Best private schools in Tanzania

Best private schools in Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Best private schools in Tanzania, Kisangara Mwanga, Lushoto.

SHULE NZURI ZA VIPAJI MAALUMU ZOTE ZA BINAFSI

KINDOROKO GIRLS' SECONDARY SCHOOL

ST LEONARD CO~EDUCATION SECONDARY SCHOOL

SHULE ZA KISASA ZENYE FANI ZOTE
SAYANSI, BIASHARA, UFUNDI, KILIMO, SANAA, COMPUTER, UREMBO NA MAPISHI
0719052184.

Kindoroko girls science practical examination ✅ 0719052184
25/03/2026

Kindoroko girls science practical examination ✅ 0719052184

💥🔥💫✅🌟SHULE ZA KUMPELEKA MWANAO NI SHULE YENYE  FANI  NA  HUDUMA  ZIFUATAZO KWENYE ULIMWENGU WA SASA ✅💥🙌Masomo ya lazima ...
15/11/2025

💥🔥💫✅

🌟SHULE ZA KUMPELEKA MWANAO NI SHULE YENYE FANI NA HUDUMA ZIFUATAZO KWENYE ULIMWENGU WA SASA ✅💥🙌

Masomo ya lazima mtaala mpya ✔️

✅1 .ENGLISH LANGUAGE
✅2. GEOGRAPHY
✅3.BASIC MATHEMATICS
✅4.KISWAHILI
✅5.HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI.
✅6. BUSINESS STUDY.

MICHEPUO YA KUCHAGUA KWA HIARI NI 💫SAYANSI, 💫BIASHARA, 💫SANAA ,💫KILIMO ,💫UFUNDI, NA 💫COMPUTER SCIENCE 💫 SPORTS ANG GAMES 💫 FOOD AND NUTRITION (MAPISHI NA UREMBO)

💥BIASHARA
✅BOOK KEEPING NA ✅COMMERCE (BUSINESS STUDY)

💥SAYANSI
✅ENGINEERING SCIENCE (PHYSICS)
✅CHEMISTRY
✅BIOLOGY

✅AGRICULTURAL SCIENCE

💥SANAA (ARTS)
✅HISTORY
✅LITERATURE IN ENGLISH

💥UFUNDI
✅ENGINEERING SCIENCE.
✅CIVIL ENGINEERING
✅ MOTOR VEHICLE MECHANICS
✅ELECTRICAL ENGINEERING
✅FOOD AND NUTRITION (MAPISHI NA UREMBO
✅ TAILORING (USHONAJI)

✅ MUSIC AND INTERTTAIMENT
✅ SPORTS AND GAMES (PHYSICAL EDUCATION)

ZIPO SHULE ZENYE FANI ZOTE KWA PAMOJA HAPO NI SEHEMU SAHIHI KWA URITHI WA MWANAO

Imagine shule Ina Masomo yote haya tena ambayo yapo kwenye soko la ajira
Chakushangaza

💫 SHULE ZETU ZINAPOKEA WANAFUNZI WANAOHAMIA KUANZIA KIDATO CHA I ,II ,III Na Cha IV. Mwaka 2026.

💫KILA MWANAFUNZI ANAEJIUNGA NA SHULE ANAPEWA NAFASI YA KUSOMA COURSE YA MDA MFUPI NA KUPATA CHETI
🌟 COMPUTER APPLICATION WITH CARDS
🌟 MAPISHI NA UREMBO
🌟UDEREVA (18 And above years old only)
Na
🌟 Ushonaji
✅✅💯
💫
Kwa Nini uchague shule za vipaji maalum (technical school) na uache zingine?

Wazazi wengi wanachagua shule ambayo inasifiwa sana na watu wengi au Ina Matokeo mazuri, kitu ambacho sio kibaya

Lakini !!!
Wanashidwa kujua kua saiv dunia na soko la ajira au kujiajiri limebadilika Kwa hio Kila mtu amekua mjanja

Ni hivi 💫
Mwanao anaweza akasoma shule kubwa na akapata matokeo mazuri sana ila kwenye ajira au kujiajiri akapata tabu na vyeti vyake , mifano tunayo mtaani saivi.

ZIPO SHULE ZA VIPAJI MAALUM AMBAZO GHARAMA ZAKE NI NDOGO MNO
MFANO
✅ Shule ya vipaji maalum Kwa wasichana tu
Kindoroko Girls' secondary school

Au
✅ Special school St Leonard co~education secondary school. Hii Mchanganyiko (Boys and girls)

Shule hizi zote zina vituo vya Afya hivyo ni salama Kwa mwanao kwenye Malezi na Afya kiujumla
Uwepo wa
Manesi
Daktai
Patron na Matron waliosomea ni jambo la msingi sana Wazazi hiki kigezo tunapochagua usikiruke.

sababu zipo nyingi sana nitakupa chache Kwa leo
1. Inafani zote (huwez kuzipata shule yenye michepuo yote HUSUSANI UFUNDI na Tehama hizo ni FANI adimu na Zina ajira zinazohitajika kwenye soko la ajira k**a vile 💫 UFUNDI, Hesabu na computer, Biashara, na Afya (Sayansi) hizi ni FANI ambazo zinasoko Kwa Sasa Duniani .
Kutoka na soko la ajira fani zinazoongoza kutoa ajira ni k**a ifuatavyo
Inayoongoza
1. Engineering (UFUNDI)🌟ajira asimia 💯
2.Mathematics and computer ajira 💯
3.Busness and economics asilimia Ajira zake 💯
4. Afya (Sayansi) Zina ajira 85% Kwa Sasa Duniani
5. Mass communication ajira 70%

Hakikisha hizo tatu za mwanzo mwanao hakosi moja
FANI tajwa hapa usipoajiriwa zinafaa kujiajiri na ukawa na kipato kikubwa bila shida✅

Zingine zinafuta huko chini
Sasa utakuta Wazaz wanalazimisha na wanazingatia FANI Moja ya Sayansi tu ambayo Kwa Sasa wasomi wake wanaongezeka sana inapunguza ajira Kila siku bila kuwaza miaka kumi huko mbele atakapokua amehitimu Elimu yake wewe Labda hautakuwepo umemuachia urithi k**a wa nyumba au badala ya Elimu yenye tija ambayo atasaidia na kizazi chake?🤗

Kwa mwanafunzi atakaejiunga na shule hizi za vipaji Maalum faida kubwa ni kuwa
💥 Mwanafunzi atapata cheti Cha NECTA K**a mwanafunzi wa shule nyingine lakini zaidi ya hapo atapata cheti Cha UFUNDI aliouchagua na kusomea Bure na kupewa cheti Cha level 3 kutoka Veta. Sawa na mtu akimaliza kidato Cha nne aende Veta miaka miwili ndio akipate
HUDUMA hii hawezi kupata shule yoyote TANZANIA hii vyeti viwili vyenye Hazi ya nyota Tano 🌟
Cheti Cha Veta unaweza kuchagua kwenda kuajiriwa, kujiajiri au KUENDELEA Diploma na degree
Au atumie Cha form four aende Five .
😂 Hakika shule hizi ni Hazina 🌟

Fomu za kujiunga na shule zinapatikana mikoa yote Tz.

0719052184 WhatsApp

💥Kumbuka shule zetu hazipokei wanafunzi zaidi ya 80 Kila mwaka. Lengo ni kumudu huduma nzuri ya wateja kufundishwa, Malezi na Matokeo mazuri.
Wahi mapema utanishukuru badae🤗

Program ya pre form one Inaanza tarehe 22/09/2025 Haina Gharama kubwa na Ina OFA kubwa mbili Kwa watakaohudhuria
1. Vyeti vya short course; computer, Ushonaji na mapishi Bure kabisa ✅.
2. Watoto wenye vipaji watapata ufadhili wa kulipiwa ada miaka minne ✅ k**a ;kuimba, michezo aina zote, kuchora, Ufaulu mkubwa n..k

💫
💫ELIMU NA MALEZI FUNGAMANO ✅

KARIBU
Shule ya vipaji KINDOROKO GIRLS' (ONLY GIRLS)
0719052184 WhatsApp
🌟

Karibu
Vipaji maalum ST LEONARD CO - EDUCATION SECONDARY SCHOOL.

0755501802 WhatsApp

Mwal Yohana
🙏🙏

05/10/2025

TANGAZO
Anahitajika mwalimu mbobevu wa somo la SST kwa darasa la saba na pia awe ana uwezo wa kufundsha masomo mengne mfano CME, Kiswahili n.k.,shule ipo Mkoa wa Dar es salaam kata ya Goba,interview n jumatatu tarehe 06/10/2025
Kwa mawasiliano zaidi piga 0742677281

Nafasi zaidi za ualimu Kila siku

Gusa link WhatsApp:

USICHOKIJUA KUHUSU SHULE  MAALUM YA WASICHANA KINDOROKO GIRLS' SECONDARY SCHOOL MWANGA,  KILIMANJARO 🙏🙏HUDUMA ZETU NI K*...
01/10/2025

USICHOKIJUA KUHUSU SHULE MAALUM YA WASICHANA

KINDOROKO GIRLS' SECONDARY SCHOOL
MWANGA, KILIMANJARO 🙏🙏
HUDUMA ZETU NI K**A IFUATAVYO
🌟 ✅💥🙌
KIDATO CHA KWANZA KINA MIKONDO 2.

✅Mkondo wa jumla

✅ Mkondo wa Amali

Masomo ya lazima mtaala mpya ✔️

✅1 .ENGLISH LANGUAGE
✅2. GEOGRAPHY
✅3.BASIC MATHEMATICS
✅4.KISWAHILI
✅5.HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI.
✅6. BUSINESS STUDY.

MICHEPUO YA KUCHAGUA KWA HIARI NI 💫SAYANSI, 💫BIASHARA, 💫SANAA ,💫KILIMO ,💫UFUNDI, NA 💫COMPUTER SCIENCE 💫 SPORTS ANG GAMES 💫 FOOD AND NUTRITION (MAPISHI NA UREMBO)

💥BIASHARA
✅BOOK KEEPING NA ✅COMMERCE (BUSINESS STUDY)

💥SAYANSI
✅ENGINEERING SCIENCE (PHYSICS)
✅CHEMISTRY
✅BIOLOGY

✅AGRICULTURAL SCIENCE

💥SANAA (ARTS)
✅HISTORY
✅LITERATURE IN ENGLISH

💥UFUNDI
✅ENGINEERING SCIENCE
✅FOOD AND NUTRITION (MAPISHI NA UREMBO
✅ TAILORING (USHONAJI)

✅ MUSIC AND INTERTTAIMENT
✅ SPORTS AND GAMES (PHYSICAL EDUCATION)
✅ COMPUTER APPLICATION WITH CARDS

ZIPO FANI ZOTE KWA PAMOJA HAPO NI SEHEMU SAHIHI KWA URITHI WA MWANAO

shule yetu Ina Masomo yote haya tena ambayo yapo kwenye soko la ajira
Chakushangaza

💫 SHULE YETU INAPOKEA WANAFUNZI WANAOHAMIA KUANZIA KIDATO CHA I ,II ,III Na Cha IV. Mwaka 2026.

💫KILA MWANAFUNZI ANAEJIUNGA NA SHULE ANAPEWA NAFASI YA KUSOMA COURSE YA MDA MFUPI NA KUPATA CHETI
🌟 COMPUTER APPLICATION WITH CARDS
🌟 MAPISHI NA UREMBO

🌟 Ushonaji
✅✅💯
💫
Kwa Nini uchague shule za vipaji maalum (technical school) na uache zingine?

Wazazi wengi wanachagua shule ambayo inasifiwa sana na watu wengi au Ina Matokeo mazuri, kitu ambacho sio kibaya

Lakini !!!
Wanashidwa kujua kua saiv dunia na soko la ajira au kujiajiri limebadilika Kwa hio Kila mtu amekua mjanja

Ni hivi 💫
Mwanao anaweza akasoma shule kubwa na akapata matokeo mazuri sana ila kwenye ajira au kujiajiri akapata tabu na vyeti vyake , mifano tunayo mtaani saivi.

SHULE MAALUM AMBAZO GHARAMA ZAKE NI NDOGO MNO
MFANO

✅ Shule ya vipaji maalum Kwa wasichana tu
Kindoroko Girls' secondary school
Mwanga, Kilimanjaro

Shule hii ina kituo cha Afya hivyo ni salama Kwa mwanao kwenye Malezi na Afya kiujumla
Uwepo wa
Manesi
Daktai
Matron waliosomea ni jambo la msingi sana Wazazi hiki kigezo tunapochagua usikiruke.

sababu zipo nyingi sana nitakupa chache Kwa leo
1. Inafani zote (huwez kuzipata shule yenye michepuo yote HUSUSANI UFUNDI na Tehama hizo ni FANI adimu na Zina ajira zinazohitajika kwenye soko la ajira k**a vile 💫 UFUNDI, Hesabu na computer, Biashara, na Afya (Sayansi) hizi ni FANI ambazo zinasoko Kwa Sasa *Duniani* .
Kutoka na soko la ajira fani zinazoongoza kutoa ajira ni k**a ifuatavyo
Inayoongoza
1. *Engineering* (UFUNDI)🌟ajira asimia 💯
*2.Mathematics* and *computer* ajira 💯
*3.Busness* and *economics* asilimia Ajira zake 💯
4. *Afya* (Sayansi) Zina ajira 85% Kwa Sasa Duniani
5. *Mass* *communication* ajira 70%

Hakikisha hizo tatu za mwanzo mwanao hakosi moja
FANI tajwa hapa usipoajiriwa zinafaa kujiajiri na ukawa na kipato kikubwa bila shida✅

Zingine zinafuta huko chini
Sasa utakuta Wazaz wanalazimisha na wanazingatia FANI Moja ya Sayansi tu ambayo Kwa Sasa wasomi wake wanaongezeka sana inapunguza ajira Kila siku bila kuwaza miaka kumi huko mbele atakapokua amehitimu Elimu yake wewe Labda hautakuwepo umemuachia urithi k**a wa nyumba au badala ya Elimu yenye tija ambayo atasaidia na kizazi chake?🤗

Kwa mwanafunzi atakaejiunga na shule hii ya vipaji Maalum faida kubwa ni kuwa
💥 Mwanafunzi atapata cheti Cha NECTA K**a mwanafunzi wa shule nyingine lakini zaidi ya hapo atapata cheti Cha UFUNDI aliouchagua na kusomea Bure na kupewa cheti Cha level 3 kutoka NACTIVET .

Sawa na mwanafunzi wa shule nyingine akimaliza kidato Cha nne aende Veta miaka miwili ndio akipate

HUDUMA hii hawezi kupata shule nyingi TANZANIA hii vyeti viwili
🌟
Cheti Cha Veta unaweza kuchagua kwenda kuajiriwa, kujiajiri au KUENDELEA Diploma na degree
Au atumie Cha form four aende Five .
😂 Hakika shule hii ni Hazina 🌟

Fomu za kujiunga na shule zinapatikana mikoa yote Tz.

0719052184 WhatsApp

💥Kumbuka shule zetu hazipokei wanafunzi zaidi ya 80 Kila mwaka. Lengo ni kumudu huduma nzuri ya wateja kufundishwa, Malezi Bora na Matokeo mazuri.
Wahi mapema utanishukuru badae🤗

Program kubwa ya kubaini Vipaji na FANI za watoto pamoja na pre form one Inaanza tarehe 22/09/2025 Haina Gharama kubwa na Ina OFA kubwa mbili Kwa watakaohudhuria
1. Vyeti vya short course; computer, Ushonaji na mapishi Bure kabisa ✅.
2. Watoto wenye vipaji watapata ufadhili wa kulipiwa ada miaka minne ✅ k**a ;kuimba, michezo aina zote, kuchora, Ufaulu mkubwa n..k

💫
💫ELIMU NA MALEZI FUNGAMANO ✅

KARIBU
Shule ya vipaji KINDOROKO GIRLS' (ONLY GIRLS)

0719052184 WhatsApp
🌟

Mwal Yohana
🙏🙏

Tusaidiane kusambaza ujumbe uwafikie wahitaji Kwa faida ya wengi🙏🙏

💥🔥💫✅HABARI ZA WAKATI HUU NDUGU MDAU WA ELIMU KIPEKEE KWA NIABA YA UONGOZI WA SHULE ZETU MBILI ZA VIPAJI MAALUM JIMBO LA ...
12/09/2025

💥🔥💫✅

HABARI ZA WAKATI HUU NDUGU MDAU WA ELIMU
KIPEKEE KWA NIABA YA UONGOZI WA SHULE ZETU MBILI ZA VIPAJI MAALUM JIMBO LA SAME, KILIMANJARO

TUNATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA USHIRIKIANO KATIKA KUFIKISHA UJUMBE WETU KWA WAZAZI KUPITIA TAASISI YAKO🙏🙏

KWA WANAFUNZI WOTE AMBAO WAPO TAYARI KUJIUNGA NA SHULE YETU TUNAOMBA UENDELEE KUWA BALOZI WETU

AIDHA BAADA YA USAILI KUKAMILIKA TUTARUDI KWAKO KURUDISHA FADHILA K**A ILIVYO DESTURI YETU YA KILA MWAKA 🙏🙏
HUDUMA ZETU NI K**A IFUATAVYO
🌟 ✅💥🙌
✅Mkondo wa jumla

✅Masomo ya lazima mtaala mpya ✔️

✅1 .ENGLISH LANGUAGE
✅2. GEOGRAPHY
✅3.BASIC MATHEMATICS
✅4.KISWAHILI
✅5.HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI.
✅6. BUSINESS STUDY.

MICHEPUO YA KUCHAGUA KWA HIARI NI 💫SAYANSI, 💫BIASHARA, 💫SANAA ,💫KILIMO ,💫UFUNDI, NA 💫COMPUTER SCIENCE 💫 SPORTS ANG GAMES 💫 FOOD AND NUTRITION (MAPISHI NA UREMBO)

💥BIASHARA
✅BOOK KEEPING NA ✅COMMERCE (BUSINESS STUDY)

💥SAYANSI
✅ENGINEERING SCIENCE (PHYSICS)
✅CHEMISTRY
✅BIOLOGY

✅AGRICULTURAL SCIENCE

💥SANAA (ARTS)
✅HISTORY
✅LITERATURE IN ENGLISH

💥UFUNDI
✅ENGINEERING SCIENCE.
✅CIVIL ENGINEERING
✅ MOTOR VEHICLE MECHANICS
✅ELECTRICAL ENGINEERING
✅FOOD AND NUTRITION (MAPISHI NA UREMBO
✅ TAILORING (USHONAJI)

✅ MUSIC AND INTERTTAIMENT
✅ SPORTS AND GAMES (PHYSICAL EDUCATION)

ZIPO SHULE ZENYE FANI ZOTE KWA PAMOJA HAPO NI SEHEMU SAHIHI KWA URITHI WA MWANAO

Imagine shule Ina Masomo yote haya tena ambayo yapo kwenye soko la ajira
Chakushangaza

💫 SHULE ZETU ZINAPOKEA WANAFUNZI WANAOHAMIA KUANZIA KIDATO CHA I ,II ,III Na Cha IV. Mwaka 2026.

💫KILA MWANAFUNZI ANAEJIUNGA NA SHULE ANAPEWA NAFASI YA KUSOMA COURSE YA MDA MFUPI NA KUPATA CHETI
🌟 COMPUTER APPLICATION WITH CARDS
🌟 MAPISHI NA UREMBO
🌟UDEREVA (18 And above years old only)
Na
🌟 Ushonaji
✅✅💯
💫
Kwa Nini uchague shule za vipaji maalum (technical school) na uache zingine?

Wazazi wengi wanachagua shule ambayo inasifiwa sana na watu wengi au Ina Matokeo mazuri, kitu ambacho sio kibaya

Lakini !!!
Wanashidwa kujua kua saiv dunia na soko la ajira au kujiajiri limebadilika Kwa hio Kila mtu amekua mjanja

Ni hivi 💫
Mwanao anaweza akasoma shule kubwa na akapata matokeo mazuri sana ila kwenye ajira au kujiajiri akapata tabu na vyeti vyake , mifano tunayo mtaani saivi.

ZIPO SHULE ZETU ZA VIPAJI MAALUM AMBAZO GHARAMA ZAKE NI NDOGO MNO
MFANO
✅ Shule ya vipaji maalum Kwa wasichana tu
Kindoroko Girls' secondary school
Mwanga, Kilimanjaro

Au
✅ Special school St Leonard co~education secondary school. Hii Mchanganyiko (Boys and girls)
Same - Kilimanjaro

Shule hizi zote zina vituo vya Afya hivyo ni salama Kwa mwanao kwenye Malezi na Afya kiujumla
Uwepo wa
Manesi
Daktai
Patron na Matron waliosomea ni jambo la msingi sana Wazazi hiki kigezo tunapochagua usikiruke.

sababu zipo nyingi sana nitakupa chache Kwa leo
1. Inafani zote (huwez kuzipata shule yenye michepuo yote HUSUSANI UFUNDI na Tehama hizo ni FANI adimu na Zina ajira zinazohitajika kwenye soko la ajira k**a vile 💫 UFUNDI, Hesabu na computer, Biashara, na Afya (Sayansi) hizi ni FANI ambazo zinasoko Kwa Sasa Duniani .
Kutoka na soko la ajira fani zinazoongoza kutoa ajira ni k**a ifuatavyo
Inayoongoza
1. *Engineering* (UFUNDI)🌟ajira asimia 💯
*2.Mathematics* and *computer* ajira 💯
*3.Busness* and *economics* asilimia Ajira zake 💯
4. *Afya* (Sayansi) Zina ajira 85% Kwa Sasa Duniani
5. *Mass* *communication* ajira 70%

Hakikisha hizo tatu za mwanzo mwanao hakosi moja
FANI tajwa hapa usipoajiriwa zinafaa kujiajiri na ukawa na kipato kikubwa bila shida✅

Zingine zinafuta huko chini
Sasa utakuta Wazaz wanalazimisha na wanazingatia FANI Moja ya Sayansi tu ambayo Kwa Sasa wasomi wake wanaongezeka sana inapunguza ajira Kila siku bila kuwaza miaka kumi huko mbele atakapokua amehitimu Elimu yake wewe Labda hautakuwepo umemuachia urithi k**a wa nyumba au badala ya Elimu yenye tija ambayo atasaidia na kizazi chake?🤗

Kwa mwanafunzi atakaejiunga na shule hizi za vipaji Maalum faida kubwa ni kuwa
💥 Mwanafunzi atapata cheti Cha NECTA K**a mwanafunzi wa shule nyingine lakini zaidi ya hapo atapata cheti Cha UFUNDI aliouchagua na kusomea Bure na kupewa cheti Cha level 3 kutoka Veta. Sawa na mtu akimaliza kidato Cha nne aende Veta miaka miwili ndio akipate
HUDUMA hii hawezi kupata shule yoyote TANZANIA hii vyeti viwili vyenye Hazi ya nyota Tano 🌟
Cheti Cha Veta unaweza kuchagua kwenda kuajiriwa, kujiajiri au KUENDELEA Diploma na degree
Au atumie Cha form four aende Five .
😂 Hakika shule hizi ni Hazina 🌟

Fomu za kujiunga na shule zinapatikana mikoa yote Tz.

0719052184 WhatsApp

💥Kumbuka shule zetu hazipokei wanafunzi zaidi ya 80 Kila mwaka. Lengo ni kumudu huduma nzuri ya wateja kufundishwa, Malezi Bora na Matokeo mazuri.
Wahi mapema utanishukuru badae🤗

Program kubwa ya kubaini Vipaji na FANI za watoto pamoja na pre form one Inaanza tarehe 22/09/2025 Haina Gharama kubwa na Ina OFA kubwa mbili Kwa watakaohudhuria
1. Vyeti vya short course; computer, Ushonaji na mapishi Bure kabisa ✅.
2. Watoto wenye vipaji watapata ufadhili wa kulipiwa ada miaka minne ✅ k**a ;kuimba, michezo aina zote, kuchora, Ufaulu mkubwa n..k

💫
💫ELIMU NA MALEZI FUNGAMANO ✅

KARIBU
Shule ya vipaji KINDOROKO GIRLS' (ONLY GIRLS)
0719052184 WhatsApp
🌟

Karibu
Vipaji maalum ST LEONARD CO - EDUCATION SECONDARY SCHOOL.

0755501802 WhatsApp

Mwal Yohana
🙏🙏

Kindoroko Girls secondary school 0719052184 join us
05/09/2025

Kindoroko Girls secondary school
0719052184 join us

ST LEONARD CO~EDUCATION SECONDARY SCHOOL NAFASI ZIPO WAZI 0719052184
05/09/2025

ST LEONARD CO~EDUCATION SECONDARY SCHOOL NAFASI ZIPO WAZI 0719052184

TANGAZO AJIRA YA UALIMU.Anahitajika Mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha somo la 1.COMMERCE (Busness study )2. BOOK KEEPIN...
03/09/2025

TANGAZO AJIRA YA UALIMU.

Anahitajika Mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha somo la
1.COMMERCE (Busness study )
2. BOOK KEEPING

Shule Ipo Mwanga, Kilimanjaro
Kwa wahitaji
Tuma CV na vyeti vyako vya kitaaluma.

+255625098433
Only WhatsApp

After your CV you be contacted

Normal Sms & call are not allowed 🙏🙏

Make sure you follow our WhatsApp channel private schools in Tanzania for more jobs update daily ✅

Share to others
Sharing Is caring
0755501802
Yohana

*NGOJA NIKUKUMBUSHE KIDOGO*1. K**a ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 40, waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wan...
23/08/2025

*NGOJA NIKUKUMBUSHE KIDOGO*

1. K**a ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 40, waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wanakuwa sawa tu, ni wakati huu majigambo ya certificates, diploma, degree, masters, PhD, hupotea kabisa. Ni katika umri huu, inawezekana mwenye elimu ndogo, akatengeneza pesa nyingi sana kuliko mwenye elimu kubwa. Waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wanakuwa sawa tu.

2. K**a ulikuwa haujui, ikifika umri wa miaka 50, mtu aliyesemekana kwamba alikuwa mrembo, na mtu aliyesemekana kwamba alikuwa ana sura mbaya, wote wanaanza kuwa sawa tu. Ni wakati huu, mikunjo usoni, vipara kichwani, mvi n.k, haviwezi kukwepeka tena.

3. K**a ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 60, watu wanakuwa wamestaafu kazi, aliyekuwa na cheo kikubwa na aliyekuwa na cheo kidogo, wote wanakuwa sawa tu. Ni wakati huu, hawa watu wanakuwa washikaji, wanaanza kukaa kijiwe kimoja, wanapiga story zenye idea zinazofanana, mara nyingi utawakuta makanisani au misikitini pamoja.

4. K**a ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 70, mwenye nyumba ndogo na mwenye nyumba kubwa, wote wanakuwa sawa tu, wote wanahitaji nafasi ndogo sana ya kukaa, kwa kuwa ni katika kipindi hiki, kuhamisha-hamisha vitu, inakuwa taabu sana. Mwenye ghorofa atapenda kukaa nyumba ya chini, kwa kuwa miguu yake inaanza kukosa nguvu. Ni wakati huu, watoto huwaachia nyumba na kwenda kuanza maisha yao, hivyo, nyumba huwa kubwa kuliko mahitaji.

5. K**a ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 80, walio na pesa na wasio na pesa, wote wanakuwa sawa tu, hata mwenye pesa anapotaka kutumia pesa zake, anakuwa hajui wapi pa kwenda, wote tajiri na masikini, hubaki nyumbani tu.

6. K**a ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 90, kulala usingizi na kuamka, vyote vinakuwa sawa tu, kwa kuwa hata ukiamka, unakuwa huna cha kufanya,hapa masikini na tajiri, wote wanasubiri kifo tu.

Katika maisha, k**a wewe ulidhani ni mtu muhimu kuliko watu wengine, kwa sababu ya elimu,uzuri,nafasi yako kazini, nyumba,au kipato chako kuwa kikubwa. Basi ulikuwa hujui tu,wewe ni wa kawaida sana, hakuna mtu mwenye nafasi kubwa kuliko mwingine, ni suala la muda tu.

*Siku Njema*🙏

Kindoroko girls'
23/08/2025

Kindoroko girls'

05/08/2025

SHULE MAALUMU ZA VIPAJI

SPECIAL SCHOOL FOR GIRLS' ONLY
KINDOROKO GIRLS' SECONDARY SCHOOL

ST LEONARD CO EDUCATION SECONDARY SCHOOL (BOYS AND GIRLS)

💥NAFASI ZA MASOMO 🌟 KIDATO CHA I. II. III. IV na V. KILA MWAKA

🌟SHULE ZA BWENI KWA WANAFUNZI WA JINSIA ZOTE NA DINI ZOTE.

ADA NI NAFUU SANA NA ZINALIPWA KWA AWAMU NNE✅✅💯

MASOMO YANAYO FUNDISHWA MKONDO WA JUMLA NA AMALI

✅1 .ENGLISH LANGUAGE
✅2. GEOGRAPHY
✅3.BASIC MATHEMATICS
✅4.KISWAHILI
✅5.HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI.
✅6. BUSINESS STUDY.

MICHEPUO YA KUCHAGUA KWA HIARI NI 💫SAYANSI, 💫BIASHARA, 💫SANAA ,💫KILIMO ,💫UFUNDI, NA 💫COMPUTER SCIENCE 💫 SPORTS ANG GAMES 💫 FOOD AND NUTRITION (MAPISHI NA UREMBO)

💥BIASHARA
✅BOOK KEEPING NA ✅COMMERCE (BUSINESS STUDY)

💥SAYANSI
✅ENGINEERING SCIENCE (PHYSICS)
✅CHEMISTRY
✅BIOLOGY

✅AGRICULTURAL SCIENCE

💥SANAA (ARTS)
✅HISTORY
✅LITERATURE IN ENGLISH

💥UFUNDI
✅ENGINEERING SCIENCE.
✅CIVIL ENGINEERING
✅ MOTOR VEHICLE MECHANICS
✅ELECTRICAL ENGINEERING
✅FOOD AND NUTRITION (MAPISHI NA UREMBO
✅ TAILORING (USHONAJI)

✅ MUSIC AND INTERTTAIMENT
✅ SPORTS AND GAMES (PHYSICAL EDUCATION)

💫WANAPOKEA WANAFUNZI WANAOHAMIA KUANZIA KIDATO CHA I ,II ,III Na Cha IV. Mwaka 2026.

💫KILA MWANAFUNZI ANAEJIUNGA NA SHULE ANAPEWA NAFASI YA KUSOMA COURSE YA MDA MFUPI NA KUPATA CHETI
🌟 COMPUTER APPLICATION WITH CARDS
🌟 MAPISHI NA UREMBO
🌟UDEREVA (18 And above years old only)
Na
🌟 Ushonaji
✅✅💯
💫
1. Vyeti vya short course; computer, Ushonaji na mapishi Bure kabisa ✅.
2. Watoto wenye vipaji watapata ufadhili wa kulipiwa ada miaka minne ✅ k**a ;kuimba, michezo aina zote, kuchora, Ufaulu mkubwa n..k

💫Usiporidhika na huduma yetu tunarudisha Ada Yako Yote .
MOTTO: 💫ELIMU NA MALEZI FUNGAMANO ✅

KARIBU
SPECIAL SCHOOL KINDOROKO GIRLS' (ONLY GIRLS)
0719052184 WhatsApp
🌟
Karibu
SHULE MAALUMU ST LEONARD CO ~ EDUCATION SECONDARY SCHOOL. (BOYS AND GIRLS)
0755501802 WhatsApp

Mwal Yohana
🙏🙏

Address

Kisangara Mwanga
Lushoto

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Best private schools in Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Best private schools in Tanzania:

Shortcuts

Share