29/11/2022
MOJA YA KUMBUKUMBU ZISIZO SAHAULIKA.
Mwanzoni mwa mwaka huu 2022 baadhi ya wanafunzi walifanya ziara ya kielimu Pangani.
Hapo wakisikiliza vizuri historia ya Mji Pangani kutoka kwa Mtunza Kumbukumbu Na Hazina Za Kale.