GRADE A)
03/07/2020

TANGAZO LA KUJIUNGA NA KOZI YA UALIMU DARAJA LA IIIA (GRADE A)

24/01/2020

Nafasi za Kujiunga na Kozi ya Ualimu wa Chekechea 2020 Bado zipo...Karibuni Sana. Kwa mawasiliano 0782 731 586

Karibu ujiunge na Kozi ya Ualimu wa Chekechea. (Montessori Certificate in Early Childhood). Masomo yataanza Mwezi Januar...
04/11/2019

Karibu ujiunge na Kozi ya Ualimu wa Chekechea. (Montessori Certificate in Early Childhood). Masomo yataanza Mwezi Januari 2020. Kwa mawasliano tupigie 0782 731 586/0784 785 902/0765 246 700 kwa taarifa zaidi. Wahi sasa

Address

P. O Box 51
Lushoto

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Montessori Teachers Training Centre - Lushoto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category